If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Sarufi
|
Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhana ya vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi kwa kutumia vielezi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Ufafanuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 44-48
|
|
2 | 2-3 |
Kusoma
Kuandika Kusikiliza na kuzungumza |
Utungaji wa Kiuamilifu; Hotuba
Fasihi Simulizi; Mazungumzo Fasihi Simulizi; Malumbano ya Utani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelezea muundo wa hotuba Kutaja vipengele muhimu vya hotuba mufti Kuandika hotuba kwa hati nadhifu. Kueleza maana ya isimujamii. Kufafanua maana ya sajili katika lugha. Kuigiza mazungumzo. |
Kueleza
Kujadili Kuhutubu mbele ya darasa Kusoma Kuigiza Kujadili Kusikiliza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 49-50
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 51-52 |
|
2 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi andishi;
Matumizi ya lugha katika tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja matumizi ya lugha mbalimbali. Kutumia tamthilia teule kutoa mifano. Kufafanua jinsi lugha imetumiwa kukuta ujumbe. |
Kusoma
Kujadili Kueleza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
2 | 5 |

2 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi Simulizi; Ulumbi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ulumbi na kutoa mifano katika jamii. Kusoma mifano kitabuni na kuchambua. Kutofautisha ulumbi na tanzu nyinginezo. |
Kusikiliza
Kuuliza maswali Kuandika Kusoma Utafiti (kazi ya ziada) |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 53-54
|
|
2 | 7 |
Sarufi
|
Viwakilishi (W)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja aina za viwakilishi. Kueleza na kubainisha aina za viwakilishi. Kutumia viwakilishi katika sentensi kwa usahihi. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuandika Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 56-60
|
|
3 | 1 |
Kusoma
Kuandika |
Kusoma kwa Kina; Historia na Maendeleo ya Kiswahili
Uandishi wa Insha; Insha ya Mazungumzo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja lahaja za Kiswahili na kule zinakozungumzwa. Kufafanua chimbuko la Kiswahili. Kueleza ushahidi wa kihistoria unaoonyeshwa kuwa kiswahili kilizungumzwa katika sehemu ya Afrika Mashariki. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuandika Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 60-62
|
|
3 | 2-3 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi andishi;
Maadili na mafunzo katika tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja maadili na mafunzo ya tamthilia teule. Kufafanua maadili na mafunzo ya tamthilia teule. Kueleza jinsi tamthilia inaafikiana na matukio ya sasa katika jamii. |
Kusoma
Kujadili Maswali na majibu Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
3 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimujamii; Mahakamani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutaja sifa za lugha (sajili) ya mahakamani. Kueleza kaida na wafanyikazi wa Mahakamani. Kusoma kifungu na kujibu maswali. |
Kudodosa
Kusoma Kujadili Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kitabu cha Fasihi Simulizi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 64-65
|
|
3 | 5 |
Sarufi
|
Mwingiliano wa Maneno
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza sehemu mbili kuu za sentensi (KN na KT) Kutambua sifa za KN na KT. Kuonyesha KN na KT katika sentensi. |
Kueleza
Kusoma Kutunga sentensi Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 69-70
|
|
3 | 6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Utungaji wa Kiuamilifu; Makala ya Redio na Runinga
Isimujamii; Mahojiano kati ya Wataalamu Wawili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma habari kwa kina na kueleza yaliyomo. Kueleza umuhimu wa vyombo za habari. Kuandika makala yatakayosomwa katika kipindi kimojawapo cha redio. |
Maswali ya dodoso
Kusoma Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Redio na vinasa sauti |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 71
|
|
3 | 7 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina; Fasihi andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa tamthilia Kutaja maadili katika tamthilia Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
4 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina;
Fasihi andishi

4 | 2-3 |
Sarufi
Kusoma |
Vitenzi; Mzizi wa Kitenzi
Uchambuzi wa Fasihi Andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kubainisha mizizi ya vitenzi. Kutambua viambishi awali na tamati. Kuonyesha mzizi wa kila kitenzi alichopewa kisha anyambue. Kueleza tofauti iliyopo baina ya riwaya, tamthilia na ushairi. Kutoa sababu zinazoweza kumfanya mwandishi kutumia lafudhi mbalimbali katika kazi yake. Kutaja lugha na mbinu au mitindo mbalimbali wanayotumia wasanii kuwasiliana na hadhira. |
