If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | SHUGHULI ZA UFUNZAJI | MASWALI DADISI | NYENZO | TATHMINI | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | 1 |
MAGONJWA AMBUKIZI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza kwa Makini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza - Kuwasilisha hoja muhimu katika habari - Kujenga mazoea ya kutambua hoja katika habari anayosikiliza ili kuimarisha usikilizaji wa makini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza kuhusu magonjwa yanayoambukizwa akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi - Kusikiliza habari kuhusu magonjwa yanayoambukizwa na kutaja hoja muhimu kwa maneno machache - Kutafiti mtandaoni kuhusu magonjwa yanayoambukizwa na kudondoa hoja muhimu |
Kwa nini ni muhimu kutambua hoja katika habari uliyosikiliza?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 127
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Matini ya mwalimu |
Kutambua hoja muhimu
Kuwasilisha hoja kwa ufupi
Kushiriki mazungumzo
|
|
| 1 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufasaha
Aina za Sentensi - Sentensi Sahili na Sentensi Ambatano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo - Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo - Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo - Kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake vipengele vya kuzingatia katika kusoma makala kwa ufasaha - Kutazama vielelezo vya video za watu wanaosoma kwa ufasaha - Kusoma kifungu kuhusu magonjwa yanayoambukizwa akizingatia matamshi bora - Kusoma kifungu cha habari kwa kasi ifaayo |
Unazingatia nini ili kusoma makala kwa ufasaha?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 128
Vifaa vya kidijitali Video Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 129 Chati Kadi maneno Tarakilishi |
Kusoma kwa ufasaha
Kutazama video
Kutoa maoni kuhusu usomaji
|
|
| 1 | 3 |
Kuandika
|
Hotuba ya Kupasha Habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya hotuba ya kupasha habari - Kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini - Kueleza ujumbe, lugha na muundo wa hotuba ya kupasha habari - Kuandika hotuba ya kupasha habari kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao - Kuchangamkia nafasi ya hotuba ya kupasha habari katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya hotuba ya kupasha habari akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi - Kusoma hotuba ya kupasha habari na kujadiliana na wenzake kuhusu ujumbe, lugha na muundo wake - Kujadili miktadha inayosababisha kutolewa kwa hotuba ya kupasha habari |
Ni mambo yepi ambayo yanaweza kuelezwa kupitia kwa hotuba?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 129
Mifano ya hotuba Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali |
Kueleza maana ya hotuba
Kutambua muundo wa hotuba
Kujadili ujumbe wa hotuba
|
|
| 1 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza kwa Makini
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua hoja muhimu katika habari aliyosikiliza - Kuwasilisha hoja muhimu katika habari - Kujenga mazoea ya kutambua hoja katika habari anayosikiliza ili kuimarisha usikilizaji wa makini |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza habari kwenye kinasasauti jinsi atakavyoongozwa na mwalimu - Kutafiti mtandaoni kuhusu namna ya kujikinga dhidi ya magonjwa yanayoambukizwa - Kuwawasilishie wenzake hoja muhimu alizotatmbua katika utafiti wake |
Unafanya nini ili kupata habari zilizoko katika habari uliyosikiliza?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 132
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Matini ya mwalimu |
Kutambua hoja muhimu
Kuwasilisha utafiti
Kutoa maoni
|
|
| 2 | 1 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Ufasaha
Aina za Sentensi - Sentensi Sahili na Sentensi Ambatano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kusoma kifungu kwa kuzingatia matamshi bora - Kusoma kifungu kwa kasi ifaayo - Kusoma kifungu kwa kutumia sauti ipasavyo - Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo - Kuridhia kusoma makala kwa kuzingatia vipengele vinavyofanikisha mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu akizingatia sauti ifaayo na kasi ifaayo - Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa - Kusoma mbele ya wenzake kazi yake ili wamtolee maoni - Kumsomea mzazi au mlezi makala akizingatia vipengele vya usomaji bora |
Ni vipengele gani vya kusoma kwa ufasaha?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 133
Kifungu kuhusu magonjwa Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 135 Vifaa vya kidijitali Kadi maneno |
