If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Matamshi bora: sauti tatanishi /b/ na /mb/
Isimu jamii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutamka sauti /b/ na /mb/ vizuri Kutunga senetensi kwa kutumia maneno yenye sauti hizi kueleza maana ya isimu jamii kuigiza mazungumzo yalivyotumika katika isimu jamii kutaja mifano ya msamiati |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 1-3) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
2 | 2-3 |
Sarufi
|
Mofimu
Viambishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mofimu Kutaja aina ya mofimu Kuonyesha matumizi ya umoja na wingi katika ngeli somo ; Kueleza maana ya viambishi Kutambua aina za viambishi Kutumia viambishi vyema katika sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Kusoma Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 5-7) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (UK 7-9) |
|
2 | 4 |
Sarufi
|
Aina za maneno-nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya nomino Kutaja aina za nomino Kutumia nomino katika mazungumzo na sentensi vyema |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 18-20) |
|
2 | 5 |
Sarufi
|
Aina za maneno-nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya nomino Kutaja aina za nomino Kutumia nomino katika mazungumzo na sentensi vyema |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 18-20) |
|
3 | 1 |
Kuandika
|
Utangaji wa kuamilifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua mtindo unaofwatwa katika uandishi wa mahojiano Kutambua vipengee muhimu yanayozingatiwa katika uandishi wa mahojiano |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 21-22) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
3 | 2-3 |
fasihi simulizi
Sarufi |
vitendawili
Aina za maneno-vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja vitendawili Kutambua sifa na dhima za vitendawili Kutambua matumizi ya vitendawili Kueleza dhima, sifa na mifano ya chemsha bongo somo ; Kuelezea maana ya vivumishi Kutambua aina ya vivumishi Kutaja mifano ya vivumishi Kutumia vivumishi katika sentesi na mazungumzo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Maelezo Majibu na maswali kuandika Mazungumzo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kitabu Cha Mashairi |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 24-26) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 30-37) |
|
3 | 4 |
Sarufi
|
Vivumishi 2
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja aina za vivumishi Kutoa mifano ya aina yote ya vivumishi Kutumia vivumishi vyema katika sentensi |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo |
Kitabu Cha Mashairi
|
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 52-69) |
|
3 | 5 |
Sarufi
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vitenzi Kutaja aina za vitenzi Kutumia vitenzi katika mazungumzo na sentensi |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 78-82) |
|
4 | 1 |
Kusoma
|
Lugha, utamaduni na katiba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma Makala katika kitabu cha mwanafunzi Kutabiri matukio katika Makala kabla ya kusoma Kutambua misamiati yaliyotumika katika Makala Kujibu maswali kuhusu Makala |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo |
Kitabu Cha Mashairi
|
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk82-84) |
|
4 | 2-3 |
Kusoma
Kuandika |
Lugha, utamaduni na katiba
Uandishi wa insha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma Makala katika kitabu cha mwanafunzi Kutabiri matukio katika Makala kabla ya kusoma Kutambua misamiati yaliyotumika katika Makala Kujibu maswali kuhusu Makala somo ; Kutambua muundo unaozingatiwa katika uandishi wa insha Kueleza mambo muhimu yakuzingatiwa katika uandishi wa insha Kuandika insha |
Maelezo
Majibu na maswali kuandika Mazungumzo Majadiliano Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mashairi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk82-84) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 84-86) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
4 | 4 |
Kusoma
|
Ripoti kuhusu ukimwi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ripoti Kufafanua ripoti Kutambua vipengele muhimu katika uandishi wa ripoti |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 89-91) |
|
4 | 5 |
Sarufi
|
Aina za maneno-vitenzi vishirikishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vitenzi vishirikishi Kutaja aina ya vishirikishi Kutumia vishirikishi katika mazungumzo na sentensi vyema |
Kusoma
Maswali na majibu Majadiliana Kuandika |
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(UK 91-94) |
|
5 | 1 |
Kuandika
|
Utungaji wa kiuaminifu -barua simu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya barua simu Kutaja mambo yanayozingatiwa katika uandishi wa barua simu Kuandika barua simu |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 97-98) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 2-3 |
Kuandika
|
Utungaji wa kiuamilifu-matangazo
Dayolojia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua madhumini ya matangazo Kuandika matangazo Kutaja mambo muhimu ya kuzingaitiwa katika uandishi wa matangazo Kutaja njia za kupitisha matangazo somo ; Kueleza maana ya dayolojia Kuandika dayolojia Kueleza mtindo wa dayolojia Kusoma na kuigiza dayolojia |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 111-115) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 116-117) |
|
5 | 4 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Kusoma dondoo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma dondoo katika kitabu cha mwanafunzi vyema. Kueleza mtiririko wa mtukio katika dondoo. Kutambua wahusika katika dondoo. Kujiu maswali sahihi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk120-122) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
5 | 5 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Kusoma dondoo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma dondoo katika kitabu cha mwanafunzi vyema. Kueleza mtiririko wa mtukio katika dondoo. Kutambua wahusika katika dondoo. Kujiu maswali sahihi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk120-122) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
