If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu wa kusikiliza
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97
|
|
2 | 2-3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma (fasihi) |
Mnyambuliko vitenzi II
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. somo, ; Kueleza mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja. Kubainisha kauli ya kutendea, kutendwa, kutendeka, kutendewa na kutendesha. Kutunga sentensi akitumia vitenzi kudhihirisha maana za kauli husika. |
Ufafanuzi.
Maelezo. Mifano Tajriba. Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 98-100
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 100-102 |
|
2 | 4 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Muundo na mtindo katika fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
2 | 5 |
Kuandika
|
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya neno ‘utafiti’ Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi. Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106
|
|
2 | 6 |
Fasihi
Kusikiliza na kuzungumza |
Ushairi
Miviga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kukariri shairi. Kuonyesha dhamira ya mshairi. Kueleza uhuru wa kishairi alizozitumia mshairi. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 112-113
|
|
3 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
3 | 2-3 |
Kusoma (fasihi)
Ufupisho Sarufi na matumizi ya lugha |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Ufupisho Aina za maneno; Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi somo, ; Kutaja aina za vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi akitumia aina za vielezi. |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi Kusoma. Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 118-121 |
|
3 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Viunganishi
Aina za maneno; Vihusishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za viunganishi. Kueleza aina za viunganishi. Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123 |
|
3 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
3 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vihisishi. Kueleza aina za vihisishi. Kueleza dhima ya vihisishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihisishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 124-125 |
|
4 | 1 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Mashairi ya arudhi
Memo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya shairi ya arudhi. Kufafanua maudhui ya shairi la arudhi. Kubainisha mafunzo ya shairi hilo. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 126-128
|
|
4 | 2-3 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Baruameme
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya baruameme Kueleza muundo wa baruameme. Kuandika baruameme. Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi Kujadiliana Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 129-130 Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
|
4 | 4 |
Kuandika
|
Ujumbe wa rununu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa rununu Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu Kuandika ujumbe wa rununu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130 |
|
4 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ngano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ngano. Kueleza umuhimu wa ngano. Kufafanua sifa za ngano kwa ujumla. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 131-134
|
|
4 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Uundaji wa maneno
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kuunda nomino kutoka na vitenzi. Kutunga nomino kutokana na aina nyingine za maneno. Kubainisha vivumishi kutokana na aina nyingine za maneno. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 137-139
|
|
5 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
5 | 2-3 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika Kusikiliza na kuzungumza |
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili
Insha za masimulizi Mighani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujadili matatizo yanayozikabili lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa taarifa. Kueleza jinsi Changamoto zinazoikumbuka lugha ya Kiswahili zinavyoweza kukabiliwa. Kufafanua jinsi lugha ya Kiswahili inaweza kusambazwa nchini. somo, ; Kufafanua maana ya mighani Kubainisha sifa za mighani Kutoa mifano kwa mighani katika jamii yake. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi Utafiti. Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 139-141
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 143-144 |
|
5 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Mwingiliano wa aina za maneno
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza jinsi aina za maneno hubadilika kutegemea utendaji kazi yake katika sentensi Kufafanua jinsi aina za maneno huingiliana. Kubainisha maneno yaliyopigwa mistari ni ya aina gani. Kutunga sentensi akitumia msamiati ufaao |
Mashindano
Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 146-148
|
|
5 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
5 | 6 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa
Kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa inayohusu Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa. Kueleza mambo yanayothibitisha nafasi ya Kiswahili kimataifa. Kufafanua Wajibu unaotekelezwa na lugha ya Kiswahili kulingana na taarifa. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 148-149
|
|
6 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba
Nyakati, hali na ukanushaji wake |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza matumizi ya lugha katika hotuba. Kufafanua sifa za lugha ya hotuba. Kutambua umuhimu wa Utoaji hotuba |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 153
|
|
6 | 2-3 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma (fasihi) Kusoma kwa mapana |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine Historia ya lugha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
