Home






MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NANE
MWAKA WA 2026
MUHULA WA III

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
HAKI ZA WATOTO

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kutambua miktadha katika jamii ambapo kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja hufanywa.
-Kujenga mazoea ya kutumia vidokezo katika mazungumzo ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kujadili na wenzake umuhimu wa kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kutambua miktadha katika jamii yake ambamo anahitaji kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
Kwa nini ni muhimu kuandaa vidokezo unapozungumza?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 86
-Chati
-Maelezo ya somo
-Mwongozo wa mwalimu
-Vielelezo vya vidokezo
-Vifaa vya kidijitali
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 88
-Vitabu mbalimbali
-Majarida
-Magazeti
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Mijadala -Tathmini rika
2 2
Sarufi
Kuandika
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka, Kutendewa na Kutendatenda
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua kauli ya kutendeka na kutendewa katika vitenzi.
-Kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka na kutendewa ipasavyo katika matini.
-Kuchangamkia kutumia vitenzi katika kauli ya kutendeka na kutendewa ipasavyo ili kuimarisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vitenzi katika kauli ya kutendeka na kutendewa mtawalia.
-Kuteua vitenzi katika kauli ya kutendeka na kutendewa mtawalia, kwenye chati, kadi maneno, kapu maneno au tarakilishi.
-Kutenga vitenzi katika kauli ya kutendeka na kutendewa katika sentensi na vifungu kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuvikolezea wino au kuvipigia mstari.
Kwa nini ni muhimu kujifunza kauli za vitenzi?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 93
-Kapu maneno
-Mti maneno
-Kadi maneno
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya somo
-Mwongozo wa mwalimu
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 91
-Vitabu mbalimbali
-Vielelezo vya insha
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Kujaza mapengo -Mijadala
2 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kuzungumza kwa Kutumia Vidokezo vya Hoja
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kutoa mazungumzo kwa kutumia vidokezo ifaavyo.
-Kuchangamkia kushiriki katika mazungumzo rasmi na yasiyo rasmi katika jamii.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili vipengele vya kuzingatia katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo vya hoja.
-Kusikiliza au kutazama aina mbalimbali za mazungumzo kutoka kwenye vifaa vya kidijitali kama vile vinasasauti na akizingatia, na kutambua vipengele vya kusikiliza husishi vilivyozingatiwa.
-Kuandaa vidokezo kuhusu suala lengwa.
-Kuwawasilishia wenzake mazungumzo kuhusu suala lengwa kwa kutumia vidokezo alivyoandaa ili wayatolee maoni.
Je, unazingatia vipengele vipi katika kuzungumza kwa kutumia vidokezo?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 87
-Vifaa vya kidijitali
-Vidokezo
-Maelezo ya somo
-Mwongozo wa mwalimu
-Vielelezo vya vidokezo
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Uwasilishaji -Tathmini rika
2 4
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Mapana: Matini ya kujichagulia
Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli ya Kutendeka, Kutendewa na Kutendatenda
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua maana za msamiati na matumizi mengine ya lugha katika matini ya kujichagulia.
-Kutumia ujuzi wake kuelezea maana ya msamiati.
-Kujenga mazoea ya kusoma matini mbalimbali katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno asiyoyajua.
-Kujenga rekodi ya msamiati aliojifunza katika kitabu.
-Kutunga sentensi akitumia msamiati katika matini aliyoisoma.
-Kusakura mtandaoni na kujichagulia matini ya ziada kisha aisome.
Unazingatia mambo gani wakati wa kusoma makala ya kujichagulia?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 89
-Kamusi
-Vitabu mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
-Maelezo ya somo
-Mwongozo wa mwalimu
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 94
-Chati
-Kadi maneno
-Mti maneno
-Kapu maneno
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Muhtasari -Tathmini rika
3 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kubuni: Insha ya maelezo
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika insha ya maelezo ipasavyo kwa kuzingatia vipengele vyake.
-Kutumia aina mbalimbali za lugha katika uandishi wa insha.
