If this scheme pleases you, click here to download.
| WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 |
KUFUNGA NA KURIPOTI SHULENI |
|||||||
| 2 | 1 |
SURA YA KWANZA
Kusikiliza na Kuzungumza Kusoma kwa Ufahamu |
Isimu jamii - Sajili ya Dini
Tamthilia: "Asali Yawa Shubiri" |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sajili Kutambua sifa za sajili ya dini Kuigiza mazungumzo katika maabadi Kutumia msamiati wa kidini |
Kuuliza maswali ya utangulizi kuhusu lugha mbalimbali Kueleza dhana ya sajili na aina zake Kusoma na kujadili sifa za sajili ya dini Kuigiza mazungumzo ya Wakristo na Waislamu Kujibu maswali ya uelewa |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Chati za sajili Kanda za sauti (ikiwa zinapatikana) Chati za uchambuzi wa wahusika Kadi za maswali |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 1-3
|
|
| 2 | 2 |
Sarufi
Kusoma kwa Kina |
Viulizi - "pi" na "ngapi"
Magazeti: Tahariri na Habari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya kiulizi "pi" Kutumia kiulizi "ngapi" sahihi Kutunga sentensi zenye viulizi Kubainisha tofauti za viulizi mbalimbali |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu viulizi Kueleza jinsi viulizi vinavyochukua viambishi vya ngeli Kufanya mazoezi ya kutumia "pi" na "ngapi" Kutunga sentensi mpya zenye viulizi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Jedwali la ngeli Kadi za mazoezi Ubao mweusi Magazeti ya hivi karibuni Makala ya habari Scissors na glue |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 7-10
|
|
| 2 | 3-4 |
Kuandika
SURA YA KWANZA |
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua Rasmi
Fasihi andishi; Muktadha na usuli wa tamthilia kusoma-fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa barua rasmi Kutofautisha mitindo ya barua rasmi Kuandika barua rasmi kwa usahihi Kutumia lugha rasmi ipasavyo Kueleza maana ya tamthiliaKufafanua muktadha tofauti ya tamthilia Kunasibisha muktadha wa usuli na maudhui ya tamthilia |
Kuuliza maswali kuhusu aina za barua wanayozifahamu Kueleza sifa na muundo wa barua rasmi Kuonyesha mitindo: mshazari na wima Kuandika barua ya kuomba ruhusa ya ziara Kusahihisha na kukarabati barua zao Kusoma Kujadili Kuwasilisha Kuuliza maswali Kuandika |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Mifano ya barua rasmi Karatasi za kuandikia Kalamu na penseli Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 14-16
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
|
| 2 | 5 |
Fasihi Andishi
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Dhima ya Fasihi kwa Jumla |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Chati za tanzu za fasihi Kielelezo cha fasihi simulizi Vifaa vya uigizaji |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
| 2 | 6 |
SURA YA PILI
Kusoma kwa Ufahamu |
Shairi: "Mikanda Tujifungeni"
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma shairi kwa uelewa Kueleza maudhui ya shairi Kutambua ujumbe wa shairi Kuchambua muundo wa shairi |
Kuuliza maswali kuhusu usalama barabarani Kusoma shairi kwa sauti pamoja Kuchambua kila ubeti na ujumbe wake Kujadili umuhimu wa mikanda ya usalama Kujibu maswali ya kina kuhusu shairi |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Chati za uchambuzi wa shairi Picha za mikanda ya usalama Majarida ya usalama |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 20-21
|
|
| 3 | 1 |
Sarufi
Kusoma kwa Kina |
'A' Unganifu na Virejeshi 'O' na 'amba'
Magazeti: Barua kwa Mhariri na Ripoti za Michezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya 'A' unganifu Kutumia kirejeshi 'amba' sahihi Kutofautisha 'O' rejeshi ya awali na tamati Kutunga sentensi zenye virejeshi |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu virejeshi Kueleza jinsi 'A' unganifu inavyochukua viambishi Kufanya mazoezi ya kutumia 'amba' na 'O' rejeshi Kutunga sentensi mpya zenye virejeshi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Jedwali la ngeli Kadi za mazoezi Ubao mweusi Magazeti ya hivi karibuni Makala ya michezo Scissors na glue |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 22-25
