If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 5 |
Sarufi
|
Upatanisho wa kisarufi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na manufaa ya upatanisho wa kisarufi. -Kukamilisha sentensi ili kuleta upatanisho wa kisarufi. -Kutunga sentensi zenye upatanisho wa kisarufi. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 3-8
|
|
1 | 6 |
Ufupisho
|
Muhtasari
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya sarufi. -Kueleza mambo muhimu ya kuzingatia katika ufupisho. -Kuandika muhtasari wa taarifa kwa usahihi. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 22-23
|
|
1 | 7 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Barua ya kirafiki
Fasihi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana na muundo wa barua za kirafiki -Kutaja sifa za barua za kirafiki -Kueleza umuhimu wa barua za kirafiki |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 9
|
|
2 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Kuandika Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufahamu
Barua rasmi Aina za maneno: Nomino |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza sifa za shairi mwafaka. -Kukariri shairi ‘Kutegea kazi’ -Kueleza muundo wa shairi hilo. -Kueleza muundo wa barua rasmi. -Kutaja sifa za barua rasmi. -Kuandika barua rasmi kwa mfadhili. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi Maelezo Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 11-12
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 19-20 |
|
2 | 3 |
Kusoma kwa kina
|
Fasihi andishi
Maudhui katika fasihi andishi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza asili na maendeleo ya fasihi andishi. -Kufafanua sifa zinazobainisha fasihi andishi. -Kutaja tanzu za fasihi andishi. |
Mjadala
Maswali na majibu. Uvumbuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 17-19 |
|
2 | 4 |
Kuandika
|
Tahakiki
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya Tahakiki. -Kuorodhesha mambo anayohitaji kuzingatia mhakiki anapoandika Tahakiki. -Kuandika tahikiki ya maneno yasiyopungua 400 wala kuzidi 450. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 27-29
|
|
2 | 5 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Mashairi huru
Insha ya methali |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza chimbuko la mashairi ya huru -Kueleza sifa za mashairi ya huru. -Kujadili mtindo katika shairi hili, ‘Wasia’ |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 42-45
|
|
2 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Vitenzi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitenzi. -Kubainisha vitenzi katika sentensi. -Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
|
|
2 | 7 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Vitenzi
Muundo na mtindo katika mashairi arudhi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya vitenzi. -Kubainisha vitenzi katika sentensi. -Kutunga sentensi kutumia vitenzi vikuu, visaidizi, vishirikishi, vipungufu na vitenzi sambamba. |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 64-67
|
|
3 |
Opener exams |
|||||||
3 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno: Vivumishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuainisha vivumishi. -Kutoa mifano ya vivumishi. -Kutumia vivumishi katika sentensi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 51-54
|
|
3 | 7 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Aina za maneno: Vivumishi
Mashairi huru |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kuainisha vivumishi. -Kutoa mifano ya vivumishi. -Kutumia vivumishi katika sentensi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Utafiti. Kutoa mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 51-54
|
|
4 | 1-2 |
Kusikiliza kuzungumza
|
Kuandika; Utungaji wa kisanii: Uandishi wa ushairi huru
Mahojiano Ufupisho |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kutambua sifa za shairi huru. -Kupambanua pingamizi dhidi ya mashairi huru. -Kuandika shairi huru lisilopungua beti nne. -Kufafanua muundo wa mahojiano. -Kuandika insha ya mahojiano kwa ufasaha. -Kuigiza mahojiano darasani. |
Mashairi
Maelezo Utafiti Maelezo. Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 68-70
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 71-74 |
|
4 | 3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma |
Vitenzi: Mzizi na viambishi
Tamathali za usemi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza dhana ya mzizi na viambishi katika vitenzi. -Kubainisha mzizi wa viambishi awali na tamati katika vitenzi. -Kuonyesha viambishi vya kauli za Mnyambuliko katika vitenzi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 76-79
|
|
4 | 4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Soga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza maana ya soga. -Kufafanua sifa za soga. -Kubainisha mafunzo katika soga. -Kutoa mfano wa soga |
Maelezo
Ufafanuzi. Ufaraguzi. Majadiliano. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 84-86
|
|
4 | 5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kuandika |
Mnyambuliko wa vitenzi
Uandishi wa tahariri |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kueleza mnyambuliko wa vitenzi. -Kuainisha kauli mbalimbali za vitenzi. -Kufafanua maana ya vitenzi katika kauli mbalimbali. |
Ufafanuzi.
