Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
DARASA LA NNE
MWAKA WA 2026
MUHULA WA I

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA SHUGHULI ZA UFUNZAJI MASWALI DADISI NYENZO TATHMINI MAONI
2 1
NYUMBANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua silabi zinazotokana na sauti p/b, t/d, k/g, ch/j katika maneno.
- Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi.
- Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi.
- Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi katika kuboresha matamshi yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua silabi za sauti lengwa (p/b, t/d, k/g, ch/j) kutokana na maneno kwenye vitabu, ubaoni au kwa kutumia vifaa vya kidijitali.
- Kusikiliza silabi za sauti lengwa zikitamkwa na mwalimu au kutoka kwa vifaa vya kidijitali k.v. kinasasauti na rununu.
- Kutamka silabi za sauti lengwa akiwa na wenzake.
- Kusikiliza vitanzandimi vilivyoundwa kutokana na maneno yenye sauti lengwa vikikaririwa na mwalimu.
Matamshi bora yana umuhimu gani katika mawasiliano?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 1
- Kapu maneno
- Kadi za maneno
- Picha
- Vifaa vya kidijitali
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 3
- Mti maneno
- Kutambua silabi zinazotokana na sauti p/b, t/d, k/g, ch/j - Kutamka silabi ipasavyo - Kutamka vitanzandimi vifaavyo - Kukariri vitanzandimi
2 2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufahamu
Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua msamiati wa mada lengwa uliotumika katika kifungu cha hadithi ili kuimarisha ufahamu.
- Kutumia msamiati lengwa kwa usahihi katika sentensi.
- Kutoa muhtasari wa ujumbe wa kifungu cha hadithi.
- Kujenga mazoea ya usomaji bora katika maisha ya kila siku.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua msamiati wa nyumbani (k.v. meza, sebule, balbu/globu, kizingiti, fremu, neti, tendegu, mtoto wa meza, mvungu, figa, kinu, tumbuu, kochi, kupiga deki) uliotumiwa katika kifungu cha hadithi.
- Kushirikiana na wenzake kujadili maana na matumizi ya msamiati lengwa katika sentensi.
- Kuimba nyimbo zinazolenga msamiati lengwa.
- Kusoma kifungu kinachohusiana na suala lengwa kwenye kitabu au kwenye tarakilishi akiwa na wenzake.
Unazingatia nini ili kupata ujumbe katika kifungu cha hadithi?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 3
- Picha
- Kifaa cha kidijitali
- Kamusi
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 8
- Kapu maneno
- Mti maneno
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua msamiati wa nyumbani - Kueleza maana ya msamiati - Kutumia msamiati kwa usahihi katika sentensi - Kutoa muhtasari wa ujumbe kutoka kifunguni
2 3
Sarufi
Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua nomino katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia nomino kwa njia sahihi katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya nomino katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia nomino kujaza nafasi katika sentensi.
- Kutumia nomino kutunga sentensi kwenye daftari na mtandaoni ili wenzake wazisome na kuzisahihisha.
Nomino zinatumika vipi katika mawasiliano ya kila siku?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 8
- Kifaa cha kidijitali
- Kapu maneno
- Mti maneno
- Kujaza nafasi kwa kutumia nomino - Kutunga sentensi zinazotumia nomino - Kusahihisha sentensi za wenzake - Uwasilishaji wa sentensi mtandaoni
2 4

3 1
Sarufi
Kuandika
Vitenzi
Kuandika Insha ya Wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya vitenzi ili kuvitofautisha na aina nyingine za maneno.
- Kutambua vitenzi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vitenzi ipasavyo katika mawasiliano.
- Kuonea fahari matumizi ya vitenzi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kwa amani kueleza maana ya vitenzi.
- Kushirikiana na wenzake kutoa mifano ya vitenzi (k.v. soma, andika, keti, simama, cheka) katika kadi za maneno, kapu maneno, ubao, vifaa vya kidijitali n.k.
- Kutambua vitendo vinavyofanyika katika picha au michoro.
- Kuigiza vitenzi mbalimbali akishirikiana na wenzake.
Ni shughuli gani unazofanya kila siku?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 9
- Picha
- Michoro
- Kapu maneno
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 6
- Mifano ya insha ya wasifu
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Kueleza maana ya vitenzi - Kutambua vitendo vinavyofanyika katika picha - Kuigiza vitenzi mbalimbali - Kutumia vitenzi katika mawasiliano
3 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutamka silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi.
- Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi.
- Kuunda vitanzandimi kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi.
- Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi katika kuboresha matamshi yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusikiliza mwalimu akitamka vitanzandimi.
- Kutamka vitanzandimi vyepesi akiwa na wenzake.
- Kucheza mchezo wa kutamka vitanzandimi kwa zamu akiwa na wenzake.
- Kuwapongeza na kuwarekebishe wenzake wanapotamka vitanzandimi.
Kwa nini ni muhimu kutamka vitanzandimi vifaavyo?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 3
- Chati
- Kadi za maneno
- Mti maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kutamka vitanzandimi kwa ufasaha - Kukariri vitanzandimi ipasavyo - Kutumia sauti lengwa katika mawasiliano ya kawaida
3 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi.
- Kuunda vitanzandimi kutokana na sauti zinazokaribiana kimatamshi.
- Kuchangamkia kukariri vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi katika kuboresha matamshi yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia kifaa cha kidijitali kusikiliza matamshi ya sauti ambazo zinakutatiza kutamka.
- Kutamka sauti hizo huku akijirekodi.
- Kusikiliza sauti alizotamka.
- Kujirekebisha pale panapofaa.
Ni mbinu zipi zinaweza kutumika kuimarisha matamshi bora?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 3
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Kadi za maneno
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 5
- Kamusi
- Kifaa cha kidijitali
- Kujirekodi akitamka vitanzandimi - Kusikiliza rekodi yake - Kujirekebishe anapobaini makosa
3 4
Sarufi
Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vitenzi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vitenzi ipasavyo katika mawasiliano.
- Kuonea fahari matumizi ya vitenzi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vitenzi kujaza nafasi kwenye sentensi na kifungu kifupi.
- Kutumia vitenzi mbalimbali kutunga sentensi daftarini au mtandaoni kwa kuzingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali.
- Kuwashirikisha wenzake katika kuzisahihisha sentensi zake na kumpa maoni kwa heshima.
Vitenzi vina umuhimu gani katika mawasiliano ya kila siku?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 10
- Kapu maneno
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kujaza nafasi kwa vitenzi - Kutunga sentensi zenye vitenzi - Kusahihishana sentensi - Kutoa maoni kwa heshima
4 1
Sarufi
Vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kivumishi ili kukitofautisha na aina nyingine za maneno.
- Kutambua vivumishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vivumishi ipasavyo katika sentensi na kifungu.
- Kuonea fahari matumizi ya vivumishi katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya kivumishi.
- Kutambua vivumishi katika kundi la maneno aliyopewa (k.m. -zuri, -baya, -refu, -fupi, -eusi, -eupe, n.k).
- Kuchagua vivumishi kwenye tarakilishi, kuviburura na kuvitia kapuni akiwa na wenzake.
- Kutumia vivumishi kujaza nafasi katika sentensi.
Ni sifa zipi unazoweza kutambua katika nomino mbalimbali?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 10
- Kapu maneno
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Mti maneno
- Kueleza maana ya kivumishi - Kutambua vivumishi katika maneno - Kuburura vivumishi kwenye tarakilishi - Kujaza nafasi kwa vivumishi
4 2

4 3
Sarufi
Kuandika
Vivumishi
Kuandika Insha ya Wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vivumishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vivumishi ipasavyo katika sentensi na kifungu.
- Kuonea fahari matumizi ya vivumishi katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vivumishi kutunga sentensi daftarini na mtandaoni akizingatia masuala mtambuko mbalimbali yakiwemo masuala ya usalama wa mtandaoni, usawa wa kijinsia, usalama wa nyumbani, mahusiano ya kijamii, n.k.
- Kuandika aya fupi akitumia vivumishi mbalimbali.
- Kuwasomea au kuwasambazia wenzake kazi yake ili kuitolea maoni kwa heshima na upendo.
Vivumishi vina umuhimu gani katika kujenga picha akilini mwa msomaji?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 11
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Kadi za maneno
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 7
- Kielelezo cha insha ya wasifu
- Kutunga sentensi zenye vivumishi - Kuandika aya fupi yenye vivumishi - Kusomea wenzake kazi yake - Kutoa na kupokea maoni kwa heshima
4 4
NIDHAMU MEZANI

Kusikiliza na Kuzungumza
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano.
- Kueleza maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali.
- Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano.
- Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua maamkuzi (k.v. U mzima? U hali gani? Alamsiki, Lala unono, Siku njema) kutoka kwenye chati, ubao au vifaa vya kidijitali, michoro na picha.
- Kushiriki mjadala na mwenzake kuhusu maamkuzi na maagano yanayolengwa na matumizi yake.
- Kushirikiana na wenzake kuigiza maamkuzi na maagano lengwa.
Watu husalimiana na kuagana vipi katika jamii yako?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 15
- Chati
- Michoro
- Picha
- Vifaa vya kidijitali
- Kutambua aina za maamkuzi na maagano - Kueleza matumizi ya maamkuzi na maagano - Kuigiza maamkuzi na maagano
5 1
Kusoma
Sarufi
Matumizi ya Kamusi
Viwakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kamusi ili kuitofautisha na vitabu vingine.
- Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua ili kukuza msamiati wake.
- Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujadiliana na wenzake kuhusu maana na matumizi ya kamusi.
- Kujadiliana na wenzake kuhusu mpangilio wa maneno katika kamusi.
- Kutumia kamusi kutafuta maana za maneno mbalimbali akiwa na wenzake.
Unazingatia nini unapotafuta maneno katika kamusi?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 18
- Kamusi mbalimbali
- Chati
- Orodha ya maneno
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 21
- Kapu maneno
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kueleza maana ya kamusi - Kueleza mpangilio wa maneno katika kamusi - Kutafuta maana za maneno katika kamusi
5 2
Sarufi
Kuandika
Viwakilishi
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viwakilishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia viwakilishi ipasavyo katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya viwakilishi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujaza nafasi katika sentensi kwa kutumia viwakilishi mwafaka.
- Kutumia viwakilishi kutunga sentensi daftarini au mtandaoni kwa kuzingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali.
- Kuwasomea au kuwasambazia wenzake sentensi zake ili kuzitathmini.
Viwakilishi vina umuhimu gani katika mawasiliano?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 21
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Kapu maneno
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 19
- Mifano ya insha za masimulizi
- Picha
- Kujaza nafasi kwa viwakilishi - Kutunga sentensi zenye viwakilishi - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga
5 3
Kusikiliza na Kuzungumza
Maamkuzi na Maagano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano.
- Kueleza maamkuzi na maagano yanayotumika katika miktadha mbalimbali.
- Kutumia aina mbalimbali za maamkuzi na maagano katika mawasiliano.
- Kuchangamkia maamkuzi na maagano katika mahusiano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutazama watu wakiamkuana na kuagana katika vifaa vya kidijitali.
- Kuambatanisha maamkuzi na maagano na majibu sahihi daftarini au kwenye tarakilishi.
- Kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu maamkuzi na maagano yanayotumiwa katika jamii yao.
Kuamkua na kuaga watu kuna umuhimu gani?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 16
- Vifaa vya kidijitali
- Kadi za maneno
- Picha za watu wakiamkuana
- Kuambatanisha maamkuzi na maagano na majibu sahihi - Kutumia maamkuzi na maagano ipasavyo - Kueleza umuhimu wa maamkuzi na maagano
5 4
Kusoma
Sarufi
Matumizi ya Kamusi
Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutumia kamusi ipasavyo kutafuta maana za maneno asiyoyajua ili kukuza msamiati wake.
- Kuchangamkia umuhimu wa kamusi katika kukuza msamiati wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia mtandao kusikiliza na kusoma maelezo kuhusu msamiati anaotafutia maana.
Kamusi ina umuhimu gani katika kukuza msamiati wako?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 19
- Kamusi mbalimbali
- Vifaa vya kidijitali
- Mtandao
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 21
- Kadi za maneno
- Chati
- Mti maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kutumia mtandao kutafuta maana za maneno - Kueleza umuhimu wa kamusi - Kukuza msamiati kwa kutumia kamusi
6 1
Sarufi
Vielezi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vielezi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vielezi ipasavyo katika mawasiliano.
- Kuonea fahari matumizi ya vielezi katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuigiza vielezi mbalimbali panapofaa akishirikiana na wenzake.
- Kutumia vielezi mwafaka kujaza nafasi katika sentensi.
- Kutumia vielezi kutunga sentensi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akizingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali.
- Kuwasomea au kuwasambazia wenzake na mwalimu sentensi zake ili kuzitolea maoni.