-Kufurahia kuandika insha za maelezo katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika insha ya maelezo kwa kuzingatia vipengele vifaavyo.
-Kuwasomea wenzake insha aliyoandika au kuwasambazia kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni.
-Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha walizoandika na kutoleana maoni kwa amani na upendo.
Je, ni vipengele gani vya kuzingatia katika kuandika insha ya maelezo?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 92
-Vifaa vya kidijitali
-Karatasi
-Maelezo ya somo
-Mwongozo wa mwalimu
-Vielelezo vya insha
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 95
-Kinasasauti
-Projekta
-Vidokezo vya kusikiliza
Uchunguzi -Tathmini rika -Kazi andishi -Uwasilishaji
3 2
MAGONJWA YASIOAMBUKIZWA

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza kwa Makini
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza habari katika matini ya kusikiliza.
-Kukadiria maana ya msamiati mahususi na vifungu katika matini ya kusikiliza.
-Kujenga mazoea ya kufurahia kusikiliza vifungu vya kusikiliza ili kuimarisha uwezo wa kusikiliza.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuelezea mwenzake maana ya msamiati katika matini ya kusikiliza.
-Kudondoa habari muhimu katika matini aliyosikiliza kwa kufuata mpangilio ufaao.
-Kushiriki mazungumzo kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa huku akitoa hoja kwa mpangilio ufaao.
Je, kwa nini ni muhimu kuwa na mpangilio ufaao wa hoja kutoka habari uliyosikiliza?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 96
-Vifaa vya kidijitali
-Kinasasauti
-Chati zenye msamiati wa magonjwa yasiyoambukizwa
Kujibu maswali -Kufupisha matini -Mazungumzo -Wanafunzi kufanyiana tathmini
3 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza vipengele vya kusoma kwa ufasaha ili kuvibainisha.
-Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora.
-Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha.
-Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha makala.
-Kusoma kifungu kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa katika matini andishi au ya kidijitali akizingatia matamshi bora.
-Kusoma kifungu kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa kwa kuzingatia kasi ifaayo.
Je, unaposoma kifungu unazingatia mambo gani ili kufanikisha usomaji?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 97
-Vifaa vya kidijitali
-Projekta
-Video za mielelezo ya usomaji
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 98
-Kifungu cha habari kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa
Kusoma kwa sauti -Maigizo -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo
3 4
Sarufi
Aina za Sentensi - Sentensi changamano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya sentensi changamano ili kuipambanua.
-Kutambua sentensi changamano katika matini.
-Kutumia sentensi changamano ipasavyo katika matini.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya sentensi changamano.
-Kutenga sentensi changamano katika orodha ya sentensi kwenye vitabu, chati au tarakilishi.
-Kubainisha sentensi changamano zinazojitokeza katika kifungu.
-Kutunga sentensi changamano ipasavyo akizingatia magonjwa yasiyoambukizwa.
Ni nini tofauti kati ya sentensi changamano na aina zingine za sentensi unazozijua?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 101
-Orodha ya sentensi
-Kapu maneno
-Chati yenye sentensi mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 102
-Vitabu mbalimbali
-Kadi maneno
-Mifano ya sentensi changamano
Kutambua sentensi changamano -Kutunga sentensi -Kujaza mapengo -Kazi ya vikundi
4 1
Kuandika
Insha za Kiuamilifu - Hotuba ya kutoa ufafanuzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kutambua hotuba ya kutoa ufafanuzi katika matini.
-Kujadili ujumbe, lugha na muundo wa hotuba ya kutoa ufafanuzi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadiliana na wenzake kuhusu ujumbe, lugha na muundo ufaao wa hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadili na wenzake miktadha inayochochea hotuba ya kutoa ufafanuzi.
-Kujadili na wenzake vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi.
Ni mambo gani ya kuzingatia katika kutoa hotuba ya ufafanuzi?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 99
-Vielelezo vya hotuba ya kutoa ufafanuzi
-Vitabu mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
Kujibu maswali -Mijadala -Kuandika vidokezo vya hotuba -Kutunga hotuba ya kutoa ufafanuzi
4 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Kiuamilifu - Hotuba ya kutoa ufafanuzi
Hadithi - Wahusika
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kwa kuzingatia vipengele vyake.