|
|
| 3 | 2 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kiuamilifu: Barua kwa Mhariri
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa barua kwa mhariri Kutofautisha barua kwa mhariri na barua rasmi Kuandika barua kwa mhariri kwa usahihi Kutumia lugha teule yenye staha |
Kuuliza maswali kuhusu barua za maoni Kueleza sifa na muundo wa barua kwa mhariri Kuonyesha mifano ya barua kwa mhariri Kuandika barua kuhusu mikanda ya usalama Kusahihisha na kukarabati barua zao |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Mifano ya barua kwa mhariri Karatasi za kuandikia Kalamu na penseli |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 30-32
|
|
| 3 | 3-4 |
Fasihi Andishi
SURA YA TATU Kusikiliza na Kuzungumza |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Ufahamu wa Kusikiliza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi Kuboresha ujuzi wa kusikiliza Kuelewa makala kutoka redio au kanda Kujibu maswali kwa usahihi Kutambua mambo muhimu katika mazungumzo |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi Kuuliza maswali kuhusu umuhimu wa kusikiliza Kusikiliza makala kutoka redio au kanda Kujadili maudhui ya makala waliyosikiliza Kujibu maswali kuhusu makala Kufanya mazoezi ya kusikiliza |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Kanda za sauti Redio (ikiwa inapatikana) Kadi za maswali |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 33 |
|
| 3 | 5 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
"Zimwi Limeingia Duniani"
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma ufahamu kwa uelewa Kueleza maudhui ya ufahamu Kutambua ujumbe wa ufahamu Kuchambua changamoto za ukimwi |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu ukimwi Kusoma ufahamu kwa sauti kwa vikundi Kujadili hatari na madhara ya ukimwi Kuchambua njia za kujikinga na ukimwi Kujibu maswali ya kina kuhusu ufahamu |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Chati za uchambuzi wa ukimwi Majarida ya afya Vipande vya habari |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 33-34
|
|
| 3 | 6 |
Sarufi
|
Vivumishi vya Pekee
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza matumizi ya vivumishi vya pekee Kutumia -enye, -enyewe, -ote sahihi Kutofautisha -o-ote, -ingine, -ingineo Kutunga sentensi zenye vivumishi vya pekee |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vivumishi Kueleza jinsi vivumishi vya pekee vinavyotumika Kufanya mazoezi ya kutumia vivumishi vya pekee Kutunga sentensi mpya zenye vivumishi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la vivumishi vya pekee Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 34-39
|
|
| 4 | 1 |
Kusoma kwa Mapana
|
Ukimwi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma makala kwa mapana Kueleza masuala ibuka Kuchambua umuhimu wa elimu dhidi ya ukimwi Kutambua njia za kupambana na ukimwi |
Kuuliza maswali kuhusu masuala ibuka Kusoma makala ya ukimwi kwa uangalifu Kujadili masuala ibuka yanayohusiana na ukimwi Kuchambua umuhimu wa elimu katika kupambana na ukimwi Kuandika muhtasari wa makala |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Makala za ziada kuhusu ukimwi Kamusi ya Kiswahili Jedwali la masuala ibuka |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 39-40
|
|
| 4 | 2 |
Kusoma kwa Mapana
|
Ukimwi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma makala kwa mapana Kueleza masuala ibuka Kuchambua umuhimu wa elimu dhidi ya ukimwi Kutambua njia za kupambana na ukimwi |
