If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja na kugusia yaliyomo katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi cha fasihi. -Kueleza mtiririko wa kitabu kwa muhtasari. -Kueleza dhamira ya riwaya teule. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu wa kusikiliza
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97
|
||
5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mnyambuliko vitenzi II
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. |
Ufafanuzi.
Maelezo. Mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 98-100
|
||
6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja. Kubainisha kauli ya kutendea, kutendwa, kutendeka, kutendewa na kutendesha. Kutunga sentensi akitumia vitenzi kudhihirisha maana za kauli husika. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 100-102
|
||
3 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma (fasihi) Kusoma kwa kina |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Muundo na mtindo katika fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kwanza ya hadithi fupi (Fadhili za punda) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kwanza. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kwanza. somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kwanza Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kwanza Kujibu maswali |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
3 |
Kuandika
|
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya neno ‘utafiti’ Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi. Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106
|
||
4 |
Fasihi
|
Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kukariri shairi. Kuonyesha dhamira ya mshairi. Kueleza uhuru wa kishairi alizozitumia mshairi. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 112-113
|
||
5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Miviga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya miviga katika jamii Kubainisha umuhimu wa miviga katika jamii Kubainisha miviga mizuri na kuendeleza na mibaya kupingwa vita |
Kueleza
Kusikiliza Kujadili Kusoma makala kitabuni kwa sauti kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 115-116
|
||
6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya pili ya hadithi fupi (Fadhili za punda) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya pili. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya pili. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
||
4 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Ufupisho Sarufi na matumizi ya lugha |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Ufupisho Aina za maneno; Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya pili. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya pili. Kujibu maswali. somo, ; Kutaja aina za vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi akitumia aina za vielezi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Kusoma. Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 118-121 |
|
3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Viunganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za viunganishi. Kueleza aina za viunganishi. Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123 |
||
4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vihusishi. Kueleza aina za vihusishi. Kueleza dhima ya vihusishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihusishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 123-124 |
||
5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya nne na ya tano ya hadithi fupi (Haru na Sabina) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nne na ya tano. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nne na ya tano. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
||
6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vihisishi. Kueleza aina za vihisishi. Kueleza dhima ya vihisishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihisishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 124-125 |
||
5 | 1-2 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Mashairi ya arudhi
Memo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya shairi ya arudhi. Kufafanua maudhui ya shairi la arudhi. Kubainisha mafunzo ya shairi hilo. somo, ; Kutambua maana ya memo. Kueleza muundo wa memo. Kuandika memo. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 126-128
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 128-129 |
|
3 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Baruameme
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya baruameme Kueleza muundo wa baruameme. Kuandika baruameme. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 129-130 |
||
4 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya sita Kupambanua sifa za wahusika katika sita Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
||
5 |
Kuandika
|
Ujumbe wa rununu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa rununu Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu Kuandika ujumbe wa rununu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130 |
||
6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ngano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ngano. Kueleza umuhimu wa ngano. Kufafanua sifa za ngano kwa ujumla. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 131-134
|
||
6 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma (fasihi) |
Ngano
Uundaji wa maneno Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za ngano Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko. Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao. somo, ; Kusoma sura ya saba (Kila Mchezea Wembe) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya saba. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya saba. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika Kusoma Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134
Kitabu teule |
|
3 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya saba Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya saba. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
||
4 |
Kusoma kwa mapana
|
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujadili matatizo yanayozikabili lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa taarifa. Kueleza jinsi Changamoto zinazoikumbuka lugha ya Kiswahili zinavyoweza kukabiliwa. Kufafanua jinsi lugha ya Kiswahili inaweza kusambazwa nchini. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 139-141
|
||
5 |
Kuandika
|
Insha za masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujieleza kwa mtiririko ufaao Kutambua hatua za uandishi bora wa insha maelezo Kuandika insha ya maelezo kwa kutumia fani mbalimbali za lugha |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 142
|
||
6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Mighani
Mwingiliano wa aina za maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya mighani Kubainisha sifa za mighani Kutoa mifano kwa mighani katika jamii yake. |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 143-144
|
||
7 |
Midterm |
|||||||