Kusoma kwa ufasaha
Kutumia ishara zifaazo
Kutathmini usomaji wa wenzake
|
|
| 2 | 2 |
Kuandika
|
Hotuba ya Kupasha Habari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya hotuba ya kupasha habari - Kutambua hotuba ya kupasha habari katika matini - Kueleza ujumbe, lugha na muundo wa hotuba ya kupasha habari - Kuandika hotuba ya kupasha habari kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao - Kuchangamkia nafasi ya hotuba ya kupasha habari katika mawasiliano |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadili vidokezo vinavyoweza kutumiwa katika kuandika hotuba ya kupasha habari - Kuandika hotuba ya kupasha habari kuhusu magonjwa yanayoambukizwa kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao - Kuwasomea wenzake hotuba aliyoandika ili waitolee maoni - Kuwasambazie wenzake hotuba aliyoandika mtandaoni |
Ni vigezo gani vya kuandika hotuba nzuri?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 136
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kuandika hotuba
Kusoma hotuba
Kutoa maoni kuhusu hotuba za wenzake
|
|
| 2 | 3 |
UTATUZI WA MIZOZO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Wahusika katika Nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua wahusika katika wimbo - Kuchambua wahusika katika wimbo - Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika wimbo - Kufurahia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika nyimbo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza wimbo akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi - Kutambua wahusika katika wimbo aliosikiliza - Kuchambua akiwa na wenzake wahusika katika wimbo anaosikiliza - Kuimba au kusikiliza wimbo katika vifaa vya kidijitali kuhusu utatuzi wa mizozo |
Je, ni wahusika gani katika wimbo?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 137
Kinasasauti Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyimbo za utatuzi wa mizozo |
Kutambua wahusika
Kuchambua wahusika
Kuimba nyimbo
|
|
| 2 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
Ukanushaji kwa Kuzingatia Nyakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi - Kutambua mbinu za lugha katika novela - Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela - Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi - Kutambua mbinu za lugha kama vile tashbihi, sitiari, nahau, methali katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela - Kuhakiki uwasilishaji wa wenzake na kutoa maoni |
Mbinu za lugha zina umuhimu gani zinapotumiwa katika kifungu?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 139
Novela iliyoteuliwa Matini ya mwalimu Kamusi Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 140 Chati za nyakati Mti maneno Vifaa vya kidijitali |
Kutambua mbinu za lugha
Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha
Kuhakiki uwasilishaji
|
|
| 3 |
OPENER EXAM |
||||||||
| 4 | 1 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua mambo ya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mtu - Kuchangamkia kutoa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua dhana ya insha ya maelezo akiwa peke yake au katika kikundi - Kutambua mambo ya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo akiwa na wenzake katika kikundi - Kujadiliana na wenzake kuhusu mada ya insha ya maelezo - Kuandaa vidokezo vya insha ya maelezo kuhusu sura na matendo ya mtu |
Je, insha ya maelezo inahusu nini?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 141
Mifano ya insha za maelezo Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali |
Kutambua insha ya maelezo
Kuandaa vidokezo
Kujadiliana kuhusu mada
|
|
| 4 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Wahusika katika Nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua wahusika katika wimbo - Kuchambua wahusika katika wimbo - Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika wimbo - Kufurahia kushiriki katika uchanganuzi wa wahusika katika nyimbo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza mafunzo kutokana na wahusika katika wimbo akiwa peke yake, wawiliwawili au katika kikundi - Kutunga wimbo kuhusu utatuzi wa mizozo na kuwawasilishia wenzake ili wachanganue wahusika - Kushirikiana na mzazi au mlezi wake kuchanganua wahusika katika nyimbo mbalimbali kutoka kwa jamii yake |
Ni mafunzo gani tunayapata kutoka kwa wahusika?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 142
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Matini ya mwalimu |
Kueleza mafunzo
Kutunga wimbo
Kuwasilisha wimbo
|
|
| 4 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Kusoma kwa Kina - Mbinu za Lugha