-Kuchangamkia nafasi ya hotuba ya kutoa ufafanuzi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kuhusu magonjwa yasiyoambukizwa akizingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao.
-Kuwasomea wenzake hotuba aliyoandika ili waitolee maoni.
-Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi kuhusu suala linaloathiri jamii yao kisha amsomee mzazi au mlezi ili aitolee maoni.
Ni mambo gani ya kuzingatia katika kutoa hotuba ya ufafanuzi?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 100
-Mifano ya hotuba za kutoa ufafanuzi
-Vifaa vya kidijitali
-Chati zenye vidokezo vya muundo wa hotuba
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 103
-Hadithi zenye wahusika mbalimbali
-Picha za wahusika
Kuandika hotuba ya kutoa ufafanuzi -Wanafunzi kufanyiana tathmini -Uwasilishaji wa hotuba -Mjadala
4 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Hadithi - Wahusika
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchambua sifa za wahusika katika hadithi.
-Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika hadithi.
-Kufurahia kushiriki katika uchambuzi wa wahusika katika hadithi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika hadithi.
-Kutamba hadithi akiwa na wenzake huku wakichukua majukumu mbalimbali.
-Kutunga hadithi fupi ambayo ina wahusika wanyama kuhusu kuheshimu tamaduni za wengine.
-Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa sifa za wahusika katika hadithi aliyosikiliza.
Je, hadithi uliyowahi kusimuliwa ilikuwa na wahusika gani?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 104
-Hadithi zenye wahusika mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
-Picha za wahusika
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 105
-Tamthilia teule
-Vitabu mbalimbali
Kujibu maswali -Mazungumzo -Mijadala -Kutunga hadithi fupi
4 4
Kusoma
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua mbinu za lugha katika tamthilia.
-Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika tamthilia.
-Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kufanya utafiti maktabani au mtandaoni kuhusu matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia.
-Kuwasilishia mzazi au mlezi uchambuzi wa matumizi ya mbinu za lugha katika tamthilia aliyosoma.
-Kutambua na kuchambua mbinu za lugha katika tamthilia ya kuchaguliwa.
1. Tamthilia hutumia mbinu gani za lugha? 2. Mbinu za lugha zina umuhimu gani katika tamthilia?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 106
-Tamthilia teule
-Vitabu mbalimbali
-Vifaa vya kidijitali
Kutambua mbinu za lugha -Kujibu maswali -Kuchanganua mbinu za lugha -Mijadala
5 1
Sarufi
Ukanushaji kwa Kuzingatia Hali - Hali ya mazoea na Hali timilifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya ukanushaji ili kuupambanua.
-Kutambua ukanushaji kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu katika matini.
-Kukanusha sentensi kwa kuzingatia hali ya mazoea na timilifu.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua hali ya mazoea na timilifu kutoka kwenye chati, mti maneno, vitabu au vifaa vya kidijitali.
-Kutambua ukanushaji wa sentensi katika hali ya mazoea na timilifu.
-Kuchagua sentensi zinazoonyesha ukanushaji wa hali ya mazoea na timilifu kutoka kwenye mchanganyiko wa sentensi.
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia hali ya mazoea na timilifu akizingatia kuheshimu tamaduni za wengine.
1. Je, unapotaka kukanusha sentensi unazingatia nini? 2. Je, ukanushaji wa hali ya mazoea na timilifu hutofautianaje?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 109
-Chati zenye mifano ya sentensi
-Kapu maneno
-Vifaa vya kidijitali
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 110
Kuambatanisha maneno lengwa -Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kukanusha sentensi
5 2
Kuandika
Insha za Kubuni - Insha ya maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vipengele vya insha ya maelezo kuhusu mahali.
-Kujadili vipengele vya insha ya maelezo kuhusu mahali.
-Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mahali.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vigezo vya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo.
-Kujadiliana na wenzake kuhusu mada ya insha ya maelezo.