Kueleza
Kutunga sentensi Kuandika Kufanya zoezi Maelezo Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya kiswahili Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 74-75
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 75-80 |
|
4 | 4 |
Kusoma
Kuandika |
Uchambuzi wa Fasihi Andishi
Utungaji wa Kiuamilifi; Mialiko |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza tofauti iliyopo baina ya riwaya, tamthilia na ushairi. Kutoa sababu zinazoweza kumfanya mwandishi kutumia lafudhi mbalimbali katika kazi yake. Kutaja lugha na mbinu au mitindo mbalimbali wanayotumia wasanii kuwasiliana na hadhira. |
Maelezo
Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya Kiswahili Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
KLB; Kiswahili Kitukuzwe Kidato cha tatu Uk. 75-80
|
|
4 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Muhtasari;
Tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma tamthilia teule yote. Kueleza dhamira kwa ufupi. Kufafanua maudhui kwa ufupi. |
Kusoma
Kueleza Kujadili Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
4 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Muhtasari;
Tamthilia
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kueleza dhamira kwa ufupi. Kufafanua maudhui kwa ufupi. |
Kusoma
Kueleza Kujadili Kuandika Kufanya zoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
4 | 7 |
Kusoma
|
Shairi
Nyuki nimekoni?
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusoma shairi |
Kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 93-94
|
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuongea
|
Fasihi Simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-sifa za soga Dhima ya soga Kusoma riwaya |
kusikiliza
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 91-93
|
|
5 | 2-3 |
sarufi
Kusoma kuandika |
Vinyume vya vitenzi
Maenezi ya Kiswahili Ratiba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
- kueleza Vinyume vya vitenzi Mafano Shuka- panda Nuka-nukia Lala-amka Kueleza vitenzi katika hali ya kuamrisha Kutambua maana ya ratiba -kuandika kwa makini -kuandika insha nzuri ya maelezo |
Kuchanganua
kuandika |
Kitabu
Kamusi Kitabu Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 95-96
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 100-101 |
|
5 | 4 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua wahusika mbalimbali na ngazi zao -kueleza sifa za wahusika |
kusoma
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege.
|
|
5 | 5 |
Kusoma
|
Dini ya ulimwengu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa mapana na marefu -kupanua msamiati wake |
kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 106-107
|
|
5 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Visasili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya Visasili vilivyo -kubainisha aina mbali mbali za Visasili Kutao mifano ya Visasili Kutambua maana ya mighani Sifa za mighani na umuhimu wa mighani |
Kusoma
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 102-106
|
|
5 | 7 |
sarufi
|
Uundaji wa nomino
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kueleza nomino kutokana na vitenzi vya asili ya kigeni kutaja aina mbalimbali za sentensi mifano- samehe, abiri, husudu |
Kutaja
Kueleza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 106-107
|
|
6 | 1 |
Kuandika
|
Uandishi wa insha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuandika isnha ya masimulizi |
Kutoa mifano
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 110-111
|
|
6 | 2-3 |
Fasihi
Kusoma Marudio |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kukandamizwa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuchambua wahusika mbalimbali na ngazi zao -kueleza sifa za wahusika -kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa |
- Kusoma
Kuchambua - Kueleza Kutaja Mifano |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115 |
|
6 | 4 |
2
|
sarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa maana ya Virai Anian mbalimbali ya virai Mfano Kirai nomino Kirai kitenzi Virai vielezi Kirai kivumishi Virai vihusishi |
-kusoma - kutaja mifano
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk
|
|
6 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kuandika |
Fasihi simulizi
Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi kitabu cha mwanafunzi |
ngano
‘Fasihi simulizi’ Uk 112-114 |
|
6 | 6 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutathmini kufeli katika uwasilishi wa hadithi zote fupi -kutaja baadhi ya matanikio hayo |
- Uchambuzi
Majadiliano |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege.