Ukanushaji kwa Kuzingatia Nyakati |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza maana ya mbinu za lugha katika fasihi - Kutambua mbinu za lugha katika novela - Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumiwa katika novela - Kufurahia kuchanganua matumizi ya mbinu za lugha katika fasihi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua mbinu za lugha kwenye novela aliyosoma - Kueleza umuhimu wa mbinu za lugha zilizotumika katika novela iliyoteuliwa na mwalimu - Kuwasilisha muhtasari wa matumizi ya mbinu za lugha katika novela - Kufanya utafiti maktabani au mtandaoni kuhusu matumizi ya mbinu za lugha katika novela |
Ni mbinu gani za lugha tunazozifahamu?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 143
Novela iliyoteuliwa Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 144 Kadi maneno |
Kutambua mbinu za lugha
Kuwasilisha muhtasari
Kufanya utafiti
|
|
| 4 | 4 |
Kuandika
|
Insha za Kubuni - Maelezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua mambo ya kimsingi katika uandishi wa insha ya maelezo - Kuandika insha ya maelezo inayodhihirisha sifa za mtu - Kuchangamkia kutoa maelezo kamilifu kuhusu kitu au jambo |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo inayotoa sifa za mtu akizingatia muundo ufaao na inayohusisha utatuzi wa mizozo - Kuwasomea wenzake darasani insha aliyoandika - Kubuni insha ya maelezo inayotoa sifa za mtu kisha awasambazie wenzake mtandaoni ili waitolee maoni - Kutolea insha za wenzake maoni kwa upendo |
Je, ni vigezo vipi vinatumika katika kuandika insha ya maelezo?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 145
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kuandika insha
Kusoma insha
Kutoa maoni
|
|
| 5 | 1 |
MATUMIZI YA PESA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Lugha katika Nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo - Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule - Kuonea fahari uchanganuzi wa lugha katika nyimbo kama utungo wa fasihi simulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua vipengele vya lugha kama vile urudiaji, nahau, methali na maneno yasiyokuwa na maana kwa kusikiliza nyimbo kuhusu matumizi ya pesa - Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vilivyotumika katika nyimbo walizosikiliza akiwa na wenzake - Kutunga wimbo unaohusiana na matumizi ya pesa akizingatia vipengele vya lugha katika nyimbo |
Nyimbo hutumia vipengele gani vya lugha?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 147
Kinasasauti Nyimbo kuhusu pesa Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali |
Kutambua vipengele vya lugha
Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha
Kutunga wimbo
|
|
| 5 | 2 |
Kusoma
Sarufi |
Ufahamu wa Kifungu cha Mjadala
Ukubwa wa Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala - Kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala - Kuandika habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi - Kuchambua mitazamo katika kifungu cha mjadala - Kuridhia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha mjadala cha ufahamu 'Mla Leo' kuhusu matumizi ya pesa - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala cha ufahamu - Kutambua msamiati mpya kuhusu matumizi ya pesa katika kifungu cha mjadala - Kuandika habari za kifungu cha ufahamu kwa ufupi |
Kwa nini tunasoma ufahamu?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 149
Kifungu 'Mla Leo' Kamusi Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 151 Kadi maneno Chati Vifaa vya darasani |
Kusoma kifungu cha mjadala
Kudondoa habari mahususi
Kuandika ufupisho
|
|
| 5 | 3 |
Kuandika
|
Insha ya Maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua aina za insha za maelekezo - Kujadili sifa za insha ya maelekezo - Kuandaa mpangilio wa hatua za insha ya maelekezo - Kuandika insha ya maelekezo akizingatia vipengele muhimu vya insha ya maelekezo - Kufurahia kutoa maelekezo ifaavyo katika maisha ya kila siku akizingatia anwani na mpangilio ufaao wa hatua |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma maelekezo ya 'Karibu nyumbani kwetu' na kubainisha sifa za insha ya maelekezo - Kutambua aina za insha za maelekezo na kujadili aina mbalimbali za insha za maelekezo - Kushirikiana na mwenzake katika kikundi kujadili mpangilio unaofaa wa hatua za kuelekeza - Kuandaa mpangilio wa hatua za insha ya maelekezo |
Utatumia mpangilio gani wa kumwelekeza mtu asipoteze njia?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 152
Mifano ya insha za maelekezo Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali |
Kutambua aina za insha za maelekezo
Kujadili mpangilio wa hatua
Kuandaa mpangilio
|
|
| 5 | 4 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Lugha katika Nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo - Kujadili umuhimu wa vipengele vya lugha vinavyotumika katika nyimbo teule - Kuonea fahari uchanganuzi wa lugha katika nyimbo kama utungo wa fasihi simulizi |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza wimbo mtakayoimbiwa na mwalimu na kuimba wimbo mliosikiliza - Kutambua mbinu za lugha zilizotumika katika wimbo mliosikiliza - Kujadili umuhimu wa vipengele vya mbinu za lugha zilizotumika katika wimbo - Kushirikiana na mwenzake kutunga wimbo unaohusu matumizi ya pesa na kuimbeni wimbo wenu huku mkijirekodi kwenye kinasasauti |
Kutumia vipengele mbalimbali vya lugha katika wimbo kuna umuhimu gani?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 154
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Matini ya mwalimu |
Kutambua mbinu za lugha
Kutunga wimbo
Kujirekodi
|
|
| 6 |
MIDTERM EXAM |
||||||||
| 7 | 1 |
Kusoma
Sarufi |
Ufahamu wa Kifungu cha Mjadala
Ukubwa wa Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kudondoa habari mahususi katika kifungu cha mjadala - Kutambua msamiati mpya katika kifungu cha mjadala - Kuandika habari za kifungu cha mjadala kwa ufupi - Kuchambua mitazamo katika kifungu cha mjadala - Kuridhia kusoma kwa ufahamu ili kukuza uelewa wa habari |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu 'Uwekezaji bora' kuhusu matumizi ya pesa - Kuchambua mitazamo iliyo katika kifungu cha ufahamu cha mjadala - Kuwawasilishia wenzake kazi yake ili wamtolee maoni - Kutathmini kazi ya wenzake kwa upendo - Kubainisha tofauti na mifanano ya maoni baina ya wahusika |
Je, ni mambo gani yanayoweza kukusaidia kuelewa kifungu cha ufahamu?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 154
Kifungu 'Uwekezaji bora' Kamusi Matini ya mwalimu Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 156 Vifaa vya kidijitali Kadi maneno |
Kuchambua mitazamo
Kuwasilisha kazi
Kutathmini kazi za wenzake
|
|
| 7 | 2 |
Kuandika
|
Insha ya Maelekezo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua aina za insha za maelekezo - Kujadili sifa za insha ya maelekezo - Kuandaa mpangilio wa hatua za insha ya maelekezo - Kuandika insha ya maelekezo akizingatia vipengele muhimu vya insha ya maelekezo - Kufurahia kutoa maelekezo ifaavyo katika maisha ya kila siku akizingatia anwani na mpangilio ufaao wa hatua |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelekezo kwenye tarakilishi akizingatia anwani na mpangilio mwafaka wa hatua - Kuwasambazie wenzake insha aliyoandika kwenye vifaa vya kidijitali ili waitolee maoni - Kushirikiana na wenzake kusahihisha insha ya maelekezo aliyoandika akizingatia anwani na mpangilio ufaao wa hatua |
Ni hatua gani za kuandika insha ya maelekezo?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 158
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kuandika insha ya maelekezo
Kusambaza kazi kwenye mtandao
Kusahihisha insha
|
|
| 7 | 3 |
MAADILI YA MTU BINAFSI
Kusikiliza na Kuzungumza |
Kusikiliza Habari na Kujibu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua masuala katika matini aliyosikiliza - Kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini aliyosikiliza - Kutabiri yatakayotokea katika matini kutokana na vidokezo alivyosikia katika habari - Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ulivyotumiwa katika matini aliyosikiliza - Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua masuala yanayoshughulikiwa katika matini kuhusu maadili ya mtu binafsi aliyosikiliza - Kutambua msamiati wa maadili ya mtu binafsi uliotumika katika matini alizosikiliza - Kutabiri kitakachotokea au atakachofanya mhusika kutoka kwenye matini aliyosikiliza kwa kuzingatia vidokezo |
Je, ni mambo gani yanayokuelekeza kufasiri suala muhimu katika habari unayosikiliza?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 159
Kinasasauti Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kutambua masuala
Kutambua msamiati
Kutabiri matukio
|
|
| 7 | 4 |
Kusoma
Sarufi |
Ufupisho
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya za matini kwa sentensi mojamoja - Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja - Kuandika ufupisho unaozingatia mtazamo wa matini ya kufupishwa - Kufurahia kufupisha ujumbe kwa usahihi katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu kuhusu maadili ya mtu binafsi - Kueleza kwa usahihi ujumbe katika kila aya kwa kutumia sentensi mojamoja - Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja - Kujadili katika kikundi kuhusu jinsi ya kuandika ufupisho wa matini |
