If this scheme pleases you, click here to download.
WK | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | MBINU | VIFAA | ASILIA | MAONI |
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
1 | 3 |
Kusoma
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
4 |
Kusoma (fasihi)
Kusoma kwa kina |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Fasihi andishi |

Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
||
5 |

6 |

2 | 1-2 |
Kuandika
Kusoma (fasihi) |
Insha ya methali
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-Kufafanua muundo wa insha ya methali. -Kupambanua sifa za insha ya methali. -Kuandika insha ya methali. -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika Kuchambua Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 45-46
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
|
3 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
||
4 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
||
5 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ufahamu wa kusikiliza
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kueleza ni funzo gani unalolipata kutokana na kisa ulichokisoma |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali Kuigiza Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi ya fasihi simulizi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 96-97
|
||
6 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufahamu
Mnyambuliko vitenzi II |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma ufahamu. Kutoa maelezo kuhusu jinsi Kiswahili kinavyotumika katika vyombo vya habari Duniani. Kufafanua na kutunga sentensi semi na msamiati. |
Kueleza
Kujadiliana Kuandika Kuuliza maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 97-98
|
||
3 | 1-2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza mnyambuliko vitenzi vya silabi ya konsonanti moja. Kubainisha kauli ya kutendea, kutendwa, kutendeka, kutendewa na kutendesha. Kutunga sentensi akitumia vitenzi kudhihirisha maana za kauli husika. -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Tajriba.
Maswali na majibu. Mifano. Mazoezi. Marudio Kuchambua Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 100-102
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
|
3 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
||
4 |
Kusoma kwa kina
|
Muundo na mtindo katika fasihi andishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo ; Kufafanua tofauti zilizopo kati ya dhana za muundo na mtindo wa kazi za fasihi andishi. Kueleza vipengele vya kimsingi vya kuzingatia katika fasihi andishi. Kupambanua mtindo wa tamthilia au hadihi fupi teule unayoisoma darasani. |
Maswali dodoso
Maelezo Majadiliano Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 102-105
|
||
5 |
Kuandika
Fasihi |
Utafiti wa kazi za fasihi simulizi
Ushairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya neno ‘utafiti’ Kufafanua njia za Utafiti wa fasihi simulizi. Kueleza vifaa vinavyoweza kutumika katika Utafiti wa fasihi simulizi nyanjani. |
Kueleza
Kusoma Kuigiza Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 105-106
|
||
6 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Miviga
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya miviga katika jamii Kubainisha umuhimu wa miviga katika jamii Kubainisha miviga mizuri na kuendeleza na mibaya kupingwa vita |
Kueleza
Kusikiliza Kujadili Kusoma makala kitabuni kwa sauti kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 115-116
|
||
4 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
3 |
Ufupisho
Sarufi na matumizi ya lugha |
Ufupisho
Aina za maneno; Vielezi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma hadithi na kuelewa ujumbe Kudondoa hoja muhimu Kufupisha hadithi kwa urefu ulioulizwa |
Kusoma
Kujadili Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 116-118
|
||
4 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Viunganishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za viunganishi. Kueleza aina za viunganishi. Kueleza dhima ya viunganishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia aina za vivumishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 121-123 |
||
5 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Aina za maneno; Vihusishi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutaja aina za vihusishi. Kueleza aina za vihusishi. Kueleza dhima ya vihusishi katika sentensi. Kutunga sentensi akitumia vihusishi. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 123-124 |
||
6 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
||
5 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma kwa kina |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Aina za maneno; Vihisishi Mashairi ya arudhi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu somo, ; Kueleza maana ya shairi ya arudhi. Kufafanua maudhui ya shairi la arudhi. Kubainisha mafunzo ya shairi hilo. |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu Kusoma. Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 126-128 |
|
3 |
Kuandika
|
Memo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya memo. Kueleza muundo wa memo. Kuandika memo. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 128-129 |
||
4 |
Kuandika
|
Baruameme
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kutambua maana ya baruameme Kueleza muundo wa baruameme. Kuandika baruameme. |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 129-130 |
||
5 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
||
6 |
Kuandika
|
Ujumbe wa rununu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa rununu Kueleza muundo wa ujumbe wa rununu Kuandika ujumbe wa rununu |
Kusoma.