-Kujadili na wenzake vipengele vya insha ya maelezo kutokana na kielelezo cha insha.
-Kuandaa vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu mahali panapolengwa katika insha ya maelezo.
Je, ni vigezo vipi vinavyotumika katika kuandika insha ya maelezo?
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 107
-Vielelezo vya insha za maelezo
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
Oxford Fasaha Kiswahili, uk. 108
Kuandika vidokezo -Kuandika insha ya maelezo -Mijadala -Wanafunzi kufanyiana tathmini
5 3
KUWEKA AKIBA

Kusikiliza na Kuzungumza
Hadithi: Matumizi ya Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika hadithi.
-Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika hadithi.
-Kuonea fahari uchanganuzi wa lugha katika hadithi kama utungo wa fasihi simulizi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua vipengele vya lugha kwa kusikiliza hadithi kutoka kwa mwalimu au vifaa vya kidijitali.
-Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vilivyotumika katika hadithi walizosikiliza.
-Kusimulia hadithi kwa kutumia vipengele vya lugha.
-Kuwawasilishia wenzake hadithi aliyotunga ili watambue vipengele vya lugha vilivyotumika.
-Kushirikiana na mzazi au mlezi kusikiliza hadithi na kutambua vipengele vya lugha vilivyotumika.
1. Ni mbinu gani za lugha zinazotumika katika masimulizi ya hadithi? 2. Matumizi ya lugha katika hadithi yana umuhimu gani?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 111
-Vifaa vya kidijitali
-Rekodi za sauti
-Chati
-Mwongozo wa mwalimu
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenzake -Mazoezi ya maandishi
5 4
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Mjadala
Udogo wa Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala.
-Kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala.
-Kuchambua mitazamo katika kifungu cha mjadala.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kudondoa habari mahususi (k.v. nani, nini, wapi, lini) katika kifungu cha ufahamu cha mjadala.
-Kutambua msamiati mpya (k.v. maneno na nahau) katika kifungu cha ufahamu cha mjadala na kuueleza kwa kutumia kamusi.
-Kueleza maana ya msamiati uliotumiwa kwenye kifungu cha ufahamu cha mjadala na kutunga sentensi akiutumia.
-Kuchambua mitazamo iliyo katika kifungu cha ufahamu cha mjadala.
1. Utawezaje kutambua habari mahususi katika hadithi unayoisoma? 2. Je, unazingatia nini unaposoma vifungu vya ufahamu?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 113
-Kamusi
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Vitabu vya ziada
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 118
-Kadi maneno
-Kapu maneno
Kujibu maswali -Kuiga sentensi -Maswali ya mdomo -Zoezi la uandishi
6 1
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Insha za Maelekezo
Hadithi: Matumizi ya Lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kujadili vipengele vya insha ya maelekezo.
-Kuandika insha ya maelekezo akizingatia vipengele vyake muhimu.
-Kufurahia kuandika insha za maelekezo akizingatia vipengele vyake muhimu.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujadili vipengele vya insha ya maelekezo (k.v. matumizi ya lugha, mpangilio ufaao wa maelekezo, uangavu, ubanaji).
-Kutambua maneno mwafaka, mpangilio mzuri wa sentensi na mpangilio sahihi wa hatua katika kielelezo cha insha ya maelekezo kutoka kwa mwalimu, kwenye maandishi au vifaa vya kidijitali.
-Kuteua maneno yatakayosaidia kufanikisha maelekezo.
-Kuandaa mpangilio ufaao wa sentensi zinazofuatana kulingana na maelekezo anayotaka kutoa.
1. Je, unapoandika insha ya maelekezo unazingatia mambo gani?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 116
-Kielelezo cha insha ya maelekezo
-Chati
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 112
-Vifaa vya kurekodia
-Picha
-Video
-Vitabu vya hadithi
Kazi ya vikundi -Maswali ya mdomo -Kuandika insha -Tathmini ya wenzake
6 2
Kusoma
Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha Mjadala
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchambua mitazamo katika kifungu cha mjadala.
