Home







MAAZIMIO YA KAZI
Kiswahili
KIDATO CHA NNE
MWAKA WA 2025
MUHULA WA II

School


To enable/disable signing area for H.O.D & Principal, click here to update signature status on your profile.




To enable/disable showing Teachers name and TSC Number, click here to update teacher details status on your profile.












Did you know that you can edit this scheme? Just click on the part you want to edit!!! (Shift+Enter creates a new line)


WK KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA MBINU VIFAA ASILIA MAONI
1

MARUDIO

2 1
Kusoma
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutaja na kugusia yaliyomo katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi cha fasihi.
-Kueleza mtiririko wa kitabu kwa muhtasari.
-Kueleza dhamira ya riwaya teule.
Kusoma.
Kusikiliza.
Kuandika.
Kujadiliana.
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
2 2
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza muktadha.
-Kuchambua vipengele vya fasihi- lugha, maudhui, na fani.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
2 3-4
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Isimu jamii: Lugha ya itifaki
Aina za maneno: Nomino
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kufafanua maudhui kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza mtiririko wa kisa
-Kuchambua vipengele vya fasihi- maudhui, wahusika na mbinu


-Kueleza mazingira ambamo lugha ya itifaki hutumiwa.
-Kufafanua sifa za lugha ya itifaki.
-Kueleza umuhimu wa lugha ya itifaki.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi

Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 21-22
2 5
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kubainisha aina za wahusika.
-Kueleza sifa bainifu za aina mbalimbali za wahusika.
-Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kuigiza
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
2 6
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Viwakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo,
-Kubainisha aina za wahusika.
-Kueleza sifa bainifu za aina mbalimbali za wahusika.
-Kueleza umuhimu wa wahusika mbalimbali.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kuigiza
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
3 1
Sarufi na matumizi ya lugha
Viwakilishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuainisha viwakilishi mbalimbali na mifano yake.
-Kufafanua matumizi ya viwakilishi.
-Kutunga sentensi kwa kutumia viwakilishi.
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Majadiliano
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 36-42
3 2
Kusoma kwa kina
Kuandika
Mashairi huru
Insha ya methali
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza chimbuko la mashairi ya huru
-Kueleza sifa za mashairi ya huru.
-Kujadili mtindo katika shairi hili, ‘Wasia’
Kudadisi
Uchunguzi
Ufafanuzi
Uhakiki
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 42-45
3 3-4
Kusoma (fasihi)
Kusoma (fasihi)
Kusikiliza na kuzungumza
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Isimu jamii: Sajili ya bunge
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza umuhimu wa lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
-Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali.
Kusoma
Kuadili
Kudodoso fani za lugha
Kuandika
Kuwasilisha mbele ya darasa
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
3 5
Sarufi na matumizi ya lugha
Aina za maneno: Vivumishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kuainisha vivumishi.
-Kutoa mifano ya vivumishi.
-Kutumia vivumishi katika sentensi.
Maelezo
Ufafanuzi.
Utafiti.
Kutoa mifano
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 51-54
3 6
Kusoma kwa kina
Muundo na mtindo katika mashairi arudhi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana na umuhimu wa fani katika mashairi ya arudhi.
-Kufafanua muundo, mtindo, wahusika, na matumizi ya lugha
katika mashairi ya arudhi.
-Kuchambua fani katika mashairi ya arudhi.
Maelezo
Ufafanuzi.
Majadiliano.
Uchunguzi.
Kazi ya vikundi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 54-56
4 1
Kusikiliza na kuzungumza
Fasihi simulizi: Mafumbo
Fasihi simulizi: Misimu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutoa maana ya mafumbo.
-Kueleza sifa bainifu za mafumbo.
-Kupambanua dhima ya mafumbo.
-Kufumbua mafumbo.
Uvumbuzi wa mafumbo.
Uvumbuzi huria.
Michezo ya lugha.
Maelezo
Ufafanuzi.
Mifano.
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 57-58
4 2
Kusikiliza na kuzungumza
Lakabu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya lakabu.
-Kufafanua sifa za lakabu.
-Kutoa mifano ya lakabu.
Usomaji.
Maelezo.
Utafiti.
Majadiliano
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
4 3-4
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Vitenzi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kupambanua falsafa na itihadi ya mwandishi wa riwaya.
-Kutaja maadili katika riwaya.
-Kuchambua vipengele tofauti za fasihi.