Kusikiliza Kuandika Kujadiliana Uchambuzi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford;
Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 130 |
||
6 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Ngano
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya ngano. Kueleza umuhimu wa ngano. Kufafanua sifa za ngano kwa ujumla. somo, ; Kutaja aina za ngano Kutoa mifano ya ngano, mfano mifano za ngano za mtanziko. Teua aina za wahusika wanaotumika katika ngano na ufafanue matumizi yao. |
Kusoma
Majadiliano Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 131-134
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 133-134 |
|
3 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma (fasihi) |
Uundaji wa maneno
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kuunda nomino kutoka na vitenzi. Kutunga nomino kutokana na aina nyingine za maneno. Kubainisha vivumishi kutokana na aina nyingine za maneno. |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 137-139
|
||
4 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
||
5 |
Kusoma kwa mapana
|
Changamoto zinazoikabili lugha ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujadili matatizo yanayozikabili lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa taarifa. Kueleza jinsi Changamoto zinazoikumbuka lugha ya Kiswahili zinavyoweza kukabiliwa. Kufafanua jinsi lugha ya Kiswahili inaweza kusambazwa nchini. |
Maelezo
Ufafanuzi Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 139-141
|
||
6 |
Kuandika
|
Insha za masimulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kujieleza kwa mtiririko ufaao Kutambua hatua za uandishi bora wa insha maelezo Kuandika insha ya maelezo kwa kutumia fani mbalimbali za lugha |
Kueleza
Kujadili Kujibu maswali |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 142
|
||
7 |
MTIHANI WA KATI YA MUHULA |
|||||||
8 |
MAPUMZIKO |
|||||||
9 | 1-2 |
Kusikiliza na kuzungumza
Sarufi na matumizi ya lugha Kusoma (fasihi) |
Mighani
Mwingiliano wa aina za maneno NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua maana ya mighani Kubainisha sifa za mighani Kutoa mifano kwa mighani katika jamii yake. -kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Utafiti.
Mifano. Uchunguzi. Kazi mradi Kuchambua Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 143-144
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi |
|
3 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
||
4 |
Kusoma kwa mapana
|
Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa inayohusu Wajibu wa Kiswahili Kitaifa na kimataifa. Kueleza mambo yanayothibitisha nafasi ya Kiswahili kimataifa. Kufafanua Wajibu unaotekelezwa na lugha ya Kiswahili kulingana na taarifa. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 148-149
|
||
5 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Kumbukumbu
Isimujamii: Matumizi ya lugha katika hotuba |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya kumbukumbu Kudondoa makosa yote katika insha yake na kuyarekebisha Kuandika insha ya kumbukumbu upya bila makosa yoyote |
Maelezo
Ufafanuzi Maswali na majibu Majadiliano Mazoezi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 150-152
|
||
6 |
Sarufi na matumizi ya lugha
|
Nyakati, hali na ukanushaji wake
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kufafanua matumizi ya si-, -me- na –ki- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu |
Masimulizi
Uchunguzi Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 156-158
|
||
10 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
|
3 |
Kusoma kwa mapana
|
Historia ya lugha
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma taarifa ‘Historia ya lugha’ Kueleza mikakati iliyojadiliwa katika taarifa ya kukiimarisha Kiswahili. Kutambua hali ya Kiswahili nchini Kenya huku akirejelea taarifa aliyoisoma. |
Kuandika
Kuuliza maswali Kujibu maswali Kuigiza Majadiliano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 158-160
|
||
4 |
Kuandika
Kusikiliza na kuzungumza |
Hotuba
Isimujamii: Sajili ya viwandani |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya hotuba. Kutambua umuhimu wa hotuba. Kufafanua muundo wa hotuba. Kuandika hotuba. |
Usomaji.