-Kuridhia kusoma kifungu cha mjadala ili kukuza uelewa wa habari.
-Kutunga sentensi kwa kutumia msamiati uliopatikana katika kifungu cha mjadala.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kusoma kifungu kuhusu kuweka akiba.
-Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili waitolee maoni.
-Kutambua mitazamo mbalimbali kuhusu kuweka akiba inayojitokeza kwenye kifungu.
-Kueleza sababu wanazozitoa wale wanaounga mkono uwekaji wa akiba.
-Kueleza sababu wanazozitoa wale wanaopinga uwekaji wa akiba.
-Kutoa maoni yake kuhusu uwekaji wa akiba.
1. Je, ni mitazamo ipi kuhusu kuweka akiba inayojitokeza katika kifungu? 2. Unakubaliana na mtazamo upi kuhusu kuweka akiba? Kwa nini?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 114-115
-Kamusi
-Vifaa vya kidijitali
-Gazeti
-Vitabu vya ziada
Kujibu maswali -Mjadala -Maswali ya mdomo -Zoezi la uandishi -Tathmini ya wenzake
6 3
Sarufi
Kuandika
Udogo wa Nomino
Insha za Maelekezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutumia nomino katika hali ya udogo ipasavyo.
-Kuonea fahari kutumia nomino katika hali ya udogo katika sentensi.
-Kutunga sentensi sahihi kwa kutumia nomino katika hali ya udogo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kujaza nafasi katika sentensi au vifungu kwa kutumia hali ya udogo ipasavyo.
-Kutunga sentensi au vifungu vifupi kwa kutumia nomino katika hali ya udogo akizingatia masuala mtambuko mbalimbali likiwemo suala la kuweka akiba.
-Kuwasilisha kazi yake darasani ili wenzake wazitathmini.
-Kumsomea mzazi au mlezi majina ya vitu vinavyopatikana nyumbani au shuleni katika udogo na kumtungia sentensi kwa kutumia maneno hayo.
1. Kuna tofauti gani kati ya nomino katika hali ya wastani na nomino katika hali ya udogo? 2. Ni mifano ipi ya nomino za udogo unayotumia katika mawasiliano ya kila siku?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 119
-Kadi maneno
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Mabango
-Kamusi
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 117
-Mifano ya insha za maelekezo
Kujaza mapengo -Kutunga sentensi -Kuwasilisha kazi -Tathmini ya wenzake -Mazoezi ya maandishi
6 4
MAADILI YA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Usikilizaji Husishi
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya usikilizaji husishi.
-Kutambua vipengele vya usikilizaji husishi katika matini.
-Kujadili vipengele vya usikilizaji husishi ili kuvipambanua.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kueleza maana ya usikilizaji husishi.
-Kutambua miktadha rasmi na isiyo rasmi ambamo kusikiliza husishi hutokea katika jamii yake.
-Kutambua vipengele vya kuzingatia katika kusikiliza husishi (k.v. kuwa makini, kuuliza maswali yasiyoelekeza, kuomba ufafanuzi, kumtazama mzungumzaji, kuelewa ujumbe anaotaka kukupitishia).
-Kusikiliza mazungumzo kuhusu suala lengwa kutoka vifaa vya kidijitali na kutambua vipengele vya kusikiliza husishi vilivyozingatiwa.
1. Je, ni miktadha gani rasmi na isiyo rasmi ambapo usikilizaji husishi hutokea? 2. Ni vipengele gani unazingatia katika kusikiliza husishi?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 120
-Vifaa vya kidijitali
-Rekodi za sauti
-Picha
-Chati
-Mwongozo wa mwalimu
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 122
-Machapisho
-Kamusi
-Mifano ya ufupisho
Uchunguzi -Maswali ya mdomo -Tathmini ya wenzake -Mjadala
7 1
Sarufi
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini.
-Kujadili kanuni za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa kwa kuzingatia kanuni za kubadilisha usemi.
-Kutumia usemi halisi na usemi wa taarifa ifaavyo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua usemi halisi na usemi wa taarifa katika matini.