Maelezo. Mifano |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 89-93
|
|
4 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu wa kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97
|
|
4 | 7 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufahamu
Mnyambuliko vitenzi II |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma ufahamu. Kutoa maelezo kuhusu jinsi Kiswahili kinavyotumika katika vyombo vya habari Duniani. Kufafanua na kutunga sentensi semi na msamiati. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 97-98
|
|
5 | 1-2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kuandika Fasihi |
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja. Kubainisha kauli ya kutendea, kutendwa, kutendeka, kutendewa na kutendesha. Kutunga sentensi akitumia vitenzi kudhihirisha maana za kauli husika. somo, ; Kueleza maana ya neno ‘utafiti’ Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi. Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani. |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio Kueleza Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 100-102
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106 |
|
5 | 3 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Miviga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya miviga katika jamii Kubainisha umuhimu wa miviga katika jamii Kubainisha miviga mizuri na kuendeleza na mibaya kupingwa vita |
Kueleza
Kusikiliza Kujadili Kusoma makala kitabuni kwa sauti kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 115-116
|
|
5 | 4 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya pili ya hadithi fupi (Fadhili za punda) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya pili. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya pili. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
5 | 5 |
Ufupisho
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufupisho
Aina za maneno; Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma hadithi na kuelewa ujumbe Kudondoa hoja muhimu Kufupisha hadithi kwa urefu ulioulizwa |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 116-118
|
|
5 | 6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Viunganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za viunganishi. Kueleza aina za viunganishi. Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123 |
|
5 | 7 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Aina za maneno; Vihusishi
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vihusishi. Kueleza aina za vihusishi. Kueleza dhima ya vihusishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihusishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 123-124 |
|
6 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma kwa kina |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Aina za maneno; Vihisishi Mashairi ya arudhi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya nne na ya tano Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya nne na ya tano Kujibu maswali. somo, ; Kutaja aina za vihisishi. Kueleza aina za vihisishi. Kueleza dhima ya vihisishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihisishi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi Kusoma. Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 124-125 |
|
6 | 3 |
Kuandika
|
Memo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya memo. Kueleza muundo wa memo. Kuandika memo. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 128-129 |
|
6 | 4 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Baruameme
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya baruameme Kueleza muundo wa baruameme. Kuandika baruameme. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 129-130 |
|
6 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya sita Kupambanua sifa za wahusika katika sita Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
6 | 6 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Ujumbe wa rununu
Ngano |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa rununu Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu Kuandika ujumbe wa rununu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130 |
|
6 | 7 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ngano
Uundaji wa maneno |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za ngano Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko. Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134
|
|
7 |
Midterm exams |
|||||||
8 |
Midterm break |
|||||||
8 | 5 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya saba (Kila Mchezea Wembe) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya saba. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya saba. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
8 | 6 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya saba Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya saba. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi |
Kitabu teule
|
|
8 | 7 |
Kuandika
|
Insha za masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujieleza kwa mtiririko ufaao Kutambua hatua za uandishi bora wa insha maelezo Kuandika insha ya maelezo kwa kutumia fani mbalimbali za lugha |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 142
|
|