Kuuliza maswali kuhusu masuala ibuka Kusoma makala ya ukimwi kwa uangalifu Kujadili masuala ibuka yanayohusiana na ukimwi Kuchambua umuhimu wa elimu katika kupambana na ukimwi Kuandika muhtasari wa makala |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Makala za ziada kuhusu ukimwi Kamusi ya Kiswahili Jedwali la masuala ibuka |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 39-40
|
|
| 4 | 3-4 |
Kuandika
Fasihi Andishi SURA YA NNE Kusikiliza na Kuzungumza |
Utungaji wa Kiuamilifu: Resipe na Muhtasari
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine Mazungumzo: Ofisini kwa Mtawala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya resipe Kuandika resipe kwa usahihi Kueleza hatua za kuandika muhtasari Kuandika muhtasari wa makala Kuigiza mazungumzo rasmi Kutumia lugha sanifu Kuwasilisha maombi kwa viongozi Kubainisha changamoto za kijamii |
Kuuliza maswali kuhusu aina za chakula wanayochipenda Kueleza sifa na muundo wa resipe Kuonyesha mifano ya resipe Kuandika resipe ya chakula wanachokipenda Kujifunza hatua za kuandika muhtasari Kuandika muhtasari wa "Zimwi Limeingia Duniani" Kuuliza maswali kuhusu uhalifu na matatizo ya kijamii Kuigiza mazungumzo kati ya mwananchi na mtawala Kujadili njia za kutoa taarifa kwa mamlaka Kufanya mazungumzo kuhusu usalama wa kijiji Kutatua matatizo kwa njia ya mazungumzo |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Mifano ya resipe Karatasi za kuandikia Vitabu vya kupikia Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Kadi za majukumu Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 40-42
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 43-44 |
|
| 4 | 5 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mazungumzo: Ofisini kwa Mtawala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuigiza mazungumzo rasmi Kutumia lugha sanifu Kuwasilisha maombi kwa viongozi Kubainisha changamoto za kijamii |
Kuuliza maswali kuhusu uhalifu na matatizo ya kijamii Kuigiza mazungumzo kati ya mwananchi na mtawala Kujadili njia za kutoa taarifa kwa mamlaka Kufanya mazungumzo kuhusu usalama wa kijiji Kutatua matatizo kwa njia ya mazungumzo |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Kadi za majukumu Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 43-44
|
|
| 4 | 6 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
"Umoja wa Kitaifa"
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma ufahamu kwa uelewa Kueleza umuhimu wa umoja wa kitaifa Kutambua jukumu la lugha katika umoja Kuchambua athari za usanifishaji |
Kuuliza maswali kuhusu lugha za kitaifa Kusoma makala kwa sauti pamoja Kujadili umuhimu wa Kiswahili kama lugha ya taifa Kuchambua changamoto za kutumia lugha za kigeni Kujibu maswali ya kina kuhusu makala |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Chati za lugha za Kenya Kamusi za Kiswahili Majarida ya kilugha |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 44-45
|
|
| 5 | 1 |
Sarufi
|
Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza aina za vielezi Kutofautisha vielezi vya namna, wakati, idadi na mahali Kutumia vielezi sahihi katika sentensi Kutunga sentensi zenye vielezi |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vielezi Kueleza aina mbalimbali za vielezi Kufanya mazoezi ya kutambua vielezi Kutunga sentensi mpya zenye vielezi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la aina za vielezi Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 45-49
|
|
| 5 | 2 |
Kusoma kwa Mapana
|
Habari na Ripoti za Runinga na Redio
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma habari kwa mapana Kueleza sifa za habari za runinga na redio Kutofautisha habari na ripoti Kuchambua maudhui ya habari |
Kuuliza maswali kuhusu vyombo vya habari Kusoma habari za runinga na redio Kujadili tofauti za habari za runinga, redio na magazeti Kuchambua lugha inayotumiwa katika habari Kuandika muhtasari wa habari |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Makala za habari Redio (ikiwa inapatikana) Kanda za sauti |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 49-50