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
6 | 7 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutathmini nkufli katika uwasilishi wa hadithi zote fupi -kutaja baadhi ya udhaifu huo |
- Uchambuzi
Majadiliano |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
7 | 1 |
Kusoma
|
Kukandamizwa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kutaja mambo muhimu yanayozingatiwa katika usemi wa taarifa |
- Kueleza
Kutaja Mifano |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 uk 114-115
|
|
7 | 2-3 |
2
Kusikiliza na kuzungumza Kuandika |
sarufi
Fasihi simulizi Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutoa maana ya Virai Aina mbalimbali ya virai Mfano Kirai nomino Kirai kitenzi Virai vielezi Kirai kivumishi Virai vihusishi -kueleza fasihi simulizi Nago Sifa za ngano Dhima za ngano Kutoa mifano ya ngano |
- Kueleza
Kutaja Mifano Maelezo |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk 115-118
Kiswahili Kitukuzwe kidato 3 Uk |
|
7 | 4 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutathmini kufeli katika uwasilishi wa hadithi zote fupi -kutaja baadhi ya matanikio hayo |
- Uchambuzi
Majadiliano |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
7 | 5 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutathmini nkufli katika uwasilishi wa hadithi zote fupi -kutaja baadhi ya udhaifu huo |
- Uchambuzi
Majadiliano |
Hadithi fupi
kamusi |
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
7 | 6 |
kusoma
|
mchezo wa kuigiza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa kudadisi ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
-
Kusoma Kukariri |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 125
|
|
7 | 7 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Maamkizi na mazungumzo- isimujamii
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kusikiliza majadiliano baina ya marafiki wawili kuhusu umoja wa taifa Kujibu maswali |
Kuandika
Kutunga sentensi Kusoma |
kitabu cha mwanafunzi
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 uk 124
|
|
8 | 1 |
Sarufi
Kuandika |
vishazi
wasifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua maana ya vishazi kutambua aina za vishazi vishazi huru vishazi tegemezi kutambua maana ya vishazi huru na vishazi tegemezi mwanafunzi Kuandika sentensi akitumia v. huru na v.tegemezi mfano vishazi huru Mwashi amewasili mgeni atakuja shuleni leo vishazi tegemezi jiwe lililomgonga cheti kilichopotea |
- Kuandika
Kutunga sentensi |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 uk 128-129
|
|
8 | 2-3 |
Fasihi
andishi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kueleza matukio katika katika onyesho la V -kuandika muhtasari wa onyesho hilo |
Kusoma kwa zamu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
8 | 4 |
Kusoma
|
mhepa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu |
- Kusoma
Kujibu maswali |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 136-138
|
|
8 | 5 |
Kusikiliza na kuongea
|
Miviga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua maana ya miviga kutambua sifa za miviga kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga |
Kusikiliza
kuzungumza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 135-136
|
|
8 | 6 |
sarufi
kuandika |
setensi ya Kiswahili
utungaji wa kiuamilifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili kutambua miundo ya kikundi nomino (KN) mfano nomino za pekee kiwakilishi pekee nomino na nomino nomino na kivumisi nomino na vivumishi nomino kivumishi na kielezi miundo ya kikunndi tenzi |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142
|
|
8 | 7 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege.
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
9 |
Midterm |
|||||||
10 | 1 |
Fasihi andishi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kueleza ploti katika onyesho la … -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
Kusoma kwa zamu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
10 | 2-3 |
Kusoma
Kusikiliza na kuongea |
mhepa
Miviga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu kutambua maana ya miviga kutambua sifa za miviga kutambua dhima ya miviga wahusika na changamoto za miviga |
- Kusoma
Kujibu maswali Kusikiliza kuzungumza |
Kitabu
Kitabu Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 136-138
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 135-136 |
|
10 | 4 |
sarufi
kuandika |
setensi ya Kiswahili
utungaji wa kiuamilifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya setensi ya Kiswahili kutambua miundo ya kikundi nomino (KN) mfano nomino za pekee kiwakilishi pekee nomino na nomino nomino na kivumisi nomino na vivumishi nomino kivumishi na kielezi miundo ya kikunndi tenzi |
Maelezo
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 138-142
|
|
10 | 5 |
Fasihi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho …….. -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
10 | 6 |
Fasihi andishi
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kueleza ploti -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
Kusoma kwa zamu
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy AregeI.