6 | 1 |
Sarufi
|
Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza kazi ya viwakilishi. Kutambua aina ya viwakilishi. Kujadili aina za viwakilishi na kutaja mifano. Kutumia viwakilishi vyema katika sentensi na mazungumzo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk122-129) |
|
6 | 2-3 |
Kuandika
Sarufi |
Ratiba
Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ratiba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika ratiba. Kuandika ratiba . Kueleza maana ya hotuba. Kutambua na kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa rotuba somo ; Kueleza maana ya vielezi. Kutaja na kujadili aina tofauti za vielezi. Kutoa mifano ya aina tofauti za vielezi. Kutumia vielezi vyema kwa kuunda sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk132-134) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk138-142) |
|
6 | 4 |
Kusoma kwa mapana
|
Hadithi fupi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hadithi fupi. Kutaja na kujadili sifa za hadithi fupi. Kutaja mambo muhumu katika uandishi wa hadithi fupi.. Kuandika hadithi fupi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk143) |
|
6 | 5 |
Kuandika
|
Taarifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya taarifa. Kutaja na kujadili sifa za taarifa. Kuandika taarifa kuhusu hali ya ukame. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk144) |
|
7 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi-maigizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya maigizo. Kutaja na kujadili aina tofauti za maigizo. Kujadili sifa za maigizo. Kueleza dhima ya maigizo |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk145-147) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 2-3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Fasihi simulizi-maigizo
Ushairi -mwanamke |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya maigizo. Kutaja na kujadili aina tofauti za maigizo. Kujadili sifa za maigizo. Kueleza dhima ya maigizo somo ; Kusoma ushairi katika kitabu cha mwanafunzi. Kujadili mtindo uliotumika katika uandishi wa shairi hilo. |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk145-147) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk147-148) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
7 | 4 |
Sarufi
|
Viunganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya viunganishi na kueleza manufaa yake katika sentensi. Kutaja mifano ya viunganishi . Kutumia viunganishi vyema katika sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk148-150) |
|
7 | 5 |
Kusoma kwa mapana
|
Matumizi ya kamusi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutaja na kujadili matumizi ya kamusi. Kutumia kamusi kueleza maana ya misamiati ya bunge. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk150-151) |
|
8 | 1 |
Kuandika
|
Unadishi wa insha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutambua vipengee muhimu vya kuzingatiwa katikauandishi wa insha. Kuandika insha kuhusu mada aipendayo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk151-152) |
|
8 | 2-3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa ufahamu |
Mjadala
Kusoma taarifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mjadala. Kutaja wahusika katika mjadala. Kusoma mjadala katika kitabu cha mwanafunzi. Kujibu zoezi kikamilifu somo ; Kusoma taarifa katika kitabu cha mwnafunzi. Kujadili taarifa kwa kina. Kutaja aina mbalimbali ya vyakula |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo Maswali dodoso Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk153-154) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk155-157) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
8 | 4 |
Sarufi
|
Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vihusishi. Kujadili matumizi ya vihusishi. Kutambua na kueleza aina mbalimbali ya vihusishi. Kutumia vihusishi vyema katika sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk157-159) |
|
8 | 4-5 |
Sarufi
|
Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vihusishi. Kujadili matumizi ya vihusishi. Kutambua na kueleza aina mbalimbali ya vihusishi. Kutumia vihusishi vyema katika sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk157-159) |
|
9 |
Midterm |
|||||||
10 | 1 |
Kusoma kwa mapana
|
Mtambo wa ATM
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ATM Kusoma taarifa kuhusu ATM. Kueleza alichojifunza kuhusu ATM Kueleza jinsi ya kutumia ATM Kujibu maswali kutoka kwa taarifa ipasavyo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk160-163) |
|
10 | 2-3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Resipe
Sauti tatanishi /f/ na /v/ Fasihi simulizi-Visasili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya resipe. Kujadili matumizi ya resipe. Kueleza mambo ya kuzingatiwa katika uundaji wa resipe. Kuunda resipe somo ; Kutambua maneno yenye sauti tatanishi /f/ na /v/ Kutamka vitanza ndimi ipasavyo. Kueleza maana ya visasili. Kujadili dhima ya visasili Kusoma kisa mfano ya kisasili kwenye kitabu cha mwanafunzi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Majadiliano Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk164-165) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk166-170) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
10 | 4 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Tarakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya tarakilishi. Kutambua mifano ya tarakilishi. Kusoma Makala kuhusu tarakilishi. Kujibu maswali kuhusu Makala hiyo sahihi. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk170-172) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
10 | 5 |
Sarufi
|
Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya vihisishi Kujadili matumizi ya vihisishi. Kutaja mifano ya vihisishi. Kutumia vihusishi katika sentensi ipasvyo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk172-174) |
|
11 | 1 |
Kusoma kwa mapana