|
|
| 5 | 3-4 |
Kuandika
Fasihi Andishi |
Utungaji wa Kiuamilifu: Hotuba
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa hotuba Kutofautisha sehemu za hotuba Kuandika hotuba kwa usahihi Kutumia lugha mwafaka ya hotuba Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kuuliza maswali kuhusu hotuba wanayozifahamu Kueleza sifa na muundo wa hotuba Kuonyesha mifano ya hotuba Kuandika hotuba kuhusu umoja wa kitaifa Kutoa hotuba mbele ya darasa Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Mifano ya hotuba Karatasi za kuandikia Kalamu na penseli Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 50-51
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
|
| 5 | 5 |
SURA YA TANO
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mazungumzo: Fasihi Simulizi - Malumbano ya Utani na Ulumbi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza aina za mazungumzo ya kifasihi Kutofautisha malumbano ya utani na ulumbi Kuigiza mazungumzo ya utani Kutambua sifa za ulumbi |
Kuuliza maswali kuhusu mazungumzo ya kitamaduni Kueleza aina za utani na dhima zake Kuigiza malumbano ya utani kati ya marafiki Kusikiliza mifano ya ulumbi Kujadili umuhimu wa mazungumzo ya kifasihi |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Chati za aina za utani Kanda za sauti |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 52-56
|
|
| 5 | 6 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Shairi: "Tukomesheni Ajira ya Watoto"
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma shairi kwa uelewa Kueleza maudhui ya shairi Kutambua ujumbe wa shairi Kuchambua haki za watoto |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu ajira ya watoto Kusoma shairi kwa sauti pamoja Kuchambua kila ubeti na ujumbe wake Kujadili haki za watoto na changamoto zao Kujibu maswali ya kina kuhusu shairi |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Chati za uchambuzi wa shairi Picha za watoto wafanyakazi Hati za haki za watoto |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 56-58
|
|
| 6 |
MTIHANI YA KATIKATI YA MUHULA |
|||||||
| 7 |
LIKIZO NDOGO YA MUHULA KATI |
|||||||
| 8 | 1 |
Sarufi
|
Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza aina za viwakilishi Kutofautisha viwakilishi mbalimbali Kutumia viwakilishi sahihi katika sentensi Kutunga sentensi zenye viwakilishi |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu viwakilishi Kueleza aina kumi za viwakilishi Kufanya mazoezi ya kutambua viwakilishi Kutunga sentensi mpya zenye viwakilishi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la viwakilishi Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 58-62
|
|
| 8 | 2 |
Kusoma kwa Kina
|
Historia na Maendeleo ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma historia ya Kiswahili kwa mapana Kueleza chimbuko la Kiswahili Kutofautisha maoni kuhusu asili ya Kiswahili Kuchambua lahaja za Kiswahili |
Kuuliza maswali kuhusu historia ya lugha ya Kiswahili Kusoma makala ya historia kwa uangalifu Kujadili maoni mbalimbali kuhusu asili ya Kiswahili Kuchambua ramani ya lahaja za Kiswahili Kuandika muhtasari wa historia ya Kiswahili |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Ramani ya lahaja za Kiswahili Vitabu vya ziada vya historia Kamusi ya Kiswahili |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 62-64
|
|
| 8 | 3-4 |
Kusoma kwa Kina
Kuandika Fasihi Andishi |
Historia na Maendeleo ya Kiswahili
Insha ya Mawazo na Insha ya Mazungumzo Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma historia ya Kiswahili kwa mapana Kueleza chimbuko la Kiswahili Kutofautisha maoni kuhusu asili ya Kiswahili Kuchambua lahaja za Kiswahili Kueleza maana ya insha ya mawazo Kutofautisha insha ya mawazo na mazungumzo Kuandika insha ya mawazo kwa ubunifu Kutunga mazungumzo ya kuvutia |