|
BEMBEA YA MAISHA na Timothy Arege
|
|
10 | 7 |
Ufahamu
|
Haki zetu binadamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari -kujibu vilivyo maswali ya ufahamu |
Kutaja
kueleza |
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 147-148
|
|
11 | 1 |
Kuzikiliza na kuongea
|
maigizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuigiza maigizo kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani |
Kuchambua
|
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
11 | 2-3 |
sarufi
Kuandika Fasihi simulizi |
aina za sentensi
utungaji wa kiuamilifu kumbukumbu Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za sentensi mfano sentensi sahihi sentensi ambatano sentensi changamano mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi mfano kutumia viunganishi, vishazi viwili -Kusoma kwa makini na kwa ufahamu onyesho la 1 na kuchambua vilivyo -kuandika muhtasari wa matukio |
Mjadala
Kusoma kuchambua |
Kitabu
Kamusi Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. |
|
11 | 4 |
Fasihi
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na ufahamu onyesho la X na kuchambua vilivyo -kuandika muhtasari wa matukio hayo |
- Kusoma
Kuchambua |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
11 | 5 |
Ufahamu
|
Haki zetu binadamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu kifungu cha habari -kujibu vilivyo maswali ya ufahamu |
Kutaja
kueleza |
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 147-148
|
|
11 | 6 |
Kuzikiliza na kuongea
|
maigizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuigiza maigizo kutoa mifano wa shughuli za jandoni katika kabila fullani |
Kuchambua
|
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 146-147
|
|
11 | 7 |
sarufi
Kuandika |
aina za sentensi
utungaji wa kiuamilifu kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kutambua aina za sentensi mfano sentensi sahihi sentensi ambatano sentensi changamano mwanafunzi Kuandika sentensi za aina mbali mbali za sentensi mfano kutumia viunganishi, vishazi viwili |
Mjadala
|
Kitabu
Kamusi |
Kiswahili Kitukuzwe 3 kidato 3 Uk 148-150
|
|
12 | 1 |
Fasihi simulizi
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa makini na kwa ufahamu onyesho la 1 na kuchambua vilivyo -kuandika muhtasari wa matukio |
Kusoma
kuchambua |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
12 | 2-3 |
Fasihi
Kusoma |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
usalama barabarani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na ufahamu onyesho la X na kuchambua vilivyo -kuandika muhtasari wa matukio hayo -kusoma kwa ufahamu -kujibu maswali ya ufahamu ipasavyo |
- Kusoma
Kuchambua - Kusoma Jibu maswali |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Kitabu Kamusi |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 158-159 |
|
12 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
ushairi
nyimbo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
kukariri mashairi kuimba nyimno kutambua dhima ya nyimbo kutunga mifano wa wimbo |
Kisikiliza na kushiriki
|
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 156-157
|
|
12 | 5 |
sarufi
Kuandika |
uchanganuzi wa sentensi
utungaji wa kiuamilifu tahadhari |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi -kutaja aina ya sentensi sahili kujaza jedwali kuandika sentesni ambatano kuandika sentesni changamano |
Maelezo
|
kitabu
|
Kiswahili Kitukuzwe 3kidato 3 Uk 160-165
|
|
12 | 6 |
Fasihi
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI. ’
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na ufahamu kila onyeso -kuchambua vilivyo maudhui |
- Kusoma
Kuchambua |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
|
12 | 7 |
Fasihi
|
Uchambuzi:
‘Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma kwa makini na ufahamu kila onyeso -kuchambua vilivyo maudhui |
- Kusoma
Kuchambua |
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Nguu za jadi. na CLARA MOMANYI.
|
Your Name Comes Here