9 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma (fasihi) |
Mighani
Mwingiliano wa aina za maneno Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya mighani Kubainisha sifa za mighani Kutoa mifano kwa mighani katika jamii yake. somo, ; Kusoma sura ya nane (Kifo cha Suluhu) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya nane. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya nane. |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi Kusoma Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 143-144
Kitabu teule |
|
9 | 3 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa mapana |
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya nane. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya nane. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi Kamusi |
Kitabu teule
|
|
9 | 4 |
Kuandika
|
Kumbukumbu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya kumbukumbu Kudondoa makosa yote katika insha yake na kuyarekebisha Kuandika insha ya kumbukumbu upya bila makosa yoyote |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 150-152
|
|
9 | 5 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba
Nyakati, hali na ukanushaji wake |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza matumizi ya lugha katika hotuba. Kufafanua sifa za lugha ya hotuba. Kutambua umuhimu wa Utoaji hotuba |
Kudadisi
Uchunguzi Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 153
|
|
9 | 6 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya tisa (Ahadi ni Deni) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya tisa. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya tisa. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
9 | 7 |
Kusoma kwa mapana
|
Historia ya lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa ‘Historia ya lugha’ Kueleza mikakati iliyojadiliwa katika taarifa ya kukiimarisha Kiswahili. Kutambua hali ya Kiswahili nchini Kenya huku akirejelea taarifa aliyoisoma. |
Kuandika
Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 158-160
|
|
10 | 1-2 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza Ufahamu |
Hotuba
Isimujamii: Sajili ya viwandani Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya hotuba. Kutambua umuhimu wa hotuba. Kufafanua muundo wa hotuba. Kuandika hotuba. somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kutaja sifa zinazodhihirisha mchakato wa mawasiliano kupitia tarakilishi. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. Maelezo Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 163-165 |
|
10 | 3 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kumi (Toba ya Kalia) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
10 | 4 |
Sarufi
|
Ukanushaji wa hali II
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya –a-, -po-, -nge-, -ngali- na –ngeli- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu |
Maelezo
Ufafanuzi. Mifano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 165-167
|
|
10 | 5 |
Kusoma kwa kina
Kuandika |
Kamliwaze
Insha ya mawazo |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma shairi, ‘Kamliwaze’ Kuchambua shairi hili, ‘Kamliwaze’ Kujibu maswali. |
Ufaraguzi
Utafiti Maelezo Ufanunuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 168
|
|
10 | 6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mawaidha katika fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya mawaidha katika fasihi simulizi. Kufafanua sifa za mawaidha. Kutaja dhima ya mawaidha. |
Usomaji.
Utafiti. Utatuzi wa mambo. Uchunguzi kifani |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 170-171
|
|
10 | 7 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma sura ya kumi na moja (Nipe nafasi) Kueleza mtindo na vipengele katika sura ya kumi na moja. Kutoa muhtasari wa hadithi ya sura ya kumi na moja. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
|
11-13 |
End of term exams |
|||||||
14 |
Closing |
|||||||
14 | 4 |
Ufahamu
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufahamu
Uakifishaji |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua mawazo makuu katika kifungu Kueleza msamiati na kuutungia sentensi kwa usahihi Kujibu maswali ya ufahamu kiukamilifu |
Maelezo.
Mifano. Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 171-172
|
|
14 | 5 |
Kusoma kwa kina
|
Idhini ya kishairi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ‘Idhini ya kishairi’ Kutaja Idhini za kishairi anazoweza kuzitumia mshairi. Kueleza sababu za mshairi kutumia Idhini ya kishairi. |
Maelezo.
Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 175-176
|
|
14 | 6 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Insha ya wasifu
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo) |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya wasifu Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake. Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176
|
|
14 | 7 |
Kusoma (fasihi)
|
Fasihi Andishi (Mapambazuko ya machweo)
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma na kueleza maudhui katika sura ya kumi na mbili. Kupambanua sifa za wahusika katika sura ya kumi na mbili. Kujibu maswali. |
Kusoma
Kujadili Kuandika Kutafiti zaidi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu Kichocheo cha Fasihi simulizi na andishi |
Kitabu teule
|
Your Name Comes Here