If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufahamu wa kusikiliza
Ufahamu Mnyambuliko vitenzi II Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma somo, ; Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti Ufafanuzi. Maelezo. Mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 98-100 |
|
2 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro

2 | 4 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Muundo na mtindo katika fasihi andishi
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kufafanua tofauti zilizopo kati ya dhana za muundo na mtindo wa kazi za fasihi andishi. Kueleza vipengele vya kimsingi vya kuzingatia katika fasihi andishi. Kupambanua mtindo wa tamthilia au hadihi fupi teule unayoisoma darasani. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 102-105
|
|
2 | 5 |
Fasihi
Kusikiliza na kuzungumza |
Ushairi
Miviga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kukariri shairi. Kuonyesha dhamira ya mshairi. Kueleza uhuru wa kishairi alizozitumia mshairi. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 112-113
|
|
2 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
3 | 1-2 |
Ufupisho
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufupisho
Aina za maneno; Vielezi Aina za maneno; Viunganishi Aina za maneno; Vihusishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma hadithi na kuelewa ujumbe Kudondoa hoja muhimu Kufupisha hadithi kwa urefu ulioulizwa somo, ; Kutaja aina za viunganishi. Kueleza aina za viunganishi. Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kusoma. Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 116-118
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123 |
|
3 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
3 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Aina za maneno; Vihisishi
Mashairi ya arudhi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vihisishi. Kueleza aina za vihisishi. Kueleza dhima ya vihisishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihisishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 124-125 |
|
3 | 5 |
Kuandika
|
Memo
Baruameme |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya memo. Kueleza muundo wa memo. Kuandika memo. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 128-129 |
|
3 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
4 |
Cycke one Exams |
|||||||
5 |
Cycle two exams |
|||||||
6 | 1-2 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza Kusikiliza na kuzungumza Sarufi na matumizi ya lugha |
Ujumbe wa rununu
Ngano Ngano Uundaji wa maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa rununu Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu Kuandika ujumbe wa rununu somo, ; Kutaja aina za ngano Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko. Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi Kusoma Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130 Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134 |
|
6 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
6 | 4 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
6 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Insha za masimulizi
Mighani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujieleza kwa mtiririko ufaao Kutambua hatua za uandishi bora wa insha maelezo Kuandika insha ya maelezo kwa kutumia fani mbalimbali za lugha |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 142
|
|
6 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Mwingiliano wa aina za maneno
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza jinsi aina za maneno hubadilika kutegemea utendaji kazi yake katika sentensi Kufafanua jinsi aina za maneno huingiliana. Kubainisha maneno yaliyopigwa mistari ni ya aina gani. Kutunga sentensi akitumia msamiati ufaao |
Mashindano
Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 146-148
|
|
7 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana Kuandika Kusikiliza na kuzungumza |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa Kumbukumbu Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi somo, ; Kueleza muundo wa insha ya kumbukumbu Kudondoa makosa yote katika insha yake na kuyarekebisha Kuandika insha ya kumbukumbu upya bila makosa yoyote |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 150-152 |
|
7 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Nyakati, hali na ukanushaji wake
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya si-, -me- na –ki- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 156-158
|
|
7 | 4 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Historia ya lugha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
7 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Hotuba
Isimujamii: Sajili ya viwandani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya hotuba. Kutambua umuhimu wa hotuba. Kufafanua muundo wa hotuba. Kuandika hotuba. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161
|
|
7 | 6 |
Ufahamu
Kusoma (fasihi) |
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kutaja sifa zinazodhihirisha mchakato wa mawasiliano kupitia tarakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 163-165
|
|
8 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi Kusoma kwa kina Kuandika |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Ukanushaji wa hali II Kamliwaze Insha ya mawazo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi somo, ; Kusoma shairi, ‘Kamliwaze’ Kuchambua shairi hili, ‘Kamliwaze’ Kujibu maswali. |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi Ufaraguzi Utafiti Maelezo Ufanunuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 168 |
|
8 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi) |
Mawaidha katika fasihi simulizi
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya mawaidha katika fasihi simulizi. Kufafanua sifa za mawaidha. Kutaja dhima ya mawaidha. |
Usomaji.
Utafiti. Utatuzi wa mambo. Uchunguzi kifani |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 170-171
|
|
8 | 4 |
Kusoma (fasihi)
Ufahamu |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
8 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Uakifishaji
Idhini ya kishairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kifungu kisha kutoa mifano ya matumizi ya lugha na alama za uakifishaji. Kutaja alama za uakifishaji zilizotumiwa katika kifungu. Kugeuza sentensi ziwe katika usemi halisi. Kuandika sentensi katika usemi taarifa. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 173-175
|
|
8 | 6 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Insha ya wasifu
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya wasifu Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake. Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176
|
|
9 |
Midterm break |
|||||||
10 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
11-13 |
Mock exams |
|||||||
14 |
Closing |
Your Name Comes Here