Maelezo. Maswali na majibu. Utafiti. |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 160-161
|
||
5 |
Ufahamu
|
Mawasiliano katika tarakilishi na utandawazi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kwa sauti na kimya. Kujibu maswali. Kutaja sifa zinazodhihirisha mchakato wa mawasiliano kupitia tarakilishi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Majadiliano. Uchunguzi. Kazi ya vikundi |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 163-165
|
||
6 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
||
11 | 1-2 |
Kusoma (fasihi)
Sarufi Kusoma kwa kina |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Ukanushaji wa hali II Kamliwaze |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu somo, ; Kufafanua matumizi ya –a-, -po-, -nge-, -ngali- na –ngeli- Kubainisha kanuni za ukanushaji wa hali hizo Kukanusha sentensi hali hizo tatu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu Maelezo Ufafanuzi. Mifano. |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 165-167 |
|
3 |
Kuandika
|
Insha ya mawazo
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza muundo wa insha ya mawazo Kufafanua vigezo muhimu vya insha mawazo Kuandika insha ya mawazo ifaavyo. |
Kueleza
Kujadili Kusoma Kuandika |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 61-62
|
||
4 |
Kusikiliza na kuzungumza
|
Mawaidha katika fasihi simulizi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya mawaidha katika fasihi simulizi. Kufafanua sifa za mawaidha. Kutaja dhima ya mawaidha. |
Usomaji.
Utafiti. Utatuzi wa mambo. Uchunguzi kifani |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 170-171
|
||
5 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
||
6 |
Kusoma (fasihi)
Ufahamu |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
Ufahamu |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
||
12 | 1-2 |
Sarufi na matumizi ya lugha
Kusoma kwa kina |
Uakifishaji
Idhini ya kishairi |
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kusoma kifungu kisha kutoa mifano ya matumizi ya lugha na alama za uakifishaji. Kutaja alama za uakifishaji zilizotumiwa katika kifungu. Kugeuza sentensi ziwe katika usemi halisi. Kuandika sentensi katika usemi taarifa. somo, ; Kueleza maana ya ‘Idhini ya kishairi’ Kutaja Idhini za kishairi anazoweza kuzitumia mshairi. Kueleza sababu za mshairi kutumia Idhini ya kishairi. |
Kusoma
Kujadili Kuwasilisha mbele ya darasa Kuandika Maelezo. Kuigiza. Kuandika. Maswali na majibu |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 173-175
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 175-176 |
|
3 |
Kuandika
|
Insha ya wasifu
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza maana ya wasifu Kutambua sifa za wasifu na umuhimu wake. Kuandika wasifu yake kwa muundo sahihi. |
Maelezo
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Majadiliano. Tajriba |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Oxford; Kiswahili fasaha Kidato cha nne Uk. 176
|
||
4 |
Kusoma (fasihi)
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
-kusoma na kutaja matukio muhimu katika onyesho -kufupisha kwa kuandika muhtasari wa matukio muhimu |
Kuchambua
Kusoma kwa zamu |
Kitabu Cha Mwanafunzi Mwongozo Wa Mwalimu
|
NGUU ZA JADI na Clara Momanyi
|
||
5 |
Kusoma (fasihi)
|
Kusoma kwa kina;
Kigogo
Chozi la heri
Tumbo lisiloshiba
|
Kufika mwisho wa funzo mwanafunzi aweze:
somo, ; Kueleza umuhimu wa lugha katika kitabu teule. Kuchambua tamathali na matumizi ya lugha katika kitabu teule. Kueleza sajili na muktadha wa lugha mbalimbali. |
Kusoma
Kuadili Kudodoso fani za lugha Kuandika Kuwasilisha mbele ya darasa |
Kitabu Cha Mwanafunzi
Mwongozo wa Mwalimu Kamusi |
Kitabu teule

13 |
MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA |
|||||||
14 |
KUFUNGA |
Your Name Comes Here