If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
2 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi Sarufi Kusoma (fasihi) |
Sifa za fasihi simulizi
Upatanisho wa kisarufi Upatanisho wa kisarufi Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya fasihi simulizi. -Kutaja sifa bainifu za tanzu hizo mbili. -Kutaja mifano za fasihi simulizi na andishi. -Kueleza upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na vivumishi. -Kutambua upatanisho wa kisarufi kati ya nomino na viulizi. -Kutunga sentensi sahihi kutumia viulizi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Tajriba. Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 1-2
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8 |
|
2 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza muktadha. -Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
2 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Upatanisho wa kisarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na manufaa ya upatanisho wa kisarufi. -Kukamilisha sentensi ili kuleta upatanisho wa kisarufi. -Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 13-17
|
|
2 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maudhui kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtiririko wa kisa -Kuchambua vipengele vya fasihi- maudhui, wahusika na mbinu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
2 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Aina za maneno: Nomino
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya nomino. -Kuainisha makundi ya nomino na kutaja mifano. -Kutumia nomino katika sentensi sahihi. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 23-25
|
|
3 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya. -Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya. somo, -Kubainisha aina za wahusika. -Kueleza sifa bainifu za aina mbalimbali za wahusika. -Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali. |
Kusoma
Kujadili Kusikiliza Kuandika Kusoma Kujadili Kuandika Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
3 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Viwakilishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya viwakilishi. -Kuainisha viwakilishi mbalimbali na mifano yake. -Kufafanua matumizi ya viwakilishi. -Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 36-42
|
|
3 | 4 |
Kuandika
|
Insha ya methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa insha ya methali. -Kupambanua sifa za insha ya methali. -Kuandika insha ya methali. |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 45-46
|
|
3 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno: Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuainisha vivumishi. -Kutoa mifano ya vivumishi. -Kutumia vivumishi katika sentensi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 51-54
|
|
3 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja vipengele vya kutumia kupata maadili ya Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza maana ya anwani na umuhimu wake. -Kufafanua wahusika na jinsi wanavyojenga maadili. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 1-2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma kwa kina |
Vitenzi
Vitenzi Mashairi huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitenzi. -Kubainisha vitenzi katika sentensi. -Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba -Kueleza maana ya vitenzi. -Kubainisha vitenzi katika sentensi. -Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba. |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
|
|
4 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja wahusika wote kutoka Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 4 |
Kusikiliza kuzungumza
|
Kuandika; Utungaji wa kisanii: Uandishi wa ushairi huru
Mahojiano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua sifa za shairi huru. -Kupambanua pingamizi dhidi ya mashairi huru. -Kuandika shairi huru lisilopungua beti nne. |
Mashairi
Maelezo Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 68-70
|
|
4 | 5 |
Kusikiliza kuzungumza
|
Ufupisho
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma ufupisho. -Kueleza kwa kutumia maneno yasiyozidi 50, vitambulisho vya ukubwa vya kale na sasa. -Kwa maneno 35 kueleza kati ya vijana wa sasa na wa kale. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 74-75
|
|
4 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maudhui, wahusika na mtindo wa mwandishi -Kueleza tofauti kati ya vipengele mbalimbali ya maudhui. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti (kazi ya ziada) |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
5 | 1-2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusikiliza na kuzungumza |
Mnyambuliko wa vitenzi
Ufahamu wa kusikiliza |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. -Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. -Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. somo, ; Kusoma ufahamu. Kutoa maelezo kuhusu jinsi Kiswahili kinavyotumika katika vyombo vya habari Duniani. Kufafanua na kutunga sentensi semi na msamiati. |
Ufafanuzi.
Maelezo. Mifano Kueleza Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 89-93
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 97-98 |
|
5 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Mnyambuliko vitenzi II
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. |
Ufafanuzi.