Kuuliza maswali kuhusu historia ya lugha ya Kiswahili Kusoma makala ya historia kwa uangalifu Kujadili maoni mbalimbali kuhusu asili ya Kiswahili Kuchambua ramani ya lahaja za Kiswahili Kuandika muhtasari wa historia ya Kiswahili Kuuliza maswali kuhusu aina za insha Kueleza sifa za insha ya mawazo Kuonyesha mifano ya insha za mazungumzo Kuandika insha ya mawazo kuhusu mzunguko wa maji Kutunga mazungumzo kati ya wanakijiji |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Ramani ya lahaja za Kiswahili Vitabu vya ziada vya historia Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Mifano ya insha Karatasi za kuandikia Kalamu na penseli Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 62-64
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 64-65 |
|
| 8 | 5 |
SURA YA SITA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mahakamani - Sajili ya Kisheria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza sajili ya mahakamani Kutumia msamiati wa kisheria Kuigiza mazungumzo ya mahakamani Kutambua taratibu za kisheria |
Kuuliza maswali kuhusu mfumo wa sheria Kueleza msamiati wa mahakamani Kuigiza kesi ya mahakamani Kujadili taratibu za hukumu Kufanya mazungumzo kuhusu haki za binadamu |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Kadi za majukumu ya mahakamani Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 66-67
|
|
| 8 | 6 |
Kusikiliza na Kuzungumza
|
Mahakamani - Sajili ya Kisheria
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza sajili ya mahakamani Kutumia msamiati wa kisheria Kuigiza mazungumzo ya mahakamani Kutambua taratibu za kisheria |
Kuuliza maswali kuhusu mfumo wa sheria Kueleza msamiati wa mahakamani Kuigiza kesi ya mahakamani Kujadili taratibu za hukumu Kufanya mazungumzo kuhusu haki za binadamu |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vifaa vya uigizaji Kadi za majukumu ya mahakamani Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 66-67
|
|
| 9 | 1 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
"Tete Atetemesha" - Tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma tamthilia kwa uelewa Kueleza maudhui ya tamthilia Kutambua visa vya ufisadi Kuchambua migogoro ya kijamii |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu ufisadi Kusoma tamthilia kwa vikundi Kujadili visa vya ufisadi vilivyojitokeza Kuchambua tabia za wahusika Kujibu maswali ya kina kuhusu tamthilia |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Chati za uchambuzi wa wahusika Vifaa vya uigizaji Majarida ya habari |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 67-71
|
|
| 9 | 2 |
Sarufi
|
Mwingiliano wa Maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhana ya mwingiliano wa maneno Kutofautisha aina za mwingiliano Kutambua mabadiliko ya aina za maneno Kutunga sentensi zenye mwingiliano |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu sarufi Kueleza jinsi maneno yanavyobadilika aina Kufanya mazoezi ya kutambua mwingiliano Kutunga sentensi mpya zenye mwingiliano Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la aina za maneno Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 71-73
|
|
| 9 | 3-4 |
Kusoma kwa Sauti
Kuandika |
Barua kwa Mhariri
Makala ya Redio na Runinga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa lafudhi sahihi Kutumia mkazo na muekeleko sahihi Kuelewa maudhui ya barua Kuboresha ujuzi wa kusoma hadharani Kueleza muundo wa makala za redio Kutofautisha makala za redio na runinga Kuandika makala za vyombo vya habari Kutumia lugha ya kihabari |
Kuuliza maswali kuhusu kusoma hadharani Kusoma barua mbalimbali kwa mhariri Kujadili maudhui ya barua Kufanya mazoezi ya kusoma kwa sauti Kutathmini ujuzi wa kusoma Kuuliza maswali kuhusu vyombo vya habari Kueleza sifa za makala za redio na runinga Kuonyesha mifano ya makala za kihabari Kuandika makala za habari za redio Kusahihisha na kukarabati makala zao |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Barua za ziada za mhariri Kanda za sauti Jedwali la maelezo ya sauti Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Mifano ya makala za redio Karatasi za kuandikia Redio (ikiwa inapatikana) |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 73