-Kueleza maana ya vitenzi.
-Kubainisha vitenzi katika sentensi.
-Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba
Kusoma
Kujadili
Kuwasilisha mbele ya darasa
Kuandika
Maelezo.
Mifano.
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
4 5
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi)
Vitenzi
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maana ya vitenzi.
-Kubainisha vitenzi katika sentensi.
-Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba.
Maelezo.
Mifano.
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
4 6
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutaja wahusika wote kutoka Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
-Kutaja hulka (sifa) za wahusika katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
-Kufafanua sifa za wahusika kwa kutoa mifano katika Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
5 1
Kusikiliza kuzungumza
Kuandika; Utungaji wa kisanii: Uandishi wa ushairi huru
Mahojiano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kutambua sifa za shairi huru.
-Kupambanua pingamizi dhidi ya mashairi huru.
-Kuandika shairi huru lisilopungua beti nne.
Mashairi
Maelezo
Utafiti
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 68-70
5 2
Kusikiliza kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Ufupisho
Vitenzi: Mzizi na viambishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma ufupisho.
-Kueleza kwa kutumia maneno yasiyozidi 50, vitambulisho vya ukubwa vya kale na sasa.
-Kwa maneno 35 kueleza kati ya vijana wa sasa na wa kale.
Maelezo.
Kuigiza.
Kuandika.
Maswali na majibu
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 74-75
5 3-4
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kueleza maudhui, wahusika na mtindo wa mwandishi
-Kueleza tofauti kati ya vipengele mbalimbali ya maudhui.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti (kazi ya ziada)
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
5 5
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina ;Nguu za jadi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:

-Kusoma kwa sauti na matamshi bora
-Kupambanua sifa za wahusika, maudhui, mtindo wa mwandishi
-Kujibu maswali.
Kueleza
Kusoma
Kujadili
Kuzuru maktaba
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Nguu za jadi By Prof.Clara Momanyi
5 6
Kusikiliza na kuzungumza
Ufahamu wa kusikiliza
Ufahamu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma kwa sauti na kimya.
Kujibu maswali.
Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma
Kueleza
Kujadiliana
Kuandika
Kuuliza maswali
Kuigiza
Utafiti
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi ya fasihi simulizi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97
6 1
Sarufi na matumizi ya lugha
Mnyambuliko vitenzi II
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza mnyambuliko wa vitenzi.
Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi.
Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali.
Ufafanuzi.
Maelezo.
Mifano
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 98-100
6 2
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja
Muundo na mtindo katika fasihi andishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja.
Kubainisha kauli ya kutendea, kutendwa, kutendeka, kutendewa na kutendesha.
Kutunga sentensi akitumia vitenzi kudhihirisha maana za kauli husika.
Tajriba.
Maswali na majibu.
Mifano.
Mazoezi.
Marudio
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 100-102
6 3-4
Kuandika
Fasihi
Kusikiliza na kuzungumza
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi
Ushairi
Miviga
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya neno ‘utafiti’
Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi.
Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani.

somo, ;
Kufafanua maana ya miviga katika jamii
Kubainisha umuhimu wa miviga katika jamii
Kubainisha miviga mizuri na kuendeleza na mibaya kupingwa vita
Kueleza
Kusoma
Kuigiza
Kuandika
Kueleza
Kusikiliza
Kujadili
Kusoma makala kitabuni kwa sauti
kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 115-116
6 5
Kusoma (fasihi)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma sura ya pili ya hadithi fupi (Fadhili za punda)
Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya pili.
Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya pili.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
6 6
Ufupisho
Ufupisho
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma hadithi na kuelewa ujumbe
Kudondoa hoja muhimu
Kufupisha hadithi kwa urefu ulioulizwa
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 116-118
7 1
Sarufi na matumizi ya lugha
Aina za maneno; Vielezi
Aina za maneno; Viunganishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutaja aina za vielezi.
Kueleza aina za vielezi.
Kutunga sentensi akitumia aina za vielezi.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 118-121
7 2
Sarufi na matumizi ya lugha
Aina za maneno; Vihusishi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutaja aina za vihusishi.
Kueleza aina za vihusishi.
Kueleza dhima ya vihusishi katika sentensi.
Kutunga sentensi akitumia vihusishi.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 123-124
7 3-4
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Aina za maneno; Vihisishi
Mashairi ya arudhi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma sura ya nne na ya tano ya hadithi fupi (Haru na Sabina)
Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nne na ya tano.
Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nne na ya tano.

somo, ;
Kutaja aina za vihisishi.
Kueleza aina za vihisishi.
Kueleza dhima ya vihisishi katika sentensi.
Kutunga sentensi akitumia vihisishi.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kamusi
Kitabu teule

Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 124-125
7 5
Kuandika
Memo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutambua maana ya memo.
Kueleza muundo wa memo.
Kuandika memo.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 128-129
7 6
Kuandika
Kusoma (fasihi)
Baruameme
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutambua maana ya baruameme
Kueleza muundo wa baruameme.
Kuandika baruameme.
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 129-130
8 1
Kusoma (fasihi)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya sita
Kupambanua sifa za wahusika katika sita
Kujibu maswali.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
8 2
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Ujumbe wa rununu
Ngano
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza umuhimu wa rununu
Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu
Kuandika ujumbe wa rununu
Kusoma.
Kusikiliza
Kuandika
Kujadiliana
Uchambuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130
8 3-4
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi)
Ngano
Uundaji wa maneno
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kutaja aina za ngano
Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko.
Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao.