Maelezo. Mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 98-100
|
|
5 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kwanza ya hadithi fupi (Fadhili za punda) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kwanza. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kwanza. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
5 | 5 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Muundo na mtindo katika fasihi andishi
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kufafanua tofauti zilizopo kati ya dhana za muundo na mtindo wa kazi za fasihi andishi. Kueleza vipengele vya kimsingi vya kuzingatia katika fasihi andishi. Kupambanua mtindo wa tamthilia au hadihi fupi teule unayoisoma darasani. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 102-105
|
|
5 | 6 |
Fasihi
|
Ushairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kukariri shairi. Kuonyesha dhamira ya mshairi. Kueleza uhuru wa kishairi alizozitumia mshairi. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 112-113
|
|
6 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi) Kusoma (fasihi) Ufupisho |
Miviga
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya miviga katika jamii Kubainisha umuhimu wa miviga katika jamii Kubainisha miviga mizuri na kuendeleza na mibaya kupingwa vita somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya pili. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya pili. Kujibu maswali. |
Kueleza
Kusikiliza Kujadili Kusoma makala kitabuni kwa sauti kuandika Kusoma Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 115-116
Kitabu teule |
|
6 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi akitumia aina za vielezi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 118-121 |
|
6 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Viunganishi
Aina za maneno; Vihusishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za viunganishi. Kueleza aina za viunganishi. Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123 |
|
6 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya nne na ya tano ya hadithi fupi (Haru na Sabina) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nne na ya tano. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nne na ya tano. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
6 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Vihisishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vihisishi. Kueleza aina za vihisishi. Kueleza dhima ya vihisishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihisishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 124-125 |
|
7 | 1-2 |
Kusoma kwa kina
Kuandika Kuandika Kusoma (fasihi) |
Mashairi ya arudhi
Memo Baruameme Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya shairi ya arudhi. Kufafanua maudhui ya shairi la arudhi. Kubainisha mafunzo ya shairi hilo. somo, ; Kutambua maana ya baruameme Kueleza muundo wa baruameme. Kuandika baruameme. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 126-128
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 129-130 |
|
7 | 3 |
Kusoma (fasihi)
Kuandika |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Ujumbe wa rununu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya sita Kupambanua sifa za wahusika katika sita Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi |
Kitabu teule
|
|
7 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ngano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ngano. Kueleza umuhimu wa ngano. Kufafanua sifa za ngano kwa ujumla. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 131-134
|
|
7 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ngano
Uundaji wa maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za ngano Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko. Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134
|
|
7 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya saba (Kila Mchezea Wembe) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya saba. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya saba. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
8 |
mid term exam |
|||||||
9 |
mid term break |
|||||||
10 | 1-2 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika Kusikiliza na kuzungumza |
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili
Insha za masimulizi Mighani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujadili matatizo yanayozikabili lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa taarifa. Kueleza jinsi Changamoto zinazoikumbuka lugha ya Kiswahili zinavyoweza kukabiliwa. Kufafanua jinsi lugha ya Kiswahili inaweza kusambazwa nchini. somo, ; Kujieleza kwa mtiririko ufaao Kutambua hatua za uandishi bora wa insha maelezo Kuandika insha ya maelezo kwa kutumia fani mbalimbali za lugha |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi Kueleza Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 139-141
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 142 |
|
10 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Mwingiliano wa aina za maneno
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza jinsi aina za maneno hubadilika kutegemea utendaji kazi yake katika sentensi Kufafanua jinsi aina za maneno huingiliana. Kubainisha maneno yaliyopigwa mistari ni ya aina gani. Kutunga sentensi akitumia msamiati ufaao |
Mashindano
Majadiliano Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 146-148
|
|
10 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya nane. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya nane. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
10 | 5 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa
Kumbukumbu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa inayohusu Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa. Kueleza mambo yanayothibitisha nafasi ya Kiswahili kimataifa. Kufafanua Wajibu unaotekelezwa na lugha ya Kiswahili kulingana na taarifa. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 148-149
|
|
10 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba
Nyakati, hali na ukanushaji wake |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza matumizi ya lugha katika hotuba. Kufafanua sifa za lugha ya hotuba. Kutambua umuhimu wa Utoaji hotuba |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 153
|
|
11 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Historia ya lugha |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya tisa (Ahadi ni Deni) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya tisa. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya tisa. somo, ; Kusoma taarifa ‘Historia ya lugha’ Kueleza mikakati iliyojadiliwa katika taarifa ya kukiimarisha Kiswahili. Kutambua hali ya Kiswahili nchini Kenya huku akirejelea taarifa aliyoisoma. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Kuandika Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 158-160 |
|
11 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Hotuba
Isimujamii: Sajili ya viwandani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya hotuba. Kutambua umuhimu wa hotuba. Kufafanua muundo wa hotuba. Kuandika hotuba. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161
|
|
11 | 4 |
Ufahamu
Kusoma (fasihi) |
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kutaja sifa zinazodhihirisha mchakato wa mawasiliano kupitia tarakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 163-165
|
|
11 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
11 | 6 |
Sarufi
Kusoma kwa kina |
Ukanushaji wa hali II
Kamliwaze |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya –a-, -po-, -nge-, -ngali- na –ngeli- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu |
Maelezo
Ufafanuzi. Mifano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 165-167
|
|
12 | 1-2 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza Kusoma (fasihi) |
Insha ya mawazo
Mawaidha katika fasihi simulizi Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya mawazo Kufafanua vigezo muhimu vya insha mawazo Kuandika insha ya mawazo ifaavyo. somo, ; Kusoma sura ya kumi na moja (Nipe nafasi) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi na moja. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi na moja. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika Kusoma Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
Kitabu teule |
|
12 | 3 |
Ufahamu
|
Ufahamu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua mawazo makuu katika kifungu Kueleza msamiati na kuutungia sentensi kwa usahihi Kujibu maswali ya ufahamu kiukamilifu |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 171-172
|
|
12 | 4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Uakifishaji
Idhini ya kishairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kifungu kisha kutoa mifano ya matumizi ya lugha na alama za uakifishaji. Kutaja alama za uakifishaji zilizotumiwa katika kifungu. Kugeuza sentensi ziwe katika usemi halisi. Kuandika sentensi katika usemi taarifa. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 173-175
|
|
12 | 5 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Insha ya wasifu
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya wasifu Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake. Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176
|
|
12 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi na mbili. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi na mbili. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
13 |
end term exam |
|||||||
14 |
closing |
Your Name Comes Here