|
|
| 9 | 5 |
Fasihi Andishi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
| 9 | 6 |
SURA YA SABA
Kusikiliza na Kuzungumza |
Mahojiano kati ya Wataalamu Wawili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuboresha ujuzi wa mahojiano Kutumia lugha ya kitaalamu Kuwasilisha maoni kwa hekima Kujadili masuala ya kilugha |
Kuuliza maswali kuhusu mahojiano Kusikiliza mahojiano kuhusu sheng Kujadili madhara ya sheng kwa lugha Kufanya mahojiano kuhusu masuala mbalimbali Kutoa maoni ya kitaalamu |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Kanda za mahojiano Mikrofoni (ikiwa inapatikana) Kadi za maswali |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 74-75
|
|
| 10 | 1 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
Mchezo wa Kuigiza - Mazingira
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma mchezo kwa uelewa Kueleza maudhui ya mchezo Kutambua ujumbe wa mazingira Kuchambua umuhimu wa uhifadhi |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu mazingira Kusoma mchezo kwa vikundi Kujadili umuhimu wa hifadhi ya mazingira Kuchambua athari za uharibifu wa mazingira Kujibu maswali ya kina kuhusu mchezo |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Chati za mazingira Picha za mazingira Vifaa vya uigizaji |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 75-76
|
|
| 10 | 2 |
Sarufi
|
Mzizi wa Kitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhana ya mzizi wa kitenzi Kutofautisha mzizi na mnyambuliko Kutambua mzizi katika vitenzi Kunyambua vitenzi kutoka kwenye mzizi |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vitenzi Kueleza jinsi ya kutambua mzizi wa kitenzi Kufanya mazoezi ya kutambua mizizi Kunyambua vitenzi kutoka mizizi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la mizizi ya vitenzi Kadi za mazoezi Ubao mweusi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 76-77
|
|
| 10 | 3-4 |
Sarufi
Kusoma kwa Kina |
Mzizi wa Kitenzi
Uchambuzi wa Fasihi Andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhana ya mzizi wa kitenzi Kutofautisha mzizi na mnyambuliko Kutambua mzizi katika vitenzi Kunyambua vitenzi kutoka kwenye mzizi Kueleza mbinu za uchambuzi wa fasihi Kutofautisha tanzu za fasihi andishi Kuchambua dhamira na maudhui Kutambua tamathali za usemi |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vitenzi Kueleza jinsi ya kutambua mzizi wa kitenzi Kufanya mazoezi ya kutambua mizizi Kunyambua vitenzi kutoka mizizi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa Kuuliza maswali kuhusu uchambuzi wa fasihi Kusoma makala ya uchambuzi wa fasihi Kujadili mbinu za uchambuzi Kuchambua mifano ya kazi za fasihi Kuandika uchambuzi mfupi wa fasihi |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la mizizi ya vitenzi Kadi za mazoezi Ubao mweusi Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vitabu vya fasihi Jedwali la uchambuzi Kadi za tamathali |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 76-77
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 77-82 |
|
| 10 | 5 |
Kuandika
Fasihi Andishi |
Utungaji wa Kiuamilifu: Mialiko
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza aina za mialiko Kutofautisha mialiko rasmi na isiyo rasmi Kuandika mialiko kwa usahihi Kutumia lugha mwafaka ya mialiko |
Kuuliza maswali kuhusu aina za mialiko Kueleza sifa na muundo wa mialiko Kuonyesha mifano ya mialiko mbalimbali Kuandika mialiko ya sherehe mbalimbali Kusahihisha na kukarabati mialiko yao |
Kitabu cha mwanafunzi
