Home

MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA NNE
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School

To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.

To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.

Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)

WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1

Ufunguzi wa Shule

1

Sikukuu ya Leba

1 6
Kudurusu
Karatasi ya 2
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:kufanya marudio ipasavyo
Ufafanuzi.
Maelezo.
Mifano
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Mwongozo
2 1
Kudurusu 
Karatasi ya 3
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufanya marudio ipasavyo
Tajriba.
Maswali na majibu.
Mifano.
Mazoezi.
Marudio
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Mwongozo
2 2
Kudurusu
Karatasi ya 3
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:kufanya marudio ipasavyo
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Mwongozo
2 3
Kudurusu
Karatasi ya 3
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufanya marudio ipasavyo
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Mwongozo
2

Mtihani wa ufunguzi wa muhula

2 5
Kuandika
Maigizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya maigizo Sifa na umuhimu
Kueleza
Kusoma
Kuigiza
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Fani ya Fasihi Simulizi
2

Mtihani wa ufunguzi wa muhula

3 1
Kuandika 
Vipera vya maigizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua vipera vya maigizo na kuandika
Kueleza
Kusoma
Kuigiza
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Fani ya Fasihi Simulizi
3 2
Kusoma na Kuandika 
Majigambo na mchezo ya watoto
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kufafanua maana na Sifa zao
Kueleza
Kusikiliza
Kujadili
Kusoma makala kitabuni kwa sauti
kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Fani ya Fasihi Simulizi
3 3
Kusoma na kuandika 
Ngoma na Ngomezi 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelewa maana Sifa na umuhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Fani ya Fasihi Simulizi 
3 4
Kusoma na Kuandika 
Miviga.               Ngonjera na Matambiko
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:Kutambua maana na sifa na umuhimu WA vipera hivi

Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Fani ya Fasihi Simulizi UK 
3 5
Kudurusu 
Maswali ya mjarabu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:Kufanya marudio ipasavyo
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana

Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Mwongozo WA mwalimu 
3 6
Kudurusu 
Mjarabu wa Nguu za Jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufanya marudio ipasavyo
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Mwongozo WA mwalimu 
4 1
Fasihi Simulizi
Mazungumzo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;kuelewa maana,         Miktadha na vipera vya mazungumzo 
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Fani ya Fasihi Simulizi
4 2
Fasihi Simulizi
Malumbano ya utani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kuelewa maana Sifa na umuhimu WA Malumbano ya utani
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Fani ya Fasihi Simulizi UK 135-136
4 3
Fasihi Simulizi 
Ulumbi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kuelewa maana  Sifa na umuhimu wa Ulumbi
Kusikiliza.       Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Fani ya Fasihi Simulizi UK 137-138
4 4
Fasihi Simulizi 
Hotuba
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana Sifa na umuhimu WA hotuba.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kamusi
Fani ya Fasihi Simulizi UK 140
4 5
Fasihi Simulizi 
Mawaidha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutambua maana Sifa na umuhimu WA mawaidha
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana

Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Fani ya Fasihi Simulizi UK 141-142
4 6
Kudurusu 
mjarabu 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kufanya marudio ipasavyo
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Mwongozo 
5 1
Fasihi Simulizi
Soga na Maapizo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na Kutambua Sifa na umuhimu wa vipera hivi
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Fani ya Fasihi Simulizi
5 2
Fasihi Simulizi 
Ukusanyaji na uhifadhi WA Fasihi Simulizi 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua hatua za kufuata wakati wa utafiti
Kusoma           kusikiliza.       Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Fani ya Fasihi Simulizi
5 3
Fasihi Simulizi 
Njia za ukusanyaji data
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua njia mbali mbali za kukusanya data
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Fani ya Fasihi Simulizi
5 4
Fasihi Simulizi
Njia za ukusanyaji data
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua njia mbalimbali  za kukusanya data
Kusoma
Majadiliano
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunz
Fani ya Fasihi Simulizi 
5 5
Fasihi Simulizi 
Vifaa vya kukusanya na kuhifadhi Fasihi Simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
Kutambua umuhimu na udhaifu wa kutumia maandishi na vinasa sauti
Kueleza
Kujadili
Kujibu maswali
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Fani ya Fasihi Simulizi UK 152
5 6
Fasihi Simulizi
Kamera video na filamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua umuhimu na udhaifu wa vifaa hivi
Kusikiliza        kuandika.            
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Fani ya Fasihi Simulizi uk153-154
6

Sikukuu ya Madaraka

6 2
Kuandika 
Umuhimu WA kukusanya na kuhifadhi Fasihi Simulizi 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kutambua umuhimu mbalimbali 
Kusoma.         Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Fani ya Fasihi Simulizi
6 3
Kusoma.na kuandika 
Changamoto zinazoikabili mkusanyaji WA Fasihi Simulizi 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kujadili matatizo yanayozikabili lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa taarifa.
Kueleza jinsi Changamoto mbalimbali zinamkumba mkusanyaji WA Fasihi Simulizi.
Maelezo
Ufafanuzi
Majadiliano.
Kusema.           Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Fani ya Fasihi Simulizi 
6 4
Kusoma na kuandika 
Jinsi jamii ya sasa inavyokaribu kuendelea Fasihi Simulizi 
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutambua jinsi jamii inaendelea Fasihi Simulizi
Kueleza
Kujadili
Kujibu maswali
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Fani ya Fasihi Simulizi
6 5
Kudurusu 
 Aina za maneno
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kufafanua Aina za maneno

Kusikiliza        kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne 
6 6
Kudurusu (fasihi)
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
7 1