Ni mambo gani yanayokusaidia kuandika ufupisho?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 160
Kifungu kuhusu maadili Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 161 Mifano ya sentensi za usemi halisi na wa taarifa |
Kusoma kifungu
Kueleza ujumbe wa aya
Kujadili jinsi ya kuandika ufupisho
|
|
| 8 | 1 |
Kuandika
|
Kuandika Kidijitali - Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua ujumbe unaoafiki baruapepe kwa rafiki - Kutambua vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki - Kutumia lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki - Kuandika baruapepe kwa rafiki kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao - Kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa kuandika baruapepe kwa rafiki |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma baruapepe na kutambua ujumbe katika barua hiyo - Kutambua na kujadili ujumbe unaoafiki baruapepe kwa rafiki - Kujadili vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki vinavyojitokeza kwenye barua - Kushiriki katika kujadili na wenzake kuhusu lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki |
Je, utazingatia nini unapoandika barua pepe kwa rafiki yako?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 163
Mfano wa baruapepe Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kusoma baruapepe
Kutambua ujumbe na muundo
Kujadili lugha inayofaa
|
|
| 8 | 2 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Kusikiliza Habari na Kujibu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua masuala katika matini aliyosikiliza - Kutambua msamiati wa suala lengwa katika matini aliyosikiliza - Kutabiri yatakayotokea katika matini kutokana na vidokezo alivyosikia katika habari - Kueleza maana za msamiati wa suala lengwa kama ulivyotumiwa katika matini aliyosikiliza - Kuchangamkia kushiriki katika kusikiliza kwa ufahamu ili kukuza stadi ya kusikiliza |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana za msamiati wa maadili ya mtu binafsi kama ulivyotumiwa katika matini aliyosikiliza - Kusikiliza matini kuhusu maadili ya mtu binafsi kutoka kwa mwalimu au mgeni mwalikwa na kufasiri wazo kuu - Kusikiliza habari kwenye vifaa vya kidijitali kuhusu maadili ya mtu binafsi - Kushirikiana na mzazi au mlezi kutafiti kwenye tovuti salama kuhusu maadili ya mtu binafsi |
Ni njia gani za kufasiri ujumbe katika habari?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 164
Vifaa vya kidijitali Kinasasauti Matini ya mwalimu |
Kueleza maana za msamiati
Kufasiri wazo kuu
Kushirikiana na mzazi
|
|
| 8 | 3 |
Kusoma
Sarufi |
Ufupisho
Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya za matini kwa sentensi mojamoja - Kueleza kwa usahihi ujumbe wa aya zote za matini kwa aya moja - Kuandika ufupisho unaozingatia mtazamo wa matini ya kufupishwa - Kufurahia kufupisha ujumbe kwa usahihi katika miktadha mbalimbali |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu 'Adili' kuhusu maadili ya mtu binafsi - Kueleza ujumbe unaopatikana katika kila aya ya kifungu kwa sentensi mojamoja - Kueleza ujumbe unaopatikana katika aya zote za kifungu kwa aya moja - Kujadili namna ya kuandika ufupisho wa matini |
Ni hatua gani za kuandika ufupisho?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 165
Kifungu 'Adili' Matini ya mwalimu Vifaa vya kidijitali Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 166 Mifano ya sentensi |
Kusoma kifungu cha 'Adili'
Kueleza ujumbe wa kifungu
Kujadili hatua za kuandika ufupisho
|
|
| 8 | 4 |
Kuandika
|
Kuandika Kidijitali - Baruapepe
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Mwisho wa funzo, - Kutambua ujumbe unaoafiki baruapepe kwa rafiki - Kutambua vipengele vya kimuundo vya baruapepe kwa rafiki - Kutumia lugha inayofaa katika uandishi wa baruapepe kwa rafiki - Kuandika baruapepe kwa rafiki kwa kuzingatia ujumbe, lugha na muundo ufaao - Kujenga mazoea ya kuwasiliana kwa kuandika baruapepe kwa rafiki |
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika baruapepe kwa rafiki kwenye tarakilishi akizingatia ujumbe, lugha na muundo - Kuwasambazie wenzake baruapepe aliyoandika mtandaoni ili waisome na kuitolea maoni - Kuandika baruapepe kwa rafiki kisha amtumie mwalimu mtandaoni ili aisome na kuitathmini |
Ni vipengele gani vya kimuundo vya baruapepe?
|
Nyota ya Kiswahili Gredi ya Saba uk. 167
Tarakilishi Vifaa vya kidijitali Matini ya mwalimu |
Kuandika baruapepe
Kusambaza kazi mtandaoni
Kumtumia mwalimu kazi
|
|
| 9 |
END TERM EXAM AND CLOSING |
||||||||
Your Name Comes Here