If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
1 | 3 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
1 | 4-5 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
1 | 6 |
Fasihi
andishi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
2 | 1 |
Fasihi
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
2 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu |
Sifa za fasihi simulizi
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya fasihi simulizi. -Kutaja sifa bainifu za tanzu hizo mbili. -Kutaja mifano za fasihi simulizi na andishi. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 1-2
|
|
2 | 3 |
Sarufi
|
Upatanisho wa kisarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na manufaa ya upatanisho wa kisarufi. -Kukamilisha sentensi ili kuleta upatanisho wa kisarufi. -Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8
|
|
2 | 4-5 |
Kusoma
Kusoma (fasihi) Kusoma |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi Kusoma kwa mapana |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja na kugusia yaliyomo katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi cha fasihi. -Kueleza mtiririko wa kitabu kwa muhtasari. -Kueleza dhamira ya riwaya teule. |
Kusoma.
Kusikiliza. Kuandika. Kujadiliana. Uchambuzi Kusoma. Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
2 | 6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Barua ya kirafiki
Fasihi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na muundo wa barua za kirafiki -Kutaja sifa za barua za kirafiki -Kueleza umuhimu wa barua za kirafiki |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 9
|
|
3 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma (fasihi) |
Ufahamu
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza sifa za shairi mwafaka. -Kukariri shairi ‘Kutegea kazi’ -Kueleza muundo wa shairi hilo. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 11-12
|
|
3 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza muktadha. -Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
3 | 3 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Isimu jamii: Lugha ya itifaki |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua maudhui kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtiririko wa kisa -Kuchambua vipengele vya fasihi- maudhui, wahusika na mbinu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
3 | 4-5 |
Ufupisho
Kusoma kwa kina Kusoma (fasihi) |
Muhtasari
Maudhui katika fasihi andishi Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya sarufi. -Kueleza mambo muhimu ya kuzingatia katika ufupisho. -Kuandika muhtasari wa taarifa kwa usahihi. -Kufafanua muundo wa Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza mtindo na vipengele vyake katika riwaya. -Kutofautisha baina ya muundo na mtindo katika riwaya. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika Kusoma Kujadili Kusikiliza kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 22-23
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi |
|
3 | 6 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Tahakiki
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya Tahakiki. -Kuorodhesha mambo anayohitaji kuzingatia mhakiki anapoandika Tahakiki. -Kuandika tahikiki ya maneno yasiyopungua 400 wala kuzidi 450. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 27-29
|
|
4 | 1 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Mashairi huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, -Kubainisha aina za wahusika. -Kueleza sifa bainifu za aina mbalimbali za wahusika. -Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kuigiza |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 2 |
Kuandika
|
Insha ya methali
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa insha ya methali. -Kupambanua sifa za insha ya methali. -Kuandika insha ya methali. |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 45-46
|
|
4 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza umuhimu wa lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali. |
Kusoma
Kuadili Kudodoso fani za lugha Kuandika Kuwasilisha mbele ya darasa |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
4 | 4-5 |
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu Sarufi na matumizi ya lugha |
Isimu jamii: Sajili ya bunge
Ufahamu Aina za maneno: Vivumishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya sajili katika lugha. -Kufafanua sifa za lugha ya sajili ya bunge. -Kuigiza mazungumzo na kutoa idhibati kuwa ni lugha ya bungeni. -Kuainisha vivumishi. -Kutoa mifano ya vivumishi. -Kutumia vivumishi katika sentensi. |
Kuandika
Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. Maelezo Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 47-48
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 51-54 |
|
4 | 6 |
Kusoma kwa kina
Kusikiliza na kuzungumza |
Muundo na mtindo katika mashairi arudhi
Fasihi simulizi: Mafumbo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na umuhimu wa fani katika mashairi ya arudhi. -Kufafanua muundo, mtindo, wahusika, na matumizi ya lugha katika mashairi ya arudhi. -Kuchambua fani katika mashairi ya arudhi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 54-56
|
|