7 2
Kusoma kwa mapana
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma taarifa inayohusu Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa.
Kueleza mambo yanayothibitisha nafasi ya Kiswahili kimataifa.
Kufafanua Wajibu unaotekelezwa na lugha ya Kiswahili kulingana na taarifa.
Usomaji.
Maelezo.
Maswali na majibu.
Utafiti
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 148-149
7 3
Kuandika
Kumbukumbu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza muundo wa insha ya kumbukumbu
Kudondoa makosa yote katika insha yake na kuyarekebisha
Kuandika insha ya kumbukumbu upya bila makosa yoyote
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Majadiliano
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 150-152
7 4
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba
Nyakati, hali na ukanushaji wake
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza matumizi ya lugha katika hotuba.
Kufafanua sifa za lugha ya hotuba.
Kutambua umuhimu wa Utoaji hotuba
Kudadisi
Uchunguzi
Ufafanuzi
Uhakiki
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 153
7 5
Kudurusu (fasihi)
Bembea ya Maisha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu.               Maswali
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Bembea ya Maisha
7 6
Kudurusu 
Bembea ya Maisha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Bembea ya Maisha
8 1
Kusikiliza na kuzungumza
Isimujamii: Sajili ya viwandani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya sajili ya viwandani.
Kufafanua sajili ya viwandani.
Kueleza jinsi uhusiano wa wahusika viwandani unavyodhibiti matumizi ya lugha viwandani.
Maelezo
Ufafanuzi.
Utafiti.
Kutoa mifano
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 162
8 2
Ufahamu
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma kwa sauti na kimya.
Kujibu maswali.
Kutaja sifa zinazodhihirisha mchakato wa mawasiliano kupitia tarakilishi.
Maelezo
Ufafanuzi.
Majadiliano.
Uchunguzi.
Kazi ya vikundi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 163-165
8-9

Mtihani wa Katikati ya Muhula

9

Likizo fupi

9 6
Kudurusu 
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
10

Likizo fupi

10 2
Kudurusu 
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Ukanushaji wa hali II
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
10 3
Kusoma kwa kina
Kamliwaze
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma shairi, ‘Kamliwaze’
Kuchambua shairi hili, ‘Kamliwaze’
Kujibu maswali.
Ufaraguzi
Utafiti
Maelezo
Ufanunuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 168
10 4
Kuandika
Insha ya mawazo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza muundo wa insha ya mawazo
Kufafanua vigezo muhimu vya insha mawazo
Kuandika insha ya mawazo ifaavyo.
Kueleza
Kujadili
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
10 5
Kusikiliza na kuzungumza
Mawaidha katika fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya mawaidha katika fasihi simulizi.
Kufafanua sifa za mawaidha.
Kutaja dhima ya mawaidha.
Usomaji.
Utafiti.
Utatuzi wa mambo.
Uchunguzi kifani
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 170-171
10 6
Kusoma (fasihi)
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
11 1
Kusoma (fasihi)
Hadithi Fupi

Mapambazuko ya Machweo
11 2
Ufahamu
Sarufi na matumizi ya lugha

Uakifishaji
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kufafanua mawazo makuu katika kifungu
Kueleza msamiati na kuutungia sentensi kwa usahihi
Kujibu maswali ya ufahamu kiukamilifu
Maelezo.
Mifano.
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 171-172
11 3
Kusoma kwa kina
Idhini ya kishairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya ‘Idhini ya kishairi’
Kutaja Idhini za kishairi anazoweza kuzitumia mshairi.
Kueleza sababu za mshairi kutumia Idhini ya kishairi.
Maelezo.
Kuigiza.
Kuandika.
Maswali na majibu
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 175-176
11 4
Kuandika
Insha ya wasifu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya wasifu
Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake.
Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi.
Maelezo
Ufafanuzi.
Maswali na majibu.
Majadiliano.
Tajriba
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176
11 5
Kudurusu 
Karatasi ya 2
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kujibu maswali ipasavyo
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Karatasi za mtihani
11

Siku ya Talanta

12 1
Kusoma (fasihi)
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho
-kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu
Kuchambua
Kusoma kwa zamu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
12 2
Kudurusu 
Maswali ya KCSE karatasi ya 2
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze: kujibu maswali ipasavyo 
Kueleza
Kujadiliana
Kuandika
Kuigiza
Utafiti
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya fasihi simulizi
Mwongozo 
12 3
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Isimu jamii: Sajili ya michezoni
Virai
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ;
Kufafanua sifa za sajili ya michezoni.
Kueleza umuhimu wa sajili ya michezoni
Kutaja wanaohusika katika kutumia lugha ya michezoni.
Maswali dodoso
Maelezo
Majadiliano
Kusoma
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 187
12 4
Kusikiliza na kuzungumza
Nyimbo na maghani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya nyimbo na maghani.
Kutaja sifa za nyimbo na maghani.
Kutaja na kueleza aina za nyimbo
Kufafanua umuhimu wa nyimbo na maghani.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 209-212
12 5
Kudurusu 
Karatasi ya 1
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutambua jinsi ya kujibu maswali ya Insha 
Maelezo.           Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford;              upeo WA Insha 
12 6
Kudurusu 
Uchanganuzi wa sentensi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya uchanganuzi wa sentensi.
Kufafanua sentensi sahili, ambatano na changamano.
Kueleza vitenzi vya sentensi baada ya uchanganuzi.
Maelezo
Uchunguzi
Mifano
Ufafanuzi
Kujaza majedwali
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 228-233
13-14

Mtihani wa mwisho wa muhula

14

Kufunga Shule

Your Name Comes Here

Download

Feedback