Vielezi vina umuhimu gani katika mawasiliano?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 21
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Kapu maneno
- Kuigiza vielezi mbalimbali - Kujaza nafasi kwa vielezi - Kutunga sentensi zenye vielezi - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga
6 2
Kuandika
Insha ya Masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya masimulizi ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha inayosimulia kisa kinachohusu nidhamu mezani kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu.
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waitathmini.
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 21
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Picha
- Kuandika insha ya masimulizi - Kuzingatia anwani, mpangilio, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi na uakifishaji - Kusomea wenzake insha aliyoandika
6 3
MAVAZI

Kusikiliza na Kuzungumza
Kusoma
Matamshi Bora
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vitendawili kwenye matini mbalimbali.
- Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora.
- Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutafiti maana ya kitendawili kwenye kamusi, vitabuni au mtandaoni akiwa na wenzake.
- Kutambua vitendawili katika chati, ubao au katika vifaa vya kidijitali (k.m. Nifungue nikufunike (Mwavuli); Pitia huku nami nipitie kule, tupatane pale (mshipi); Ukinitembelea nyayo zi salama (viatu).
- Kusikiliza vitendawili vikitegwa na kuteguliwa kupitia vyombo vya kidijitali.
Je, unazingatia nini unapotega na kutegua vitendawili?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 26
- Kamusi
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Mti maneno
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 29
- Matini za kusoma
- Kueleza maana ya kitendawili - Kutambua vitendawili katika matini - Kusikiliza vitendawili vikitegwa
6 4
Sarufi
Viunganishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kiunganishi ili kukibainisha.
- Kutambua viunganishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia viunganishi kwa njia sahihi katika mawasiliano.
- Kuonea fahari matumizi ya viunganishi katika sentensi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya viunganishi.
- Kutambua viunganishi katika kundi la maneno aliyopewa (k.v. na, pia, kwa sababu, lakini).
- Kutafiti vitabuni au mtandaoni ili kutoa mifano mbalimbali ya viunganishi.
- Kutumia viunganishi kujaza nafasi katika sentensi.
Je, kwa nini ni muhimu kutumia viunganishi katika mawasiliano?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 34
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kadi za maneno
- Chati
- Chati
- Kapu maneno
- Kueleza maana ya kiunganishi - Kutambua viunganishi katika maneno - Kutoa mifano ya viunganishi - Kujaza nafasi kwa viunganishi
7 1
Sarufi
Kuandika
Vihusishi
Kuandika kwa kutumia tarakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kihusishi ili kukibainisha.
- Kutambua vihusishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vihusishi ipasavyo katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya vihusishi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushirikiana na wenzake kueleza maana ya vihusishi na kuvitolea mifano (k.m. karibu na, mbali na, juu ya, chini ya, nje ya na ndani ya).
- Kutambua vihusishi katika kundi la maneno aliyopewa.
- Kuchagua vihusishi kwenye kundi la maneno katika tarakilishi, kuviburura na kuvitia kapuni akiwa peke yake au kwenye vikundi.
Vihusishi vina umuhimu gani katika mawasiliano?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 34
- Kadi maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Picha zinazoonyesha mahali
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 32
- Tarakilishi
- Chati za sehemu za tarakilishi
- Mifano ya mada zinazoweza kuandikwa
- Kueleza maana ya kihusishi - Kutambua vihusishi katika maneno - Kuchagua vihusishi kwenye tarakilishi
7 2
Kusikiliza na Kuzungumza
Matamshi Bora
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutega na kutegua vitendawili ili kujenga matamshi bora.
- Kuchangamkia matumizi ya vitendawili katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki katika kutega na kutegua vitendawili akiwa na wenzake.
- Kujadiliana na mzazi au mlezi wake kuhusu vitendawili vinavyotegwa katika jamii yao.
Vitendawili vina umuhimu gani katika kukuza utamaduni?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 26
- Picha
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- Kutega na kutegua vitendawili - Kutumia vitendawili katika mawasiliano - Kujadili umuhimu wa vitendawili
7 3
Kusoma
Kusoma kwa Ufasaha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia matamshi bora.
- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti.
- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuzingatia kasi ifaayo.
- Kusoma kifungu cha hadithi kwa kuambatanisha ishara zifaazo.
- Kuchangamkia kusoma kwa ufasaha ili kufanikisha mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia matamshi bora akiwa na wenzake.
- Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kiwango kifaacho cha sauti (k.v. kiwango cha sauti na kiimbo).
- Kusoma kifungu cha hadithi kuhusu suala lengwa kwa kuzingatia kasi ifaayo (maneno yasiyopungua 70 kwa dakika na kwa kuzingatia viakifishi) ili wenzake wamtolee maoni.
- Kusoma kifungu kwa kuambatanisha ishara zifaazo panapofaa anaposoma (k.v. ishara za uso na mikono).
Kusoma kwa ufasaha kuna umuhimu gani?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 29
- Vifaa vya kidijitali
- Matini ya kusoma
- Saa ya kupimia wakati
- Kusoma kwa matamshi bora - Kusoma kwa kiwango kifaacho cha sauti - Kusoma kwa kasi ifaayo - Kusoma kwa kutumia ishara zifaazo
7 4
Sarufi
Vihusishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vihusishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vihusishi ipasavyo katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya vihusishi katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vihusishi kutunga sentensi daftarini au mtandaoni kwa kuzingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali.
- Kuwasomea au kuwasambazia wenzake na mwalimu sentensi alizotunga ili kuzitathmini.
Unatumiaje vihusishi katika mawasiliano ya kila siku?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 34
- Vifaa vya kidijitali
- Picha zinazoonyesha mahali
- Chati
- Kutunga sentensi zenye vihusishi - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga - Kutumia vihusishi katika mawasiliano
8

Midterm

9 1
Sarufi
Vihisishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya kihisishi ili kukibainisha.
- Kutambua vihisishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vihisishi ipasavyo katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kueleza maana ya vihisishi na kuvitolea mifano (k.m. Lo!, Ala!, Salalee!, Mama ee!, Oyee! na Aha!) akishirikiana na wenzake.
- Kutambua vihisishi katika kundi la maneno.
- Kutambua alama ya hisi (!) inayoambatanishwa na vihisishi.
- Kutumia vihisishi kujaza nafasi katika sentensi.
Kutumia vihisishi katika mawasiliano kuna umuhimu gani?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 34
- Chati mabango
- Vifaa vya kidijitali
- Kamusi
- Kueleza maana ya kihisishi - Kutambua vihisishi katika maneno - Kutambua alama ya hisi - Kujaza nafasi kwa vihisishi
9 2
Sarufi
Vihisishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vihisishi katika kundi la maneno na sentensi.
- Kutumia vihisishi ipasavyo katika sentensi.
- Kuonea fahari matumizi ya vihisishi katika miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutumia vihisishi kutunga sentensi kwenye daftari akizingatia suala lengwa na masuala mtambuko mbalimbali.
- Kutumia vihisishi kutunga kifungu kifupi daftarini au mtandaoni ili wenzake wakisome na kukitathmini.
Ni wakati gani tunatumia vihisishi katika mawasiliano?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 34
- Vifaa vya kidijitali
- Kadi za maneno
- Chati
- Kutunga sentensi zenye vihisishi - Kutunga kifungu kifupi - Kutumia vihisishi ipasavyo - Kuwasomea wenzake kifungu alichokitunga
9 3
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Kuandika kwa kutumia tarakilishi
Maneno ya Upole
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kuandika mada lengwa kwa kutumia tarakilishi.
- Kuhariri kazi yake kwa kuzingatia uakifishaji ufaao.
- Kuhifadhi kazi aliyoiandika kwenye tarakilishi.
- Kujenga mazoea ya kuandika kwa kutumia tarakilishi na kuhifadhi kazi yake ya maandishi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika aya kuhusu mavazi katika tarakilishi na kuihariri.
- Kutumia mtandao kusambaza kazi aliyoandika ili wenzake na mwalimu waitathmini.
- Kuhifadhi kazi yake kwenye faili ya tarakilishi.
Kuhifadhi kazi kwenye tarakilishi kuna umuhimu gani?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 33
- Tarakilishi
- Mtandao
- Chati ya hatua za kuhifadhi kazi
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 40
- Chati
- Mti maneno
- Kapu maneno
- Vifaa vya kidijitali
- Kuandika aya kuhusu mavazi - Kuhariri kazi - Kusambaza kazi mtandaoni - Kuhifadhi kazi kwenye faili
9 4
DIRA

Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma.
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali.
- Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa.
- Kutumia vifaa vya kidijitali kwa urahisi kupata matini yanayolengwa.
- Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama (k.m. kutowasiliana na watu asiowajua, kuwajibika anaposakura tovuti mbalimbali) kutoka kwenye chati au kwenye tarakilishi na mitandao.
- Kutambua jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga.
- Kutambua mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake.
Ni hatua zipi za kiusalama unazofaa kuzingatia unapotumia mtandao?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 42
- Tarakilishi
- Chati
- Mtandao
- Kutambua hatua za kiusalama - Kufungua na kufunga faili - Kutambua mitandao salama
10 1
Sarufi
Ngeli ya A-WA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA.
- Kutambua nomino katika ngeli ya A-WA ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kusoma sentensi zilizoundwa kutokana na nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi.
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya A-WA kwenye sentensi alizosoma.
- Kushiriki katika mchezo wa kuchopoa kadi za sentensi zenye nomino za ngeli ya A-WA kutoka kwenye kikapu au boksi na kisha kuzisoma.
Ni nini kinakuwezesha kutambua nomino za ngeli ya A-WA?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 46
- Kadi za sentensi
- Kikapu/boksi
- Chati
- Vifaa vya kidijitali
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 47
- Kadi za maneno
- Mti maneno
- Kapu maneno
- Kutambua viambishi vya upatanisho wa ngeli ya A-WA - Kuchopoa na kusoma kadi za sentensi - Kutambua nomino za ngeli ya A-WA
10 2
Kuandika
Kusikiliza na Kuzungumza
Kuandika Barua ya Kirafiki
Maneno ya Upole
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua barua ya kirafiki kwa kuzingatia muundo wake.
- Kujadili umuhimu wa barua ya kirafiki katika mawasiliano.
- Kuandika barua ya kirafiki inayozingatia mada kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi wa barua ya kirafiki katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua barua ya kirafiki kwa kurejelea vielelezo vya barua za kirafiki zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi.
- Kujadiliana na wenzake kuhusu umuhimu wa barua za kirafiki katika mawasiliano.
- Kujadili na wenzake mada ya barua ya kirafiki na vipengele vyake/ yale yanayofaa kujumuishwa.
- Kuandaa vidokezo vitakavyomwongoza kuandika insha yake.
Je, unazingatia nini ili kuandika barua nzuri ya kirafiki?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 44
- Mifano ya barua za kirafiki
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 40
- Chati
- Kapu maneno
- Kutambua barua ya kirafiki - Kujadili umuhimu wa barua ya kirafiki - Kuandaa vidokezo vya kutunga barua
10 3
Kusoma
Kusoma kwa Mapana
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma.
- Kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali.
- Kusakura matini kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma vyenye mada lengwa.
- Kutumia vifaa vya kidijitali kwa urahisi kupata matini yanayolengwa.
- Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao.
- Kutafuta maana za maneno kuhusu mada lengwa (k.m. kaskazini, kusini, magharibi, mashariki, kaskazini mashariki, kaskazini magharibi, kusini mashariki na kusini magharibi) kwenye kamusi au mtandaoni.
- Asikilize matamshi na maelezo kuhusu anachokisoma mtandaoni panapowezekana.
- Kutoa habari kuhusu matini aliyosoma kwa muhtasari na kujibu maswali katika maandishi au mazungumzo na wenzake.
Kusoma matini kwenye mtandao kuna umuhimu gani?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 43
- Tarakilishi
- Mtandao
- Kamusi
- Vifaa vya kidijitali
- Kutoa habari kuhusu ujumbe kutoka kwa mtu asiyemjua - Kutafuta maana za maneno kwenye kamusi - Kusikiliza matamshi na maelezo - Kutoa muhtasari wa matini
10 4
Sarufi
Ngeli ya A-WA
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuunda sentensi sahihi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuwasomea au kuwazambazia wenzake na mwalimu sentensi alizozitunga ili kuzitathmini.
Upatanisho wa kisarufi una umuhimu gani katika mawasiliano?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 48
- Vifaa vya kidijitali
- Chati
- Kadi za maneno
- Kutunga sentensi sahihi - Kuzingatia upatanisho wa kisarufi - Kuwasomea wenzake sentensi alizozitunga
11 1
Sarufi
Kuandika
Ngeli ya A-WA
Kuandika Barua ya Kirafiki
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kujibu maswali kwa kutumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi.
- Kuandika sentensi akitumia nomino za ngeli ya A-WA katika umoja na wingi kwenye daftari.
- Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kutoka wingi hadi umoja.
Ni kwa nini ni muhimu kuzingatia upatanisho wa kisarufi katika sentensi?
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 49
- Chati
- Kadi za maneno
- Vifaa vya kidijitali
- KLB Visionary Kiswahili Gredi 4, uk 45
- Vifaa vya kidijitali
- Mifano ya barua za kirafiki
- Kujibu maswali - Kuandika sentensi - Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi na kinyume chake - Kuzingatia upatanisho wa kisarufi
11 2
USHAURI-NASAHA

Kusikiliza na Kuzungumza
Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua methali zinazohusu malezi katika matini tofautitofauti.
- Kueleza maana za methali kuhusu malezi.
- Kutumia methali zinazohusu malezi katika mawasiliano.
- Kuchangamkia matumizi ya methali katika miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua methali kuhusu malezi kutoka kwa orodha ya methali, chati au mtandaoni.
- Kueleza maana za methali kuhusu malezi akiwa na wenzake.
- Kukamilisha methali kuhusu malezi.
- Kutumia methali kuhusu malezi katika kifungu kifupi na masimulizi akiwa na wenzake.
- Kushirikiana na mzazi au mlezi wake kutambua methali kuhusu malezi katika jamii yao.
Methali hutumiwa vipi katika ushauri-nasaha?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 50
- Chati ya methali
- Kapu la methali
- Kadi zenye methali
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua methali za malezi - Kueleza maana za methali - Kukamilisha methali - Kutumia methali katika maongezi - Kukariri methali
11 3
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufahamu
Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha.
- Kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe.
- Kutambua beti na mishororo katika shairi.
- Kutambua shairi kutokana na umbo lake.
- Kufurahia kutumia lugha ya ushairi anapozungumzia ushairi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kutambua shairi, beti na mishororo katika matini mbalimbali kama vile vitabu, chati na vilevile kwa kutumia tarakilishi.
- Kushiriki katika majadiliano kuhusu maana za shairi, ubeti na mishororo.
- Kusoma akizingatia msamiati wa mada lengwa.
- Kusikiliza mashairi yanayokaririwa kwenye vifaa vya kidijitali.
- Kusoma au kukariri shairi kwa mahadhi mbalimbali akizingatia ujumbe.
Unaufahamu msamiati gani wa ushairi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 52
- Nakala ya shairi
- Chati zenye mashairi
- Vifaa vya kidijitali
- Rekodi za mashairi
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 57
- Chati ya ngeli
- Sentensi kwenye ubao
- Kadi za nomino
- Vifaa vya kidijitali
Kutambua sifa za shairi - Kueleza maana ya istilahi za ushairi - Kusoma shairi kwa ufasaha - Kujibu maswali kuhusu shairi
11 4
Sarufi
Kuandika
Ngeli ya U-I
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I.
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuunda sentensi sahihi daftarini au kwenye kifaa cha kidijitali akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuwasomea au kuwazambazia wenzake na mwalimu sentensi alizozitunga ili kuzitathmini.
- Chagua nomino za ngeli ya U-I katika sentensi zilizoandikwa.
- Jaza pengo kwa kutumia kiambishi cha ngeli u au i kwa usahihi.
- Tunga sentensi daftarini katika umoja na wingi ukitumia nomino ulizotambua.
Unazingatia nini ili kuweza kutumia nomino za ngeli ya U-I katika sentensi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 58-59
- Kadi za nomino
- Chati ya sentensi
- Vifaa vya kidijitali
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 54
- Mifano ya insha za maelezo
- Vifaa vya kidijitali
- Chati ya muundo wa insha
Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I - Kutambua viambishi sahihi vya ngeli - Kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano - Kubadiilisha sentensi katika umoja na wingi
12 1
Kusikiliza na Kuzungumza
Methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua methali zinazohusu malezi katika matini tofautitofauti.
- Kueleza maana za methali kuhusu malezi.
- Kutumia methali zinazohusu malezi katika mawasiliano.
- Kuchangamkia matumizi ya methali katika miktadha mbalimbali.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Msomee mwenzako kifungu kifupi chenye methali za malezi.
- Mtajie mwenzako methali mbili zilizotumiwa katika kifungu.
- Tumia maneno yanayofaa kukamilisha methali zilizokatizwa.
- Tumia methali zinazofaa kutoka kwenye kadi kuelezea hali mbalimbali.