5 | 1 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Fasihi simulizi: Misimu
Lakabu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza misimu. -Kueleza sababu ya misimu kuchipuka. -Kufafanua sifa ya misimu. -Kutoa mifano ya misimu. |
Ufaraguzi
Utafiti Maelezo Ufanunuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 57-60
|
|
5 | 2 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa riwaya. -Kutaja maadili katika riwaya. -Kuchambua vipengele tofauti za fasihi. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
5 | 3 |
Kusoma kwa kina
Kusoma (fasihi) |
Mashairi huru
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua wakati na sababu za kuchipua kwa mashairi huru. -Kueleza kuzuka kwa mtindo wa mashairi ya kisasa. -Kutoa maoni kuhusu mgogoro wa mashairi ya jadi na huru. |
Dayalojia
Maelezo Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 68-70
|
|
5 | 4-5 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza kuzungumza |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kuandika; Utungaji wa kisanii: Uandishi wa ushairi huru Mahojiano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutaja wahusika wote kutoka Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi -Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi. -Kufafanua muundo wa mahojiano. -Kuandika insha ya mahojiano kwa ufasaha. -Kuigiza mahojiano darasani. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Maelezo. Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 71-74 |
|
5 | 6 |
Kusikiliza kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufupisho
Vitenzi: Mzizi na viambishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma ufupisho. -Kueleza kwa kutumia maneno yasiyozidi 50, vitambulisho vya ukubwa vya kale na sasa. -Kwa maneno 35 kueleza kati ya vijana wa sasa na wa kale. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 74-75
|
|
6 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maudhui, wahusika na mtindo wa mwandishi -Kueleza tofauti kati ya vipengele mbalimbali ya maudhui. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti (kazi ya ziada) |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
|
|
6 | 2 |
Kusoma
Kusikiliza na kuzungumza |
Tamathali za usemi
Soga |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza manufaa ya tamathali za usemi kwa uandishi wa fasihi. -Kufafanua maana za tamathali za usemi. -Kudondoa tamathali zozote kutoka kwenye riwaya teule. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 79-83
|
|
6 | 3 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Uandishi wa tahariri
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya tahariri -Kujadili jinsi ya kuandika tahariri. -Kuandika tahariri. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 95
|
|
6 | 4-5 |
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza Kusikiliza na kuzungumza Sarufi na matumizi ya lugha |
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Ufahamu wa kusikiliza Ufahamu Mnyambuliko vitenzi II |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kusoma kwa sauti na matamshi bora -Kupambanua sifa za wahusika, maudhui, mtindo wa mwandishi -Kujibu maswali. somo, ; Kusoma ufahamu. Kutoa maelezo kuhusu jinsi Kiswahili kinavyotumika katika vyombo vya habari Duniani. Kufafanua na kutunga sentensi semi na msamiati. |
Kueleza
Kusoma Kujadili Kuzuru maktaba Kueleza Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kamusi ya fasihi simulizi |
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 97-98 |
|
6 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja
Muundo na mtindo katika fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja. Kubainisha kauli ya kutendea, kutendwa, kutendeka, kutendewa na kutendesha. Kutunga sentensi akitumia vitenzi kudhihirisha maana za kauli husika. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 100-102
|
|
7 | 1 |
Kuandika
Fasihi |
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi
Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya neno ‘utafiti’ Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi. Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106
|
|
7 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Ufupisho |
Miviga
Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya miviga katika jamii Kubainisha umuhimu wa miviga katika jamii Kubainisha miviga mizuri na kuendeleza na mibaya kupingwa vita |
Kueleza
Kusikiliza Kujadili Kusoma makala kitabuni kwa sauti kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 115-116
|
|
7 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Vielezi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vielezi. Kueleza aina za vielezi. Kutunga sentensi akitumia aina za vielezi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 118-121 |
|
7 | 4-5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma kwa kina |
Aina za maneno; Viunganishi
Aina za maneno; Vihusishi Aina za maneno; Vihisishi Mashairi ya arudhi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za viunganishi. Kueleza aina za viunganishi. Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi. somo, ; Kutaja aina za vihisishi. Kueleza aina za vihisishi. Kueleza dhima ya vihisishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihisishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123 Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 124-125 |