|
Ufisadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma Makala katikakitabu cha mwanafunzi. Kuipa kichwa mwafaka Makala hiyo. Kujadili mabo muhimu yaliyoangaziwa katika kifungu |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk174-175) |
|
11 | 2-3 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Ufisadi
Risala |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma Makala katikakitabu cha mwanafunzi. Kuipa kichwa mwafaka Makala hiyo. Kujadili mabo muhimu yaliyoangaziwa katika kifungu somo ; Kuleza maana ya risala. kujadili matumizi ya risala kutambua mifano ya risala. Kuandika risala |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk174-175) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk175-176) |
|
11 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ushairi simulizi-nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kujadili sifa za nyimbo. Kutambua na kueleza aina mbalimbali ya nyimbo. Kuimba wimbo wa harusi ipasavyo. Kueleza maana ya semi. Kueleza matumizi ya misemo Kutoa mifano ya misemo |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk177-181) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
11 | 5 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Ushairi -Mrija
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya mrija. Kujadili muundo wa shairi Kukariri shairi lenye mada mrija |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk182-183) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
12 | 1 |
Sarufi
|
Vinyume vya vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza vinyume vya vitenzi. Kutumia vinyume vya vitenzi ipasavyo katika sentensi Kujibu maswali kutokna na vinyume vya vitenzi ipasavyo |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk183-185) |
|
12 | 2-3 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Jinsia
Utungaji wa kisanii |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya jinsia Kusoma Makala yeyote kuhusu jinsia. Kutaja vitu muhimu yaliyojadiliwa kuhusu jinsia somo ; Kutambua na kujadili aina ya mashairi. Kujadili sifa za shairi hizi. Kutaja vitu muhimu vya kuzingatiwa katika uundaji wa shairi hizi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk185) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 186) |
|
12 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi-methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Eleza maana ya methali. Kueleza sifa za methali. Kutaja mifano ya methali kuu. Kujadili dhima ya methali |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 187-190) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
12 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi-methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Eleza maana ya methali. Kueleza sifa za methali. Kutaja mifano ya methali kuu. Kujadili dhima ya methali |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 187-190) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
13 | 1 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Ajira ya watoto
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutabiri matukio katika ufahamu. Kusoma ufahamu katika kitabu cha mwanafunzi kuhusu ajira ya Watoto. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 190-192) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
13 | 2-3 |
Sarufi
Kusoma kwa mapana |
Nyakati-hali ya ukanushaji
Kusoma maktabani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya ukanushaji. Kutambua viambishi vinavyoonyesha wakati Kutumia ukanushaji ipasavyo katika sentensi. somo ; Kujadili kusoma maktabani. Kufanya utafiti kuhusu mazingira |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 192-200) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk 200) |
|
13 | 4 |
Kuandika
|
Barua rasmi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya barua rasmi. Taja sehemu tofauti za barua rasmi. Kutambua na kueleza miundo tofauti za barua rasmi. Kuandika barua rasmi kwa kuzingatia miundo tofauti |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 200-204) |
|
13 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi-Hekaya
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya hekaya. Kusoma hekaya kwenye kitabu cha mwanafunzi |
Majadiliano
Kuandika Maswali na majibu Mazungumzo Maelezo |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk 205-206) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
14 | 1 |
Kusoma kwa ufahamu
|
Lubigisa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma kifungu kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Lubigisa Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho. Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk206-208) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) |
|
14 | 2-3 |
Kusoma kwa ufahamu
Sarufi |
Lubigisa
Sentensi ya kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kusoma kifungu kwenye kitabu cha mwanafunzi kichwa Lubigisa Kueleza mtiririko wa matukio katika kisa hicho. Kutambua misemo yaliyotumika katika kifungu,kueleza maana yao na kuyatumia vyema. Kujibu maswali kuhusu ufahamu ipasavyo. somo ; Kutaja na kujadili aina tofauti ya sentensi. Kutoa mifano ya aina mbali mbali ya sentensi. Kutunga sentensi tofauti kotaka kwa maneno waliyopewa. Kujibu maswali kuhusu aina ya sentensi |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk206-208) Kamusi ya misemo na nahau (k.w wamithila) KLB Kiswahili kitukuzwe 2 (uk209-211) |
|
14 | 4 |
Kusoma kwa mapana
|
Umoja wa kitaifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kutafuta ujumbe kuhusu umoja wa kitaifa Kutaja manufaa ya umoja wa kimataifa. Kueleza jinsi ambavyo umoja wa kitaifa inaweza kufanikishwa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk212) |
|
14 | 5 |
Kuandika
|
Uandishi wa kawaida-Muhtasari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya muhtasari. Kujadili vipengee muhimu katika uandishi wa muhtasari. Kuandika muhtasari ya kisa cha Lubigisa. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu |
KLB Kiswahili kitukuzwe 2
(uk212) |
Your Name Comes Here