Mwongozo wa mwalimu Mifano ya mialiko Kadi za mialiko Karatasi za rangi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 82-83
|
|
| 10 | 6 |
SURA YA NANE
Kusikiliza na Kuzungumza |
Ufahamu wa Kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuboresha ujuzi wa kusikiliza Kuelewa makala za kihabari Kujibu maswali kwa usahihi Kutambua mambo muhimu katika mazungumzo |
Kuuliza maswali kuhusu umuhimu wa kusikiliza Kusikiliza makala kutoka gazeti au jarida Kujadili maudhui ya makala waliyosikiliza Kujibu maswali kuhusu makala Kufanya mazoezi ya kusikiliza |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Gazeti au jarida Kanda za sauti Kadi za maswali |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 84
|
|
| 11 | 1 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
"Mtopanga"
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma ufahamu kwa uelewa Kueleza maudhui ya ufahamu Kutambua sifa za kitongoji Kuchambua mazingira ya kijiografia |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu vitongoji Kusoma ufahamu kwa sauti pamoja Kujadili sifa za kitongoji cha Mtopanga Kuchambua mazingira na maumbile ya eneo Kujibu maswali ya kina kuhusu ufahamu |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Ramani za mazingira Picha za mazingira Chati za uchambuzi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 84-85
|
|
| 11 | 2 |
Kusoma kwa Ufahamu
|
"Mtopanga"
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma ufahamu kwa uelewa Kueleza maudhui ya ufahamu Kutambua sifa za kitongoji Kuchambua mazingira ya kijiografia |
Kuuliza maswali ya utayarishaji kuhusu vitongoji Kusoma ufahamu kwa sauti pamoja Kujadili sifa za kitongoji cha Mtopanga Kuchambua mazingira na maumbile ya eneo Kujibu maswali ya kina kuhusu ufahamu |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Ramani za mazingira Picha za mazingira Chati za uchambuzi |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 84-85
|
|
| 11 | 3-4 |
Sarufi
Kusoma kwa Kina |
Viambishi vya Vitenzi
Tamthilia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza aina za viambishi vya vitenzi Kutofautisha viambishi awali na tamati Kutumia viambishi sahihi katika vitenzi Kutunga sentensi zenye viambishi Kueleza maana ya tamthilia Kutofautisha aina za tamthilia Kuchambua vipengele vya tamthilia Kutambua madhumuni ya tamthilia |
Kuuliza maswali ya ujumuishaji kuhusu vitenzi Kueleza aina za viambishi vya vitenzi Kufanya mazoezi ya kutambua viambishi Kutunga vitenzi kutoka kwenye mizizi Kukamilisha mazoezi ya ukurasa Kuuliza maswali kuhusu tamthilia wanayozifahamu Kusoma makala ya tamthilia kwa uangalifu Kujadili aina za tamthilia: futuhi, tanzia, yuga, ramsa Kuchambua vipengele vya tamthilia Kuandika uchambuzi mfupi wa tamthilia |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Jedwali la viambishi Kadi za mazoezi Ubao mweusi Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Vitabu vya tamthilia Jedwali la uchambuzi Kadi za vipengele |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 85-89
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 89-90 |
|
| 11 | 5 |
Kuandika
|
Utungaji wa Kisanii: Michezo ya Kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza vipengele vya mchezo wa kuigiza Kutunga ploti ya mchezo Kuandika mazungumzo ya kuvutia Kutumia lugha mwafaka ya mchezo |
Kuuliza maswali kuhusu michezo wanayoifahamu Kueleza vipengele vya mchezo wa kuigiza Kutunga ploti ya mchezo kuhusu masuala ya jamii Kuandika mchezo mfupi wa kuigiza Kuigiza sehemu za michezo yao |
Kitabu cha mwanafunzi Mwongozo wa mwalimu Mifano ya michezo Karatasi za kuandikia Vifaa vya uigizaji |
KLB Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha Tatu, Uk. 90-92
|
|
| 11 | 6 |
Fasihi Andishi
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
| 12 |
MITIHANI YA MWISHO WA MUHULA |
|||||||
| 13 |
KUSAHIHISHA MTIHANI,KUDURUSU NA KUTAMATISHA MUHULA |
|||||||
Your Name Comes Here