|
7 | 6 |
Kuandika
|
Memo
Baruameme |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya memo. Kueleza muundo wa memo. Kuandika memo. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 128-129 |
|
8 | 1 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Ujumbe wa rununu
Ngano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa rununu Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu Kuandika ujumbe wa rununu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130 |
|
8 | 2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ngano
Uundaji wa maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za ngano Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko. Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134
|
|
8 | 3 |
Kusoma kwa mapana
Kuandika |
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili
Insha za masimulizi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujadili matatizo yanayozikabili lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa taarifa. Kueleza jinsi Changamoto zinazoikumbuka lugha ya Kiswahili zinavyoweza kukabiliwa. Kufafanua jinsi lugha ya Kiswahili inaweza kusambazwa nchini. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 139-141
|
|
8-9 |
Mid term exams |
|||||||
9 |
Mid term break |
|||||||
9 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Mighani
Mwingiliano wa aina za maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya mighani Kubainisha sifa za mighani Kutoa mifano kwa mighani katika jamii yake. |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 143-144
|
|
10 | 1 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya nane (Kifo cha Suluhu) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nane. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nane. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
10 | 2 |
Kusoma kwa mapana
|
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa inayohusu Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa. Kueleza mambo yanayothibitisha nafasi ya Kiswahili kimataifa. Kufafanua Wajibu unaotekelezwa na lugha ya Kiswahili kulingana na taarifa. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 148-149
|
|
10 | 3 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Kumbukumbu
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya kumbukumbu Kudondoa makosa yote katika insha yake na kuyarekebisha Kuandika insha ya kumbukumbu upya bila makosa yoyote |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 150-152
|
|
10 | 4-5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa mapana Kuandika Kusikiliza na kuzungumza |
Nyakati, hali na ukanushaji wake
Historia ya lugha Hotuba Isimujamii: Sajili ya viwandani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya si-, -me- na –ki- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu somo, ; Kueleza maana ya hotuba. Kutambua umuhimu wa hotuba. Kufafanua muundo wa hotuba. Kuandika hotuba. |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika Usomaji. Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 156-158
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161 |
|
10 | 6 |
Ufahamu
Kusoma (fasihi) |
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kutaja sifa zinazodhihirisha mchakato wa mawasiliano kupitia tarakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 163-165
|
|
11 | 1 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Ukanushaji wa hali II |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi |
Kitabu teule
|
|
11 | 2 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Kamliwaze
Insha ya mawazo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma shairi, ‘Kamliwaze’ Kuchambua shairi hili, ‘Kamliwaze’ Kujibu maswali. |
Ufaraguzi
Utafiti Maelezo Ufanunuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 168
|
|
11 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu |
Mawaidha katika fasihi simulizi
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya mawaidha katika fasihi simulizi. Kufafanua sifa za mawaidha. Kutaja dhima ya mawaidha. |
Usomaji.
Utafiti. Utatuzi wa mambo. Uchunguzi kifani |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 170-171
|
|
11 | 4-5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina Kuandika Kusoma (fasihi) |
Uakifishaji
Idhini ya kishairi Insha ya wasifu Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kifungu kisha kutoa mifano ya matumizi ya lugha na alama za uakifishaji. Kutaja alama za uakifishaji zilizotumiwa katika kifungu. Kugeuza sentensi ziwe katika usemi halisi. Kuandika sentensi katika usemi taarifa. somo, ; Kueleza maana ya wasifu Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake. Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika Maelezo Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 173-175
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176 |
|
11 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi na mbili. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi na mbili. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
12-13 |
End term exams |
|||||||
14 |
Closing and releasing of results |
Your Name Comes Here