6 | 4 |
Kuandika
|
Hotuba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya hotuba. Kutambua umuhimu wa hotuba. Kufafanua muundo wa hotuba. Kuandika hotuba. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161
|
|
6 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu |
Isimujamii: Sajili ya viwandani
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya sajili ya viwandani. Kufafanua sajili ya viwandani. Kueleza jinsi uhusiano wa wahusika viwandani unavyodhibiti matumizi ya lugha viwandani. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 162
|
|
6 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
7 | 1 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Ukanushaji wa hali II |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
7 | 2-3 |
Kusoma kwa kina
Kuandika Kusikiliza na kuzungumza |
Kamliwaze
Insha ya mawazo Mawaidha katika fasihi simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma shairi, ‘Kamliwaze’ Kuchambua shairi hili, ‘Kamliwaze’ Kujibu maswali. somo, ; Kueleza maana ya mawaidha katika fasihi simulizi. Kufafanua sifa za mawaidha. Kutaja dhima ya mawaidha. |
Ufaraguzi
Utafiti Maelezo Ufanunuzi Usomaji. Utafiti. Utatuzi wa mambo. Uchunguzi kifani |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 168
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 170-171 |
|
7 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
|
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
|
|
7 | 5 |
Ufahamu
|
Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua mawazo makuu katika kifungu Kueleza msamiati na kuutungia sentensi kwa usahihi Kujibu maswali ya ufahamu kiukamilifu |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 171-172
|
|
7 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Uakifishaji
Idhini ya kishairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kifungu kisha kutoa mifano ya matumizi ya lugha na alama za uakifishaji. Kutaja alama za uakifishaji zilizotumiwa katika kifungu. Kugeuza sentensi ziwe katika usemi halisi. Kuandika sentensi katika usemi taarifa. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 173-175
|
|
8 | 1 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Insha ya wasifu
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya wasifu Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake. Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176
|
|
8 | 2-3 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza Sarufi na matumizi ya lugha |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Ngomezi Muundo wa sentensi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kusoma na kuchambua mtiririko wa visa, dhamira, lugha, maudhui mbinu za kisanaa na wahusika katika hadithi fupi somo ; Kueleza maana ya Ngomezi. Kutaja sifa za ngomezi Kufafanua umuhimu wa ngomezi Kutaja ngomezi za kisasa |
Kujadiliana
Kuuliza Kujibu maswali baada ya hadithi Kueleza Kujadiliana Kuandika Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Picha na michoro
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi Kamusi |
Mapambazuko ya Machweo na Hadithi Nyingine
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 177-178 |
|
8 | 4 |
Kuandika
|
Tawasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya tawasifu Kueleza sifa za tawasifu Kuandika tawasifu kwa lugha inayokubalika |
Kuandika
Kueleza Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 185-186
|
|
8 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma |
Isimu jamii: Sajili ya michezoni
Kusoma kwa kina; Kigogo Chozi la heri Tumbo lisiloshiba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kufafanua sifa za sajili ya michezoni. Kueleza umuhimu wa sajili ya michezoni Kutaja wanaohusika katika kutumia lugha ya michezoni. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 187
|
|
8 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina;
Kigogo
Chozi la heri
Tumbo lisiloshiba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua mbinu za sanaa katika hadithi fupi Kufafanua mbinu za sanaa na dhima yake katika hadithi Kupanua kitembo chake cha msamiati na fani za lugha. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Kitabu teule
|
|
9 |
LIKIZO |
|||||||
9 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kuandika |
Yambwa na chagizo
Maagizo na maelekezo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya yambwa na chagizo. Kubainisha chagizo katika sentensi. Kutunga sentensi zilizo na yambwa na chagizo |
Kueleza
Kusoma Kujibu maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 190-191
|
|
10 | 1 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kuandika |
Virai
Dayalojia |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya kirai. Kutambua aina za virai. Kutunga sentensi kudhihirisha aina za virai. |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 198-199
|
|
10 | 2-3 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma (fasihi) Kusikiliza na kuzungumza |
Kusoma kwa kina;
Kigogo
Chozi la heri
Tumbo lisiloshiba
Kusoma kwa kina; Kigogo Chozi la heri Tumbo lisiloshiba Nyimbo na maghani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua mbinu za sanaa katika hadithi fupi Kufafanua mbinu za sanaa na dhima yake katika hadithi Kupanua kitembo chake cha msamiati na fani za lugha. somo, ; Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa kitabu teule Kutaja maadili katika kitabu teule Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
|
|
10 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Vishazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya kishazi Kubainisha aina za vishazi Kutunga sentensi zenye vishazi Kutambua vishazi katika tungo |
Kueleza
Kusoma Kujibu maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 214-216 |
|
10 | 5 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Ratiba
Ulumbi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ratiba. Kufafanua umuhimu wa ratiba. Kutaja mambo muhimu ya kuzingatia mtu anapoandika ratiba. Kuandika ratiba. |
Kusoma.
Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 216-217
|
|
10 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina;
Kigogo
Chozi la heri
Tumbo lisiloshiba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muktadha wa vitabu Kuchambua vipengele vya fasihi-maudhui, wahusika na lugha |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
|
|
11 | 1 |
Kusoma (fasihi)
Kuandika |
Kusoma kwa kina;
Kigogo
Chozi la heri
Tumbo lisiloshiba
Barua kwa mhariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muktadha wa vitabu Kuchambua vipengele vya fasihi-maudhui, wahusika na lugha |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
|
|
11 | 2-3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina Kuandika |
Uchanganuzi wa sentensi
Wahusika na uhusika katika fasihi andishi Barua kwa mhariri wa gazeti |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi. Kufafanua sentensi sahili, ambatano na changamano. Kueleza vitenzi vya sentensi baada ya uchanganuzi. somo, ; Kueleza muundo wa barua kwa mhariri wa gazeti. Kutaja sifa za barua kwa mhariri wa gazeti. Kuandika barua kwa mhariri wa gazeti. |
Maelezo
Uchunguzi Mifano Ufafanuzi Kujaza majedwali Mazoezi Mashindano Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 228-233
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 234-235 |
|
11 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina;
Kigogo
Chozi la heri
Tumbo lisiloshiba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muktadha Kuchambua vipengele vya fasihi lugha, wahusika na fani Kujibu maswali |
Kusoma
Kujadili Kusikiliza kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
|
|
11 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimu jamii: Sajili ya mahakamani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua sifa za sajili ya mahakamani Kueleza umuhimu wa sajili ya mahakamani Kutaja wanaohusika katika kutumia lugha ya mahakamani |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 236
|
|
11 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kuandika |
Uchanganuzi wa fungu tenzi
Insha ya mazungumzo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya fungu tenzi. Kuchanganua fungu tenzi kama sentensi sahili au kishazi tegemezi. Kuandika mifano ya fungu tenzi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 238-239
|
|
12 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Changamoto za fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza sifa za fasihi simulizi. Kutaja aina za fasihi simulizi. Kufafanua changamoto za fasihi simulizi. |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 242
|
|
12 | 2-3 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma kwa mapana |
Kusoma kwa kina;
Kigogo
Chozi la heri
Tumbo lisiloshiba
Viambishi maalumu Tahariri kutoka magazetini |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, Kubainisha aina za wahusika. Kueleza sifa bainifu za aina mbali mbali za wahusika. Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali. somo, ; Kueleza maana ya viambishi maalumu. Kutaja aina za viambishi maalumu. Kutunga sentensi kubainisha matumizi ya kiambishi –ku-, -ndi-, -ji- |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kuigiza Kuandika Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 244-247 |
|
12 | 4 |
Kuandika
|
Mjadala
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya mjadala. Kufafanua kanuni za kutendesha mjadala. Kutaja umuhimu wa mjadala. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 250
|
|
12 | 5 |
Kusoma kwa kina
Kusoma (fasihi) |
Matangazo
Kusoma kwa kina; Kigogo Chozi la heri Tumbo lisiloshiba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya Matangazo. Kufafanua umuhimu wa Matangazo. Kutaja aina za Matangazo. Kueleza sifa za Matangazo Kuandika Matangazo. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 256-258
|
|
12 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina;
Kigogo
Chozi la heri
Tumbo lisiloshiba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa lugha katika kitabu teule. Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika kitabu teule. Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali. |
Kusoma
Kuadili Kudodoso fani za lugha Kuandika Kuwasilisha mbele ya darasa |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
|
|
13-14 |
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA |
Your Name Comes Here