8 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya nane (Kifo cha Suluhu) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nane. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nane. somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya nane. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya nane. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
3 |
Kusoma kwa mapana
|
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa inayohusu Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa. Kueleza mambo yanayothibitisha nafasi ya Kiswahili kimataifa. Kufafanua Wajibu unaotekelezwa na lugha ya Kiswahili kulingana na taarifa. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 148-149
|
||
4 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Kumbukumbu
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya kumbukumbu Kudondoa makosa yote katika insha yake na kuyarekebisha Kuandika insha ya kumbukumbu upya bila makosa yoyote |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 150-152
|
||
5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Nyakati, hali na ukanushaji wake
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya si-, -me- na –ki- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 156-158
|
||
6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya tisa (Ahadi ni Deni) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya tisa. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya tisa. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
||
9 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana Kuandika |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Historia ya lugha Hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya tisa. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya tisa. Kujibu maswali. somo, ; Kusoma taarifa ‘Historia ya lugha’ Kueleza mikakati iliyojadiliwa katika taarifa ya kukiimarisha Kiswahili. Kutambua hali ya Kiswahili nchini Kenya huku akirejelea taarifa aliyoisoma. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Kuandika Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 158-160 |
|
3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Isimujamii: Sajili ya viwandani
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya sajili ya viwandani. Kufafanua sajili ya viwandani. Kueleza jinsi uhusiano wa wahusika viwandani unavyodhibiti matumizi ya lugha viwandani. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 162
|
||
4 |
Ufahamu
|
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kutaja sifa zinazodhihirisha mchakato wa mawasiliano kupitia tarakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 163-165
|
||
5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kumi (Toba ya Kalia) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
||
6 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Ukanushaji wa hali II |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi |
Kitabu teule
|
||
10 | 1-2 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Kamliwaze
Insha ya mawazo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma shairi, ‘Kamliwaze’ Kuchambua shairi hili, ‘Kamliwaze’ Kujibu maswali. somo, ; Kueleza muundo wa insha ya mawazo Kufafanua vigezo muhimu vya insha mawazo Kuandika insha ya mawazo ifaavyo. |
Ufaraguzi
Utafiti Maelezo Ufanunuzi Kueleza Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 168
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62 |
|
3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mawaidha katika fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya mawaidha katika fasihi simulizi. Kufafanua sifa za mawaidha. Kutaja dhima ya mawaidha. |
Usomaji.
Utafiti. Utatuzi wa mambo. Uchunguzi kifani |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 170-171
|
||
4 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kumi na moja (Nipe nafasi) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi na moja. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi na moja. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
||
5 |
Ufahamu
|
Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua mawazo makuu katika kifungu Kueleza msamiati na kuutungia sentensi kwa usahihi Kujibu maswali ya ufahamu kiukamilifu |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 171-172
|
||
6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Uakifishaji
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kifungu kisha kutoa mifano ya matumizi ya lugha na alama za uakifishaji. Kutaja alama za uakifishaji zilizotumiwa katika kifungu. Kugeuza sentensi ziwe katika usemi halisi. Kuandika sentensi katika usemi taarifa. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 173-175
|
||
11 | 1-2 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Idhini ya kishairi
Insha ya wasifu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ‘Idhini ya kishairi’ Kutaja Idhini za kishairi anazoweza kuzitumia mshairi. Kueleza sababu za mshairi kutumia Idhini ya kishairi. somo, ; Kueleza maana ya wasifu Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake. Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu Maelezo Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 175-176
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176 |
|
3 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kumi na mbili (Nilitamani) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi na mbili. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi na mbili. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
||
4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ngomezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kueleza maana ya Ngomezi. Kutaja sifa za ngomezi Kufafanua umuhimu wa ngomezi Kutaja ngomezi za kisasa |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 177-178
|
||
5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Muundo wa sentensi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja vikundi vya nomino. Kueleza kikundi nomino(KN) na kikundi tenzi (KT) Kutunga sentensi kubainisha vikundi nomino. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 180-183
|
||
6 |
Kuandika
|
Tawasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya tawasifu Kueleza sifa za tawasifu Kuandika tawasifu kwa lugha inayokubalika |
Kuandika
Kueleza Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 185-186
|
||
12 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma Kusoma (fasihi) |
Isimu jamii: Sajili ya michezoni
Kusoma kwa kina; Kigogo Chozi la heri Tumbo lisiloshiba Kusoma kwa kina; Kigogo Chozi la heri Tumbo lisiloshiba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kufafanua sifa za sajili ya michezoni. Kueleza umuhimu wa sajili ya michezoni Kutaja wanaohusika katika kutumia lugha ya michezoni. somo, ; Kutambua mbinu za sanaa katika hadithi fupi Kufafanua mbinu za sanaa na dhima yake katika hadithi Kupanua kitembo chake cha msamiati na fani za lugha. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika Kusoma. Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 187
Kitabu teule |
|
3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Yambwa na chagizo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya yambwa na chagizo. Kubainisha chagizo katika sentensi. Kutunga sentensi zilizo na yambwa na chagizo |
Kueleza
Kusoma Kujibu maswali Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 190-191
|
Your Name Comes Here