-Kujadili kanuni za kubadilisha usemi (k.v. wakati, nafsi, alama za uakifishi).
-Kutambua kanuni za kimsingi za kubadilisha usemi halisi kuwa usemi wa taarifa.
-Kubadilisha sentensi kutoka usemi halisi hadi usemi wa taarifa na usemi wa taarifa hadi usemi halisi.
1. Usemi halisi unatofautianaje na usemi wa taarifa? 2. Unazingatia nini unapobadilisha usemi?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 126
-Vifaa vya kidijitali
-Chati
-Kamusi
-Mifano ya sentensi
-Kadi maneno
Kutambua aina za usemi -Kubadilisha sentensi -Mjadala -Mazoezi ya maandishi
7 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Baruapepe ya Kiofisi
Usikilizaji Husishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua ujumbe unaoafiki baruapepe ya kiofisi.
-Kutambua vipengele vya kimuundo vya baruapepe ya kiofisi.
-Kutumia lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe ya kiofisi.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kutambua ujumbe unaoafiki baruapepe ya kiofisi.
-Kujadili na wenzake vipengele vya kimuundo vya baruapepe ya kiofisi.
-Kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe ya kiofisi.
-Kuandika baruapepe ya kiofisi kwenye tarakilishi na kumsambazia mwenzake kupitia mtandao ili aitolee maoni.
1. Je, ulizingatia vipengele gani katika baruapepe uliyowahi kuandika?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 124
-Vifaa vya kidijitali
-Mifano ya baruapepe
-Chati
-Tarakilishi
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 121
-Rekodi za sauti
-Picha
-Video
Kujadili vipengele -Kuandika baruapepe -Kuwasilisha kazi -Tathmini ya wenzake
7 3
Kusoma
Sarufi
Ufupisho
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika ufupisho unaozingatia mtazamo wa matini ya kufupishwa.
-Kufurahia kufupisha ujumbe kwa usahihi katika miktadha mbalimbali.
-Kutumia lugha fasaha katika ufupisho.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kuandika ufupisho unaozingatia mtazamo wa matini.
-Kumsomea mzazi au mlezi ufupisho alioufanya ili autolee maoni.
-Kusoma kifungu kuhusu maadili ya kijamii.
-Kufupisha kifungu hicho akizingatia idadi ya maneno inayohitajika.
-Kuwasomea wenzake ufupisho wake ili waitolee maoni.
1. Kwa nini ni muhimu kudumisha mtazamo wa kifungu katika ufupisho? 2. Utakadirijeje idadi ya maneno unapofupisha kifungu?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 123
-Vifaa vya kidijitali
-Kamusi
-Kifungu cha kufupisha
-Chati
-Mifano ya ufupisho
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 127-128
-Mifano ya sentensi
-Kadi maneno
Kuandika ufupisho -Kuwasilisha kazi -Tathmini ya wenzake -Zoezi la uandishi
7 4
Kuandika
Baruapepe ya Kiofisi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuandika baruapepe ya kiofisi kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao.
-Kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa kuandika baruapepe ya kiofisi.
-Kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano ipasavyo.
Mwanafunzi aelekezwe:
-Kumwandikia mwalimu wake baruapepe ya kiofisi ili aitathmini.
-Kumsomea mzazi au mlezi baruapepe aliyoiandika ili aitolee maoni.
-Kuandika baruapepe ya kiofisi inayohusu maadili ya kijamii.
-Kushiriki kujadili uzuri na mapungufu ya baruapepe ya kiofisi aliyoandika.
1. Kwa nini ni muhimu kuzingatia muundo ufaao katika baruapepe ya kiofisi? 2. Lugha ya baruapepe ya kiofisi inatofautianaje na lugha ya baruapepe ya kirafiki?
Oxford Fasaha Kiswahili uk. 125
-Vifaa vya kidijitali
-Mifano ya baruapepe
-Tarakilishi
-Intaneti
Kuandika baruapepe -Kuwasilisha kazi -Tathmini ya wenzake -Zoezi la uandishi

Your Name Comes Here


Download

Feedback