- Msimulie mwenzako kisa kifupi ukitumia methali ya malezi.
Kwa nini methali hutumiwa katika mawasiliano?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 51
- Vitabu vya hadithi
- Kadi za methali
- Chati zenye methali
- Vifaa vya kidijitali
Kutoa maana za methali - Kujaza pengo kwa methali zinazofaa - Kuambatanisha methali na maana zake - Kutumia methali katika masimulizi
12 2
Kusoma
Sarufi
Kusoma kwa Ufahamu
Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kueleza maana ya shairi, ubeti na mshororo ili kuvibainisha.
- Kusoma shairi kwa ufasaha kwa kuzingatia ujumbe.
- Kutambua beti na mishororo katika shairi.
- Kutambua shairi kutokana na umbo lake.
- Kufurahia kutumia lugha ya ushairi anapozungumzia ushairi.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kushiriki mjadala kuhusu ujumbe unaojitokeza kwenye shairi.
- Kusoma mashairi kwenye mitandao.
- Kujibu maswali yanayotokana na shairi alilolisoma.
- Kutambua umbo la shairi alilolisoma kwa kutaja kichwa, idadi ya beti, idadi ya mishororo, silabi zinazorudiwa na idadi ya silabi.
- Kukariri kwa sauti ifaayo shairi alilolisoma.
Mashairi yanaweza kuwasilisha ujumbe gani?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 53
- Diwani ya mashairi
- Vitabu vya mashairi
- Vifaa vya kidijitali
- Rekodi za mashairi
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 58-59
- Boksi lenye kadi za nomino
- Michoro ya vitu mbalimbali
Kujadili ujumbe wa shairi - Kutambua umbo la shairi - Kukariri shairi kwa ufasaha - Kufanya tathmini ya ujumbe wa shairi
12 3
Sarufi
Ngeli ya U-I
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua viambishi vya upatanisho wa kisarufi wa ngeli ya U-I.
- Kutambua nomino katika ngeli ya U-I ili kuzitofautisha na nomino katika ngeli nyingine.
- Kuunda sentensi akitumia nomino za ngeli ya U-I katika umoja na wingi akizingatia upatanisho wa kisarufi.
- Kuchangamkia kutumia nomino za ngeli ya U-I katika mawasiliano.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Nakili sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I.
- Badilisha sentensi zilizo katika umoja ziwe katika wingi.
- Andika kwa wingi sentensi zilizo katika umoja.
- Tunga sentensi zako mwenyewe ukitumia nomino za ngeli ya U-I.
- Jadili na wenzako jinsi ya kutambua nomino za ngeli ya U-I.
Nomino zinazorejelea mimea na vitu vya kimaumbile ni zipi?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 59
- Orodha ya sentensi
- Vifaa vya kidijitali
- Kapu maneno
Kubadilisha sentensi kutoka umoja hadi wingi - Kutunga sentensi zenye nomino za ngeli ya U-I - Kutambua nomino za ngeli ya U-I katika sentensi - Kujaza pengo kwa kiambishi sahihi
12 4
Kuandika
Insha ya Maelezo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

- Kutambua vifungu vya maelezo katika matini.
- Kuandika insha ya maelezo kwa kufuata kanuni zifaazo.
- Kuchangamkia utunzi mzuri wa insha ya maelezo ili kujenga ubunifu wake.
Mwanafunzi aelekezwe:
- Kuandika insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili waisome na kuitathmini.
- Kuwasomea wenzake insha aliyoandika ili waisikilize na kuitathmini.
- Shirikiana na wenzako kuandaa vidokezo mtakavyotumia kuandika insha kuhusu: Umuhimu wa kuwa na Nidhamu.
- Andika insha ya maelezo kuhusu Umuhimu wa kuwa na Nidhamu ukitumia vidokezo mlivyojadili.
- Landike upya insha yako ukizingatia maoni uliyopewa.
Ni mambo gani unayostahili kuzingatia unapoandika insha ya maelezo?
KLB Visionary Kiswahili Gredi ya 4 uk. 55-56
- Vifaa vya kidijitali
- Vidokezo vya insha
- Karatasi za kuandikia
Kuandika insha inayozingatia anwani, mpangilio, hati nadhifu, tahajia na uakifishaji - Kutumia methali na nahau katika insha - Kutoa na kupokea maoni kuhusu insha

Your Name Comes Here

Download

Feedback