somo, ;
Kuunda nomino kutoka na vitenzi.
Kutunga nomino kutokana na aina nyingine za maneno.
Kubainisha vivumishi kutokana na aina nyingine za maneno.
Kusoma
Majadiliano
Kuandika
Kueleza
Kujadili
Kujibu maswali
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 137-139
8 5
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya saba
Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya saba.
Kujibu maswali.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kamusi
Kitabu teule
8 6
Kuandika
Insha za masimulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kujieleza kwa mtiririko ufaao
Kutambua hatua za uandishi bora wa insha maelezo
Kuandika insha ya maelezo kwa kutumia fani mbalimbali za lugha
Kueleza
Kujadili
Kujibu maswali
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 142
9

LIKIZO FUPI

10 1
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Mighani
Mwingiliano wa aina za maneno
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kufafanua maana ya mighani
Kubainisha sifa za mighani
Kutoa mifano kwa mighani katika jamii yake.
Utafiti.
Mifano.
Uchunguzi.
Kazi mradi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 143-144
10 2
Kusoma (fasihi)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma sura ya nane (Kifo cha Suluhu)
Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nane.
Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nane.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
10 3-4
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana
Kuandika
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa
Kumbukumbu
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya nane.
Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya nane.
Kujibu maswali.

somo, ;
Kueleza muundo wa insha ya kumbukumbu
Kudondoa makosa yote katika insha yake na kuyarekebisha
Kuandika insha ya kumbukumbu upya bila makosa yoyote
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Majadiliano
Mazoezi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kitabu teule

Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 150-152
10 5
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba
Nyakati, hali na ukanushaji wake
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza matumizi ya lugha katika hotuba.
Kufafanua sifa za lugha ya hotuba.
Kutambua umuhimu wa Utoaji hotuba
Kudadisi
Uchunguzi
Ufafanuzi
Uhakiki
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 153
10 6
Kusoma (fasihi)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma sura ya tisa (Ahadi ni Deni)
Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya tisa.
Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya tisa.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
11 1
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Historia ya lugha
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya tisa.
Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya tisa.
Kujibu maswali.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kamusi
Kitabu teule
11 2
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza
Hotuba
Isimujamii: Sajili ya viwandani
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya hotuba.
Kutambua umuhimu wa hotuba.
Kufafanua muundo wa hotuba.
Kuandika hotuba.
Usomaji.
Maelezo.
Maswali na majibu.
Utafiti.
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161
11 3-4
Ufahamu
Kusoma (fasihi)
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma kwa sauti na kimya.
Kujibu maswali.
Kutaja sifa zinazodhihirisha mchakato wa mawasiliano kupitia tarakilishi.

somo, ;
Kusoma sura ya kumi (Toba ya Kalia)
Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi.
Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi.
Maelezo
Ufafanuzi.
Majadiliano.
Uchunguzi.
Kazi ya vikundi
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi

Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 163-165
Kitabu teule
11 5
Sarufi
Ukanushaji wa hali II
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kufafanua matumizi ya –a-, -po-, -nge-, -ngali- na –ngeli-
Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo
Kukanusha sentensi hali hizo tatu
Maelezo
Ufafanuzi.
Mifano.
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 165-167
11 6
Kusoma kwa kina
Kuandika
Kamliwaze
Insha ya mawazo
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma shairi, ‘Kamliwaze’
Kuchambua shairi hili, ‘Kamliwaze’
Kujibu maswali.
Ufaraguzi
Utafiti
Maelezo
Ufanunuzi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 168
12 1
Kusikiliza na kuzungumza
Mawaidha katika fasihi simulizi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya mawaidha katika fasihi simulizi.
Kufafanua sifa za mawaidha.
Kutaja dhima ya mawaidha.
Usomaji.
Utafiti.
Utatuzi wa mambo.
Uchunguzi kifani
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 170-171
12 2
Kusoma (fasihi)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma sura ya kumi na moja (Nipe nafasi)
Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi na moja.
Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi na moja.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
12 3-4
Ufahamu
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina
Ufahamu
Uakifishaji
Idhini ya kishairi
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kufafanua mawazo makuu katika kifungu
Kueleza msamiati na kuutungia sentensi kwa usahihi
Kujibu maswali ya ufahamu kiukamilifu

somo, ;
Kueleza maana ya ‘Idhini ya kishairi’
Kutaja Idhini za kishairi anazoweza kuzitumia mshairi.
Kueleza sababu za mshairi kutumia Idhini ya kishairi.
Maelezo.
Mifano.
Mazoezi
Maelezo.
Kuigiza.
Kuandika.
Maswali na majibu
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 171-172
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 175-176
12 5
Kuandika
Kusoma (fasihi)
Insha ya wasifu
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kueleza maana ya wasifu
Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake.
Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi.
Maelezo
Ufafanuzi.
Maswali na majibu.
Majadiliano.
Tajriba
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu
Kamusi
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176
12 6
Kusoma (fasihi)
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ;
Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi na mbili.
Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi na mbili.
Kujibu maswali.
Kusoma
Kujadili
Kuandika
Kutafiti zaidi
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu
Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi
Kitabu teule
13-14

MITIHANI NA KUFUNGA SHULE


Your Name Comes Here


Download

Feedback